Usiwekeze kwa mwanamke

Usiwekeze kwa mwanamke

maana yako ninaielewa ni sahihi kuwa kila si mwanaume ana sifa za kuwa Baba, lakini pia huwezi kuwalaumu wanawake kwa kutojua hizo sifa as long as wao wanashawishiwa(kutongozwa) na unajuaje hana sifa za kuwa Baba wakat bado hajawa Baba? hicho ni kitendawili ambacho hakuna mwanamke anaweza kung'amua wataishia kubet ndo yale mwanamke anajikuta ametembea na wanaume wengi
Kwamba wanawake huwa hawajui sifa za mwanaume anayestahili kuwa baba na asiyestahili kuwa baba? Uko serious kweli wewe?

Kwamba kitendo cha wao kutongozwa/kushawishiwa tu kinawaondolea ile sense of judgement na hatimae wanakuwa kama maroboti na kukubali kubali tu au?

Hivi unafahamu kwamba mwanamke kamwe hawezi kuzaa na wewe kama hajaamua kuzaa na hajaipenda mbegu yako? Unalitambua hilo?

Dude you are too ignorant and naive about women, yaani bado una safari ndefu sana ya kuwajua wanawake..... sasa hivi endelea kuwatetea hapo na kuwasakama wanaume kwa makosa ambayo yanaanzia kwao.
 
Biblia imesema tuwapende wake zetu
Acha kufuata bibilia wakati hiki kizazi cha wanawake cha sasa hakifuati bibilia na tena kinaipondea sana hiyo bibilia kinasema ipo kwa ajili ya kumnufaisha mwanaume, sasa basi na wewe usijaribu kabisa kufuata hiyo bibilia hasa kwenye vipengele ambavyo vinamnufaisha mwanamke mfano kama unaposema tuwapende,kuwahudumia na kuwalinda wake zetu.
 
Kwanini nguvu kubwa sana za mashirika mbali mbali duniani hutumika kukipambania kiumbe kilicho smart "Ke" kuliko kiumbe kisicho smart "Me"?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Are you for real to throw this inquiry to me or you're just being sarcastically curious here?

Well, elite globalists wanataka uwe dhaifu na chini ya mwanamke hili usiwasumbue kwa namna yoyote ile pale wanapotaka kupitisha agenda zao na hilo linawezekana kirahisi kupitia hiyo chaos unayoiona hapo.
 
Mimi katika kitu nitahakikisha binti zangu wanajifunza na wanakiishi is KUWA NA VYANZO VYA KIMAPATO BINAFSI.
Uwekezaji wa mwanaume unanoga iwapo unaongezwa kwenye bakuli la mwanamke lililo na kitu tayari, lije lijazie au lionngezee.

Ogopa sana kuwa kwenye uhusiano ambao A Partner ana falsafa hii ya mtoa post af uwe huna kitu af unaamini kuwa unatakiwa uwekezewe.

EHEHEHEHEHHEHEHEHHEHE.
 
Mwisho wa siku unakuja kugundua watoto wenyewe sio wako,endelea kuwaamini hao viumbe.
Haya mangiri ndo tunayasikia kwenye vyombo vya habari yamejipachika shaba kichwani.Yaani mipimbi ni mingi sana na haisikii hata iweje😀😀😀
 
Back
Top Bottom