Usiwekeze kwa mwanamke

Usiwekeze kwa mwanamke

Kitu pekee ambacho mwanamke anawekeza kwenye mahusiano ni hisia tu, kwa mwanaume yoyote unaetumia akili kufikiri kikamilifu hawezi kuwekeza kwenye hisia kwa sababu hisia zinabadilika au kuisha kabisa muda wowote.

Huu ni ukweli ambao wanaume karibu wote wanaujua lakini bado wanaendelea kufanya ilo kosa. Wakishapigwa na kitu kizito ndio wanaishia kufanya mauaji au kuwapiga matukio wanawake wengine wakifikiri wnapunguza machungu, kumbe wanawaumiza wasiohusika na maumivu yao.

Mwanaume usibebe iyo risk ya kuwekeza kwa mwanamke, iwe ni kumsomesha, kumuhudumia, kumfungulia biashara, kusaidia ndugu zake n.k, abort huo mpango.

Unajua kwanini wanawake wanaongoza kudai talaka?, sio kwamba wamekua strong women, ila ni kwa sababu hawana cha kupoteza, hawajawekeza kwenye iyo ndoa ukilinganisha na alivyowekeza mwanaume.

Usiwekeze kwa mwanamke kiasi ambacho hauwezi kustahimili maumivu ya kukipoteza, kabla ya kuwekeza kwa mwanamke tambua ya kwamba wewe unapata hasara, yeye anapata faida na ana uamuzi wabkusitisha hayo mahusiano bila kukulipa compensat
 
Kitu pekee ambacho mwanamke anawekeza kwenye mahusiano ni hisia tu, kwa mwanaume yoyote unaetumia akili kufikiri kikamilifu hawezi kuwekeza kwenye hisia kwa sababu hisia zinabadilika au kuisha kabisa muda wowote.

Huu ni ukweli ambao wanaume karibu wote wanaujua lakini bado wanaendelea kufanya ilo kosa. Wakishapigwa na kitu kizito ndio wanaishia kufanya mauaji au kuwapiga matukio wanawake wengine wakifikiri wnapunguza machungu, kumbe wanawaumiza wasiohusika na maumivu yao.

Mwanaume usibebe iyo risk ya kuwekeza kwa mwanamke, iwe ni kumsomesha, kumuhudumia, kumfungulia biashara, kusaidia ndugu zake n.k, abort huo mpango.

Unajua kwanini wanawake wanaongoza kudai talaka?, sio kwamba wamekua strong women, ila ni kwa sababu hawana cha kupoteza, hawajawekeza kwenye iyo ndoa ukilinganisha na alivyowekeza mwanaume.

Usiwekeze kwa mwanamke kiasi ambacho hauwezi kustahimili maumivu ya kukipoteza, kabla ya kuwekeza kwa mwanamke tambua ya kwamba wewe unapata hasara, yeye anapata faida na ana uamuzi wabkusitisha hayo mahusiano bila kukulipa compensation.

I love you, i love you my brother.
Hapo Kuna vitu viwili bro kama ni mke wa ndoa unashindwaje kuwekeza kwake na hakuna ajuaye kesho huo wasiwasi wa kutokuwekeza kwake unatoka wapi ukiwa na fikra za namna hiyo ni rahisi kufa na magonjwa ya moyo sasa kama utashindwa kuwekeza kwa mke wako wa ndoa unataka ukawekeze wapi

Kama sio mke wako wa ndoa ni mtu ambaye upo naye tu kwenye mahusiano hapo uko sahihi kutokuwekeza asilimia 100%
 
Kitu pekee ambacho mwanamke anawekeza kwenye mahusiano ni hisia tu, kwa mwanaume yoyote unaetumia akili kufikiri kikamilifu hawezi kuwekeza kwenye hisia kwa sababu hisia zinabadilika au kuisha kabisa muda wowote.

Huu ni ukweli ambao wanaume karibu wote wanaujua lakini bado wanaendelea kufanya ilo kosa. Wakishapigwa na kitu kizito ndio wanaishia kufanya mauaji au kuwapiga matukio wanawake wengine wakifikiri wnapunguza machungu, kumbe wanawaumiza wasiohusika na maumivu yao.

Mwanaume usibebe iyo risk ya kuwekeza kwa mwanamke, iwe ni kumsomesha, kumuhudumia, kumfungulia biashara, kusaidia ndugu zake n.k, abort huo mpango.

Unajua kwanini wanawake wanaongoza kudai talaka?, sio kwamba wamekua strong women, ila ni kwa sababu hawana cha kupoteza, hawajawekeza kwenye iyo ndoa ukilinganisha na alivyowekeza mwanaume.

Usiwekeze kwa mwanamke kiasi ambacho hauwezi kustahimili maumivu ya kukipoteza, kabla ya kuwekeza kwa mwanamke tambua ya kwamba wewe unapata hasara, yeye anapata faida na ana uamuzi wabkusitisha hayo mahusiano bila kukulipa compensation.

I love you, i love you my brother.
Ukweli unachokiongea kabisa.. huyu GUBU wangu nimekua nikimpa zawadi za hapa na pale nikimfanyia vitu vya hapa na pale vikubwa kwa vidogo.

Hajawahi hata siku 1 kunipa chochote zaidi ya hizo tunaita hisia zake na huo mwili wake.

Kuna wakati najiuliza hivi mahusiano ni mwanaume tu unatakiwa kumfanyia mwanamke vitu! Wanawake huwa ukiondoa Sex huwa hamna kitu wanaweza offer zaidi?

