Usiyoyajua kuhusu Makabila ya Wajita na Wakurya

Aisee!!!, una uhakika uko sawa kifikra?
 
Unawapa sifa kama unawazungumzia aina fulani ya Wanyama. Hao ni binadamu, hawazliwi na sifa hizo unazozitaja, ambazo ni matokeo tu ya malezi.
 
naamini tanzania nzima hakuna wanaume wanaojipenda kama wajita hata kama suruali imechanika lazima achomekee na kalamu zake mbili kifuani wanapenda kazi ya ualimu sana shida yao kubwa ni wambea mjita haulizwi kitu ameshakuambia hana siri hata kidogo huyo ndio mwanaume wa kijita baba
 
Hakikisha una uwezo wa kuvumilia maana mimi nakula nakula udaga, nitakupasua vibaya mnoo
Hata hujui mmakonde weye!! wale wanakula ugali wa udaga/mahemba!! siyo udaga! kwanza hata huko uzanakini hawajui kulima huo muhogo!! hujui! usilazimishe! km kweli unakula ugali ya ulesi nyaa itakuwa ngumu ngumu hivi! haina utelezi saaana! safi karibu!

hata ukitaka zamu kwa zamu! sawa tu mie ili mradi niridhike saabu ya huo ungali ya mtama!
 
Nimemkumbuka felix odongo
 
Mzee unaeandika utakuwa Mjita, unajaribu kuiba sifa wa wakurya kwani hamfanani kwa chochote. Wakurya ndio wenye misamamo dhabiti kwenye yote wayatakayo sio Wajita. Wajita unaweza kuwalinganisha na Wakerewe, na Wahaya wana mengi ya jkushabihiana ila iso Wakurya kwa vyovyote vile. Tafuta kiki nyingine usilinganishe na Mkurya Mura huyu vipi huyu ,Tutamgecha.
 
Wajita wa kiume ni wabishi sana halafu wana tabia za kuwateta watu wengine nafanya nao kazi kituo kimoja, tabia zao siyo nzuri lakin wamama wa Kijita ni wapole na wastaarabu sana.
Ni kweli kabisa hawa wajamaa hapa kuna mmoja tupo nae kazini ndo zake.....
 
Wale wa kibara ni kabila gn?
 
Haswa hao wa kibara
 
Hii ni shiiidahπŸ™„
 
Mkuu elezea kuhusu kabila la wasimbiti naskia nao wanapatika huko huko
 
Mkuu tujuze abc kuhusu wasimbiti niliskia hili kabila linalatikana huko
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Hukuweza kuwafahamu kindani. Wajita wanapenda sana ushirikina!
 
Hizi stori umesikia wapi aisee ?

Kwanza kinachosababisha Wakurya wapende mapigano ni kwasababu hawajui kabisa uchawi.

Ukikuta mkurya ni mchawi labda kaununua
Huyu muongo mkuu, wakuria kwenye uchawi na ushirikina hawamo kabisa.
 
Kweli kabisa Huyu anataka kutudanganya, unajua siku hizi eti wajita nao wanajiita wakuria, wapi na wapi? Waooooga!
 
Nilicho shangaa mpaka leo kutoka mkoani mkoani Mara jamani ni kupiga saluti kabla ya kula Mbunye!! jamni mweee!! demu wa kwanza nilidhani labda utani!!! wa pili watatu ivoivo duuuu!! nikachoka mie...hao jamaa si utani wala majungu ila ndo ivoivo walivo....... utajua duniani kuna mambo!
 
We ulikuwa unatoka na madem gan hao? Mbona mm nimekulia huku na nimewai toka na madem wa huku ila sijawai ona hio kitu
 
Niliwahi kusikia kijita kinafanana na kikerewe.

Vipi kuhusu Tamaduni wanaendana pia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…