Usiyoyajua kuhusu Daraja la Tanzanite. Kongole Rais Samia!

ningekua Mimi miradi yake hiyo ningezima km alivyoisahau kusini na Gesi yake na korosho mpaka mnyooke haturudii tena kuwapa nafasi za juu
Mkuu, the equation is very simple....
Yeye aliona inafaa kupeleka Chato and he did that. Wewe ambaye huwa unawapa watu nafasi za juu next time hiyo nafasi badala ya kumpa mtu, uchukue mwenyewe then peleka hiyo miradi Kusini. Maana hata Samia naye sahizi kila kitu anapeleka Zanzibar
 
Makunduchi umekuwa Chato II
Hongera kwa Zuhura Yunus. Lkn hizi tabia za Umimi na Ukwetu zinakua kwa kasi sana ndani ya Viongozi wakubwa. Imeonyesha dhahiri kwamba viongozi wetu hawawezi kuficha hisia zao za Upendeleo wa Watu wa Dini zao na Mikoa yao. Hakika viongozi wetu wametudisappoint sana sana
 
Utawala wa Rais Mwinyi Chato kilikuwa Kijiji cha Biharumulo, kufika Mkapa na Mwendazake mkaanza kulobby upuuzi hata barabara kuu mkahamisha ipitie Chato, kiwanja cha Ndege Cha TANROAD hata ukiingia Google hakitambuliki/ halipo eti mnataka Mkoa kabisa, tunasubiri ya Mobutu
Huwezi lazimisha Twiga akae huko NI bora Mama miradi apeleke kwao tutaenda sii bush huko
 
Mama miradi apeleke kwao tutaenda sii bush huko
Mkuu unajua unasumbuliwa na magonjwa gani?....
Magufuliphobia na Samia hysterical disorders are tormenting you. Hizi kitu mbili ziwahi kwa wataalamu wa afya ya akili before it's too late
 
Daraja limejengwa mita chache kutoka daraja la zamani la Salenda. Lina Urefu wa takribani Mita 1030, Upana wa Mita 20.3 na Urefu wa Barabara Unganishi yenye KM 5.2 zilizojengwa kwa kiwango cha lami. Daraja limekamilika kwa asilimia 100%.

Tofauti na madaraja mengi ya namna hii barani Afrika, Watumiaji hawatalipa tozo yoyote pindi watumiapo daraja hili (TOLL FREE). Pia, Daraja hili lenye uwezo wa kuhimili tani 180 za uzito litaweza kusafirisha watu wapatao 55,000 kwa siku.

Kwa Takwimu zilizopo, Daraja hili litakuwa kati ya madaraja 10 marefu zaidi barani Afrika likiwa nyuma ya Daraja la Wouri kutoka Cameroon lenye urefu wa takribani Mita 1800 likiwa katika nafasi ya nane kwa urefu Afrika.

Gharama za ujenzi zimetolewa kwa ushirika kati ya serikali ya Tanzania na serikali ya Korea. Ujenzi ulioanza rasmi mwaka 2018 umeigharimu serikali ya Tanzania kiasi cha takribani dola za kimarekani milioni 104.5.

Hadi kufikia mwaka 2017, Takwimu zilionyesha watumiaji wa Barabara ya Ali Hassan Mwinyi kufikia kiasi cha magari 42,000 kwa siku. Barabara hii ni kati ya Barabara muhimu kiuchumi lakini pia ni kati ya Barabara zenye foleni, hivyo kukamilika wa Tanzanite Bridge ni mafanikio makubwa kiuchumi.

Kwa mujibu wa tafiti zilizofanyika mwaka 2021, wakazi wa Jiji la DSM wenye kipato cha TZS 90,000 hupoteza hadi kiasi cha 39% ya mapato yao kutokana na gharama zinazosababishwa na foleni. Daraja la Tanzanite ni kati ya mipango mingi madhubuti ya kukabiliana na foleni ndani ya Jiji.

Mwisho nimpongeze Rais Samia Suluhu kwa kutekeleza ahadi ya kuhakikisha miradi yote iliyoanzishwa na mtangulizi wake Hayati Dr. John Pombe Magufuli inatekelezwa. Mh. Rais anazidi kuonyesha umahiri mkubwa katika uongozi wake. Watanzania tunapaswa kutembea kifua mbele tumebarikiwa kuwa na viongozi makini.

#SisiTumekubali #kaziinafanyika
Ukome kunipigia kura (sisi)!, sijakutuma.
 
Pongezi apewe Magufuli, tuache unafiki
 
Makunduchi umekuwa Chato II
Hongera kwa Zuhura Yunus. Lkn hizi tabia za Umimi na Ukwetu zinakua kwa kasi sana ndani ya Viongozi wakubwa. Imeonyesha dhahiri kwamba viongozi wetu hawawezi kuficha hisia zao za Upendeleo wa Watu wa Dini zao na Mikoa yao. Hakika viongozi wetu wametudisappoint sana sana
Mkuu hii kitu ni hatari sana na inaligawa taifa vibaya sana. Tusipokaa sawa we'll pay the price with tears
 
Dah...!
Nyange, punguza munkar.
Marehemu hafi. Huyo ameshafunga kitabu chake, kumshambulia hakubadili chochote...wewe pambana tu na hali yako.
Btw, JPM wengi wanamkumbuka sana awamu hii.
Mimi naona bora Samia kuliko Magufuli, ila ni jambo baya kumpa mtu sifa kwa kazi ambayo hajaifanya. Pongezi kwa mradi huu ziende kwa mama yake Magufuli, maana najua you hai, ila sijui status yake ya kiafya
 
Daraja limejengwa mita chache kutoka daraja la zamani la Salenda. Lina Urefu wa takribani Mita 1030, Upana wa Mita 20.3 na Urefu wa Barabara Unganishi yenye KM 5.2 zilizojengwa kwa kiwango cha lami. Daraja limekamilika kwa asilimia 100%.