Nakuelewa sana Mkuu nakubaliana nawewe ila Amini nakwambia, Wapo Wanawake wanao wekeza kwa wanaume zao (hawa ni wale waliokupenda haswa) ila ukiona mwanamke ulie nae hawezi na hajawahi kukununulia hata Boxa tu (danganyia toto) ni swala la muda tu anasubiri uvute kamba aendelee na maisha mengine.

Wanawake Kumpata anaekupenda "Ufanye Kazi"

Wengi anaingia kwenye mahusiano na wewe sababu anajua Unaweza muhudumia, Akipata Mimba Utamlea, Unaweza Mtunza,nk ila UPENDO ndani yao ZERO.
 
Mwanaume anae inyia mkenge kwa kupewa mahaba mazito na Mpenzi wake halafu akaanza wekeza mavitu kibao kwa mwanamke ambae si MKE asee jitathmini.

Mwanamke anaweza kukupa kila eneo la mwili wake and at the same time hakupendi ila anatumia hiyo kama njia ya kukubakiza kwake.

Na ukiona mwanamke njia pekee alionayo kukuweka kwake ni kukupa HOT LOVE ujue umelamba garasa.

Na aina hii ya wanawake hupati shida wajua hata kwenye story zenu hata siku 1 hutomuona ana kushauri kitu kwa biashara zako, anakushauri nini ufanye upge more money ila yeye kucheza Majina 7 kwenye michezo yake Hakwambiii wala hakushirikishi.

Ana michezo 10 na anacheza yote, yani Chake Chake.. Chako Chenu.

https://jamii.app/JFUserGuide You
 
mimi nitawekeza kwa mke wangu, hata kama sitafaidi mimi kwa sababu labda kwa mabadiliko hayo uliyoyasema bado watoto wangu watafaidi mwanamke hawez kuwatupa watoto wake tofauti na mwanaume
Mwanamke hawezi kutupa watoto wake kauli hii inaonesha wewe bado ni mtoto
 
Kwanini hao wanawake wakubali kulala/kuzalishwa na wanaume wa ovyo ovyo wasiokuwa na sifa za kuwa baba?

Hivi unajua kwamba sio kila mwanaume anastahili kuwa baba??
Unaweza ukawalaumu wanawake kwa hilo mkuu? wewe unapoenda kumtongoza mwanamke unamwambia ukweli au unamdanganya ili akubali na utimize haja yako
 
Umenielewa lakini hapo nilipokwambia sio kila mwanaume ana sifa za kuwa baba???

Suala la kutongoza kwa mwanaume halizuiliki kwa namna yoyote ile, hivyo hoja yako itakuwa ni dhaifu sana kama utalifanya ndio kiini cha mantiki yako.
 
Women are smartly calculative when it comes to marriage, once they agree to go down the aisle with you they already have a well beneficial exit plan.
Kwanini nguvu kubwa sana za mashirika mbali mbali duniani hutumika kukipambania kiumbe kilicho smart "Ke" kuliko kiumbe kisicho smart "Me"?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Umenielewa lakini hapo nilipokwambia sio kila mwanaume ana sifa za kuwa baba???

Suala la kutongoza kwa mwanaume halizuiliki kwa namna yoyote ile, hivyo hoja yako itakuwa ni dhaifu sana kama utalifanya ndio kiini cha mantiki yako.
maana yako ninaielewa ni sahihi kuwa kila si mwanaume ana sifa za kuwa Baba, lakini pia huwezi kuwalaumu wanawake kwa kutojua hizo sifa as long as wao wanashawishiwa(kutongozwa) na unajuaje hana sifa za kuwa Baba wakat bado hajawa Baba? hicho ni kitendawili ambacho hakuna mwanamke anaweza kung'amua wataishia kubet ndo yale mwanamke anajikuta ametembea na wanaume wengi
 
Kitu pekee ambacho mwanamke anawekeza kwenye mahusiano ni hisia tu, kwa mwanaume yoyote unaetumia akili kufikiri kikamilifu hawezi kuwekeza kwenye hisia kwa sababu hisia zinabadilika au kuisha kabisa muda wowote.

Huu ni ukweli ambao wanaume karibu wote wanaujua lakini bado wanaendelea kufanya ilo kosa. Wakishapigwa na kitu kizito ndio wanaishia kufanya mauaji au kuwapiga matukio wanawake wengine wakifikiri wnapunguza machungu, kumbe wanawaumiza wasiohusika na maumivu yao.

Mwanaume usibebe iyo risk ya kuwekeza kwa mwanamke, iwe ni kumsomesha, kumuhudumia, kumfungulia biashara, kusaidia ndugu zake n.k, abort huo mpango.

Unajua kwanini wanawake wanaongoza kudai talaka?, sio kwamba wamekua strong women, ila ni kwa sababu hawana cha kupoteza, hawajawekeza kwenye iyo ndoa ukilinganisha na alivyowekeza mwanaume.

Usiwekeze kwa mwanamke kiasi ambacho hauwezi kustahimili maumivu ya kukipoteza, kabla ya kuwekeza kwa mwanamke tambua ya kwamba wewe unapata hasara, yeye anapata faida na ana uamuzi wabkusitisha hayo mahusiano bila kukulipa compensation.

I love you, i love you my brother.
Mama yako ni jinsia gani?
 
Back
Top Bottom