Usiyoyajua kuhusiana na mchezo wa Mpira wa miguu

Usiyoyajua kuhusiana na mchezo wa Mpira wa miguu

Kuna kitu kinaitwa common sense.Ukikikosa hiko ni shida.Unabaki tu kuwa bumunda linalokubali kila kitu bila kutumia common sense kwa sababu haipo.;Hata google translator ikikuandikia Raisi wa Tanzania ni mrema,we unawaambia watu huku ukisema unawaambia wasichokijua
 
Sorry we ni mkenya chief ....

Maana imekua ngumu kuelewa storie ako....
 
Namba 7 nadhan unaongelea kipa kuanzisha mpira wa goalkick ila Kama amedaka, anaweza kujianzishia maana still upo mchezoni
 
Kocha ni mchezaji pia(anaweza jiweka sub akiamua)
Chutama kubali umechochora.

Kamwe kocha hawezi kucheza kama hajasajiliwa katika orodha ya wachezaji kwenye shirikisho. Husika. Ni kweli Gianluca Viali alikuwa kocha na kucheza Chelsea lakini alikuwa amesajiliwa kama kocha na mchezaji pia. Hapa Tanzania Simba waliwahi kuwa na Hassan Afif alicheza huku akiwa mwalimu lakini alisajiliwa kama mchezaji pia
 
Back
Top Bottom