Tofauti na madaraja mengi ya namna hii barani Afrika, Watumiaji hawatalipa tozo yoyote pindi watumiapo daraja hili (TOLL FREE). Pia, Daraja hili lenye uwezo wa kuhimili tani 180 za uzito litaweza kusafirisha watu wapatao 55,000 kwa siku.

Kwa Takwimu zilizopo, Daraja hili litakuwa kati ya madaraja 10 marefu zaidi barani Afrika likiwa nyuma ya Daraja la Wouri kutoka Cameroon lenye urefu wa takribani Mita 1800 likiwa katika nafasi ya nane kwa urefu Afrika.

Gharama za ujenzi zimetolewa kwa ushirika kati ya serikali ya Tanzania na serikali ya Korea. Ujenzi ulioanza rasmi mwaka 2018 umeigharimu serikali ya Tanzania kiasi cha takribani dola za kimarekani milioni 104.5.

Hadi kufikia mwaka 2017, Takwimu zilionyesha watumiaji wa Barabara ya Ali Hassan Mwinyi kufikia kiasi cha magari 42,000 kwa siku. Barabara hii ni kati ya Barabara muhimu kiuchumi lakini pia ni kati ya Barabara zenye foleni, hivyo kukamilika wa Tanzanite Bridge ni mafanikio makubwa kiuchumi.

Kwa mujibu wa tafiti zilizofanyika mwaka 2021, wakazi wa Jiji la DSM wenye kipato cha TZS 90,000 hupoteza hadi kiasi cha 39% ya mapato yao kutokana na gharama zinazosababishwa na foleni. Daraja la Tanzanite ni kati ya mipango mingi madhubuti ya kukabiliana na foleni ndani ya Jiji.

Mwisho nimpongeze Rais Samia Suluhu kwa kutekeleza ahadi ya kuhakikisha miradi yote iliyoanzishwa na mtangulizi wake Hayati Dr. John Pombe Magufuli inatekelezwa. Mh. Rais anazidi kuonyesha umahiri mkubwa katika uongozi wake. Watanzania tunapaswa kutembea kifua mbele tumebarikiwa kuwa na viongozi makini.

#SisiTumekubali #kaziinafanyika

unadanganya wananchi unadhani bado ni walewale wa zamani? wanajitambua zaidi ya unavofikiria.​

Madaraja kumi 10 marefu zaidi afrika haya hapa nionyeshe hilo daraja la salender lipo hapo?
inamana hata daraja la MKAPA HUKULIONA?

10. Katima Mulio Bridge

The 900-meter-long bridge is quite young compared to others on the list. It was opened for transportation across the Zambezi River in Zambia on May 14, 2004.
1644392948523.png

9. Mkapa Bridge

Mkapa Bridge is 970 meters long to be the longest bridge in Tanzania.

1644393000281.png

8. Wouri Bridge

During the French war, this 1.8-kilometer-long bridge was raised up to build a link between Douala and the port of Bonaberi, Cameroon. It is now almost 70-year-old.

1644393128229.png

7. Qasr al-Nil Bridge

You know the famous River Nile, right? This one of the longest bridges in Africa was built across the longest river on earth. The 1.9-kilometer-long bridge connects the center of Cairo to Zamalek district and Gezira Island, Egypt.

1644393190929.png

6. Armando Emilio Guebyza Bridge

Designed by WSP Group, the 16-meter-wide bridge was built on the land of Mozambique across the Zambezi River link Zambezia and Sofala provinces. It spans 2.37 kilometers.

1644393252021.png

5. Dona Ana Bridge

Dona Ana Bridge crosses over the Zambezi River to join Vila de Sena to Mutarara towns (Mozambique). It was completed in 1934.

1644393298862.png

4. Mozambique Island Bridge

Mozambique Island Bridge was constructed in 1969 to link the Mozambique Island with the mainland, spanning 3.8 kilometers over the Indian Ocean.

1644393351540.png

3. Suez Canal Bridge - Shohada 25 January Bridge

This bridge is a key trading spot for not only its country, Egypt but also the whole Africa, connecting the continent with Eurasia. It spans nearly 4 kilometers. Located in El Qantara, it is also called Shohada 25 January Bridge.
1644393392337.png

2. Third Mainland Bridge - Ibrahim Babangida Bridge used to be the longest bridge in Africa

Its official name is Babangida bridge at its birth in 1990, but the popularity of the name Third Mainland Bridge which refers to the third bridge that was built in the group of three bridges connecting Lagos Mainland with the Lagos Island. Measuring 11.8 km, it used to be on top the the top longest bridges in Africa before the 6th October came in use in 1996.
1644393447958.png

1. 6th October Bridge - the official longest bridge in Africa with a mind-blowing length

The 6th October Bridge was opened in 1996 to dethrone the Third Mainland Bridge to be the longest bridge in Africa. The Bridge in Cairo, Egypt even almost doubles the length of the former record holder, 20.5 km long compared to 11.8 km of Third Mainland Bridge of Lagos. As of 2020, the 6th October Bridge is officially the longest bridge in Africa.

1644393508799.png
 
Back
Top Bottom