Usiyoyajua kuhusu Daraja la Tanzanite. Kongole Rais Samia!

Tunaishukuru serikali ya korea kwa daraja zuri pamoja na barabara zake.

Pia tunaishukuru world bank kwa ubungo interchange.

Tunawashukuru japan kwa Tazara.

Tupate mtu mmoja ajitoe tumalize na pale mwenge kwa kuenga interchange. Watu hao ndio wanafanya sisiyemu tuvimbe kichwa
 
Dah...!
Nyange, punguza munkar.
Marehemu hafi. Huyo ameshafunga kitabu chake, kumshambulia hakubadili chochote...wewe pambana tu na hali yako.
Btw, JPM wengi wanamkumbuka sana awamu hii.
Kwa mabaya, mauaji na ukabila watu wengi wamepotea, katudanganya km hili daraja NI pesa za Korea, wengine mnasema Kodi zetu, bado Kijazi (World Bank) na Mfugale (Japn) zote plan kazikuta na ni pesa za watu hata km tutadaiwa, pesa zetu kahamishia kiwanja cha Ndege kwao na traffic light
Hebu tumsahau Mwendazake alirutapeli Sana mmebaki wachache na hamtaliowa
 
Tunaishukuru serikali ya korea kwa daraja zuri pamoja na barabara zake.

Pia tunaishukuru world bank kwa ubungo interchange.

Tunawashukuru japana kwa Tazara.

Tupate mtu mmoja ajitoe tumalize na pale mwenge kwa kuenga interchange. Watu hao ndio wanafanya sisiyemu tuvimbe kichwa

😁

Na tunawashukuru wananchi wa Korea/Japan kwani kupitia kodi zao nasi tumepata kukopa na kujenga madaraja...
 
Sio Sealander ni Selander. Jina linatokana na John Einar Selander aliyekuwa director of public works enzi za ukoloni 1929 Tanganyika.
Na siyo Selander ni Seylander. Ndio alikuwa anaitwa John Einer Seylander 'y'baada ya e. Na hakuwa director of public works bali social climber enzi hizo za ukoloni na siyo 1929 bali 2019.

Acha kutupiga fiksi wewee
 
Akafie mbali, ameligawa Taifa vipande vipande. Na katuachia umaskini kwa kukopa hela nyingi na kujenga kiwanja cha ndege chato na kununua ndege zisizo zalisha. Ametuachia majanga.
unaoneka umejawa na ukabila , Kama wilaya nyingine za Tanzania zina viwanja vya ndege kwanini wilaya ya chato isiwe na kiwanja cha ndege ?
 
Akafie mbali, ameligawa Taifa vipande vipande. Na katuachia umaskini kwa kukopa hela nyingi na kujenga kiwanja cha ndege chato na kununua ndege zisizo zalisha. Ametuachia majanga.
Pia taifa kaligawa vipi ? Tuelezee maana wengine mnakuwa walopokaji tu ,kisa mlikuea vyeti feki [emoji3][emoji3]
 
Kwa mabaya, mauaji na ukabila watu wengi wamepotea, katudanganya km hili daraja NI pesa za Korea, wengine mnasema Kodi zetu, bado Kijazi (World Bank) na Mfugale (Japn) zote plan kazikuta na ni pesa za watu hata km tutadaiwa, pesa zetu kahamishia kiwanja cha Ndege kwao na traffic light
Hebu tumsahau Mwendazake alirutapeli Sana mmebaki wachache na hamtaliowa
Akili zako.fupi mno , unahisi korea , Japan na World Bank wametoa pesa bure ? Ndio maana bado tunatawaliwa kamamboleo , bado tuna mabogasi mengi sana
 
Sasa hivi foleni imehamia barabara ya maandazi na ile ya kutokea mikocheni pale tanesco yaani ukijichanganya kupita huko umelala au mbeleni inaweza pungua maana sasahivi kila mtu anataka kupita daraja jipya.
 
Kwa mabaya, mauaji na ukabila watu wengi wamepotea, katudanganya km hili daraja NI pesa za Korea, wengine mnasema Kodi zetu, bado Kijazi (World Bank) na Mfugale (Japn) zote plan kazikuta na ni pesa za watu hata km tutadaiwa, pesa zetu kahamishia kiwanja cha Ndege kwao na traffic light
Hebu tumsahau Mwendazake alirutapeli Sana mmebaki wachache na hamtaliowa
Wale waliotuibia kupitia Richmond na wale waliokomba hela kutoka Escrow Account walifanya nini cha maana kupitia huo wizi? Afadhali aliyeiba akazipeleka Chato kwa Watanzania kuliko walioiba then wakaenda kuzificha pesa nje ya nchi halafu tunakopeshwa kwa riba
 
Naunga mkono hoja
Akafie mbali, ameligawa Taifa vipande vipande. Na katuachia umaskini kwa kukopa hela nyingi na kujenga kiwanja cha ndege chato na kununua ndege zisizo zalisha. Ametuachia majanga.
 
Sasa hivi foleni imehamia barabara ya maandazi na ile ya kutokea mikocheni pale tanesco yaani ukijichanganya kupita huko umelala au mbeleni inaweza pungua maana sasahivi kila mtu anataka kupita daraja jipya.
Sasa mtu anakwenda mbezi,kawe,tegeta anatokea mjini anapitia hapo darajani anaibukia obay lazima msasani maandaz pale na foleni

Ova
 
Hiyo miradi yote ni serikali huyo mwendazake alikuwa anatoa pesa mfukoni mwake
Yeye anamalizia ya jpm yakwake mingapi ameanzisha?
Kwa vile hana vision inafaa anga'ang'ane na ile ya jpm japo akitoka 2025 aache sifa ya kukamilisha miradi ya jpm.
Mengine tunaona tu akimcritic jpm kwa vitendo. Bado tu kuruhusu ushoga[emoji23].. maana mabeberu ndio anawahusudu sana.
 
Back
Top Bottom