Extra miles
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 3,652
- 4,972
Utajikuta unakuja kufa kifo cha upweke sana maana ukiamini watoto nao watafaidi matunda utashtuka kuja kuona watoto nao wanakutelekeza na kubaki kwa mama yao.mimi nitawekeza kwa mke wangu, hata kama sitafaidi mimi kwa sababu labda kwa mabadiliko hayo uliyoyasema bado watoto wangu watafaidi mwanamke hawez kuwatupa watoto wake tofauti na mwanaume
Haiondoi uhalali wa kuyakinisha tabia chafu za Ke wa kizazi cha 2000 hata kama hutaki.Wewe mbona hujatupwa chooni upo hapa unawatukana wanawake wakati wamekulea mpaka hapa ulipo? Au nawewe ulitupwa ukaopolewa huko?
Wewe utakuwa ni KE tu sio buremimi nitawekeza kwa mke wangu, hata kama sitafaidi mimi kwa sababu labda kwa mabadiliko hayo uliyoyasema bado watoto wangu watafaidi mwanamke hawez kuwatupa watoto wake tofauti na mwanaume
Mimi ni ME mkuu, kuna nini kwaniWewe utakuwa ni KE tu sio bure
Haya bwana. Endeleamimi nitawekeza kwa mke wangu, hata kama sitafaidi mimi kwa sababu labda kwa mabadiliko hayo uliyoyasema bado watoto wangu watafaidi mwanamke hawez kuwatupa watoto wake tofauti na mwanaume
Kifo ni kifo mkuu, kiwe cha upweke au cha furaha, lazima ujifunze kujua kusudi lako kuwepo duniani, na kwanini ulizaliwa mwanaume ipo sababu, wekeza kwa mke wako, na unapowekeza usiwaze faida maana hiyo sio biashara, ni sawa na mzazi anayesomesha akitegemea watoto watamsaidia baadaye lazima ufe kwa stress, narudia tena wekeza kwa mke wako, sio mchumba au mpenzi, kuna baadhi ya mifano wazee walipo pata mafao wakawekeza kwa nyumba ndogo wakiacha watoto wanateseka, matokeo yake zikiisha wanateseka waoUtajikuta unakuja kufa kifo cha upweke sana maana ukiamini watoto nao watafaidi matunda utashtuka kuja kuona watoto nao wanakutelekeza na kubaki kwa mama yao.
Kama na mkuu una mke wekeza kwake kama nafasi ipo, ni biashara mfungulie, ni kumuendeleza kimasomo apate ujuzi fanya tu kama nafasi ipoHaya bwana. Endelea
Kwa mke wekeza ila usiwaze kuhusu faidaUzi bora kabisa wa wakati wote. Siongezi wala sipunguzi chochote.
Watu wanao wekeza kwa wanawake hawana tofauti na watu wanao jitesa kulipa mamilioni kuwasomesha watoto wao kwenye shule za English Mediums. Wote hawajui wanacho kifanya.
Hapo kwenye kusomesha watoto. Ndio maana kila siku nawahubiri watu humu jamvini. Acheni kujitesa kulipa mamilioni shule za English Mediums. Pelekeni watoto wenu Kayumba muwasimamie, hivyo vimilioni mnavyo vipoteza kizembe fanyeni uwekezaji mwingineKifo ni kifo mkuu, kiwe cha upweke au cha furaha, lazima ujifunze kujua kusudi lako kuwepo duniani, na kwanini ulizaliwa mwanaume ipo sababu, wekeza kwa mke wako, na unapowekeza usiwaze faida maana hiyo sio biashara, ni sawa na mzazi anayesomesha akitegemea watoto watamsaidia baadaye lazima ufe kwa stress, narudia tena wekeza kwa mke wako, sio mchumba au mpenzi, kuna baadhi ya mifano wazee walipo pata mafao wakawekeza kwa nyumba ndogo wakiacha watoto wanateseka, matokeo yake zikiisha wanateseka wao
Tuheshimiane bro. " mke" ndio kitu gani mkuu?Kwa mke wekeza ila usiwaze kuhusu faida
Mkuu ndoa huwezi ikataa yaani ni kama 22/7 kwenye hesabu, utajifariji lakini ipo time utatamani uwe na familia yako mwenyewe, utaelekea kibra tu. Humu mnaojifanya mnaikataa ndoa nyuma ya pazia mnatoa mpaka kamasi wanawake wakiwaachaTuheshimiane bro. " mke" ndio kitu gani mkuu?
# kataa ndoa
# ndoa ni utapeli.
Moderator Huyu jamaa kanidhalilisha sana kwa kuniambia habari za mke na kuwekeza kwa mke. Naomba apigwe ban hata ya siku 3 tafadhali
ππππ. Hakuna kitu Man Filandu alikuwa anataka kujua tu.Mimi ni ME mkuu, kuna nini kwani
Wewe unazani ni mabinti tu na wavulana hawamo? Sikia wote wanalelewa familia moja,, wavulana nao wanashindwa kuendesha nyumba wanabaki kulalamika mabinti wa sikuhizi wao wenyewe ni nyolonyolo tuHaiondoi uhalali wa kuyakinisha tabia chafu za Ke wa kizazi cha 2000 hata kama hutaki.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Sasa kama unamnuanyasa afanye nini?Jitu lina watto WA 4 lidai talaka tu Aisee kma ni hvyo
Ujumbe umemfikia nadhani utoto unamsumbua. AKIKUA ATAACHAKuwa makini mzee mwenzangu unaweza ukatumika nyakati ambazo wazazi wapo broke, halafu baba halali wa mtoto akishajipata unaachwa solemba., unaweza ukaona ni rahisi kwa sababu bado haijakukuta.