Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,021
- 22,016
Kwa mabaya, mauaji na ukabila watu wengi wamepotea, katudanganya km hili daraja NI pesa za Korea, wengine mnasema Kodi zetu, bado Kijazi (World Bank) na Mfugale (Japn) zote plan kazikuta na ni pesa za watu hata km tutadaiwa, pesa zetu kahamishia kiwanja cha Ndege kwao na traffic lightDah...!
Nyange, punguza munkar.
Marehemu hafi. Huyo ameshafunga kitabu chake, kumshambulia hakubadili chochote...wewe pambana tu na hali yako.
Btw, JPM wengi wanamkumbuka sana awamu hii.
Tunaishukuru serikali ya korea kwa daraja zuri pamoja na barabara zake.
Pia tunaishukuru world bank kwa ubungo interchange.
Tunawashukuru japana kwa Tazara.
Tupate mtu mmoja ajitoe tumalize na pale mwenge kwa kuenga interchange. Watu hao ndio wanafanya sisiyemu tuvimbe kichwa
Na siyo Selander ni Seylander. Ndio alikuwa anaitwa John Einer Seylander 'y'baada ya e. Na hakuwa director of public works bali social climber enzi hizo za ukoloni na siyo 1929 bali 2019.Sio Sealander ni Selander. Jina linatokana na John Einar Selander aliyekuwa director of public works enzi za ukoloni 1929 Tanganyika.
unaoneka umejawa na ukabila , Kama wilaya nyingine za Tanzania zina viwanja vya ndege kwanini wilaya ya chato isiwe na kiwanja cha ndege ?Akafie mbali, ameligawa Taifa vipande vipande. Na katuachia umaskini kwa kukopa hela nyingi na kujenga kiwanja cha ndege chato na kununua ndege zisizo zalisha. Ametuachia majanga.
Pia taifa kaligawa vipi ? Tuelezee maana wengine mnakuwa walopokaji tu ,kisa mlikuea vyeti feki [emoji3][emoji3]Akafie mbali, ameligawa Taifa vipande vipande. Na katuachia umaskini kwa kukopa hela nyingi na kujenga kiwanja cha ndege chato na kununua ndege zisizo zalisha. Ametuachia majanga.
Akili zako.fupi mno , unahisi korea , Japan na World Bank wametoa pesa bure ? Ndio maana bado tunatawaliwa kamamboleo , bado tuna mabogasi mengi sanaKwa mabaya, mauaji na ukabila watu wengi wamepotea, katudanganya km hili daraja NI pesa za Korea, wengine mnasema Kodi zetu, bado Kijazi (World Bank) na Mfugale (Japn) zote plan kazikuta na ni pesa za watu hata km tutadaiwa, pesa zetu kahamishia kiwanja cha Ndege kwao na traffic light
Hebu tumsahau Mwendazake alirutapeli Sana mmebaki wachache na hamtaliowa
Umeshavuta msokoto.Na siyo Selander ni Seylander. Ndio alikuwa anaitwa John Einer Seylander 'y'baada ya e. Na hakuwa director of public works bali social climber enzi hizo za ukoloni na siyo 1929 bali 2019.
Acha kutupiga fiksi wewee
Wa Kigamboni wanalipia, Matajiri wa Masaki Bure [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2104946
Lazima fedha za wanachama nssf zirudishweThis is not fair,tena nasikia magari ni tsh 2000 kila unapopita
ππππKifua hakijawahi kuwa nyuma
Wale waliotuibia kupitia Richmond na wale waliokomba hela kutoka Escrow Account walifanya nini cha maana kupitia huo wizi? Afadhali aliyeiba akazipeleka Chato kwa Watanzania kuliko walioiba then wakaenda kuzificha pesa nje ya nchi halafu tunakopeshwa kwa ribaKwa mabaya, mauaji na ukabila watu wengi wamepotea, katudanganya km hili daraja NI pesa za Korea, wengine mnasema Kodi zetu, bado Kijazi (World Bank) na Mfugale (Japn) zote plan kazikuta na ni pesa za watu hata km tutadaiwa, pesa zetu kahamishia kiwanja cha Ndege kwao na traffic light
Hebu tumsahau Mwendazake alirutapeli Sana mmebaki wachache na hamtaliowa
Akafie mbali, ameligawa Taifa vipande vipande. Na katuachia umaskini kwa kukopa hela nyingi na kujenga kiwanja cha ndege chato na kununua ndege zisizo zalisha. Ametuachia majanga.
Sasa mtu anakwenda mbezi,kawe,tegeta anatokea mjini anapitia hapo darajani anaibukia obay lazima msasani maandaz pale na foleniSasa hivi foleni imehamia barabara ya maandazi na ile ya kutokea mikocheni pale tanesco yaani ukijichanganya kupita huko umelala au mbeleni inaweza pungua maana sasahivi kila mtu anataka kupita daraja jipya.
Yeye anamalizia ya jpm yakwake mingapi ameanzisha?
Kwa vile hana vision inafaa anga'ang'ane na ile ya jpm japo akitoka 2025 aache sifa ya kukamilisha miradi ya jpm.
Mengine tunaona tu akimcritic jpm kwa vitendo. Bado tu kuruhusu ushoga[emoji23].. maana mabeberu ndio anawahusudu sana.
Hilo Daraja limeanza ongelewa JPM akiwa Waziri Ujenzi.