Kwamba wanawake huwa hawajui sifa za mwanaume anayestahili kuwa baba na asiyestahili kuwa baba? Uko serious kweli wewe?maana yako ninaielewa ni sahihi kuwa kila si mwanaume ana sifa za kuwa Baba, lakini pia huwezi kuwalaumu wanawake kwa kutojua hizo sifa as long as wao wanashawishiwa(kutongozwa) na unajuaje hana sifa za kuwa Baba wakat bado hajawa Baba? hicho ni kitendawili ambacho hakuna mwanamke anaweza kung'amua wataishia kubet ndo yale mwanamke anajikuta ametembea na wanaume wengi
Kwamba kitendo cha wao kutongozwa/kushawishiwa tu kinawaondolea ile sense of judgement na hatimae wanakuwa kama maroboti na kukubali kubali tu au?
Hivi unafahamu kwamba mwanamke kamwe hawezi kuzaa na wewe kama hajaamua kuzaa na hajaipenda mbegu yako? Unalitambua hilo?
Dude you are too ignorant and naive about women, yaani bado una safari ndefu sana ya kuwajua wanawake..... sasa hivi endelea kuwatetea hapo na kuwasakama wanaume kwa makosa ambayo yanaanzia kwao.