Usiyoyajua kuhusu Makabila ya Wajita na Wakurya

Yeah uko sahihi kaka, ni kama ilivyo Kwa wasimbiti, Wairegi, wangoreme, wakenye, warenchoka, watimbaru, wanyabasi ni miongoni mwa Koo/vikabila vidogovidogo vinavyounda kabila moja kubwa la kikurua.
 
Wewe ndio umejua kudadavua vizuri mjita kwa uvivu nakubali,mkurya Yaani hata kama chakula umenunua wewe utasikia mura lete huku tule hicho chakula,Yaani wakurya hawajui kubebembeleza mtu
 
Sema mjita mjivuni

Mhaya anasubiri

Ova
 
Ukioa mwanamke wa kijita au kikurya umepata mwanamke wa familia ni wavumilivu mno, Tena mno.
Sijawahi kuwa na ushahidi concrete sana katika hili ila uvumi kutoka kwa watu wengine umeshanisababisha nikawa na imani kubwa sana katika hili.

Ukiondoa makabila haya mawili, ongezea pia na Waha kutoka kule mwisho wa Reli; they are among the best women in Tanzania
 
Tabia ya kuuwana kwa vitu vya kijinga ndio sifa kubwa hujaitaja
Suala la "vitu vya kijinga" ni very SUBJECTIVE. Yaani wewe uonacho ni cha maana, kwangu ni cha kipuuzi tu. Kwa mfano ukimwaga pombe ya mlevi mtapambana sana ingawa kwangu au kwa yule aliyeimwaga ni kitu cha kawaida sana au ni kimiminika cha kipuuzi tu! Kuna mifano mingi sana. Hivyo ni vizuri ukaeleza hivyo "vitu vya kijinga" NI NINI AU VIPI?
 
WEWE NDIO MPUMBAVU WAKURYA UGOMVI WENU MKUBWA SILAHA KUPIGANA HAMUWEZI
 
WE UMEONGEA UKWELI KABISA WAJITA SIO WAKOROFI UKIONA HADI MJIYA AMEKASARIKA SANA UJUE KWELI KAKWAZIKA NA VILE VILE WAJITA SIO WATU WA SIFA ILA WAJITA NI WANAONGEA UKWELI AKIKWAMBIA MI NA MILLION 10 BENKI HAINA KAZI NATAKA NI ENJOY TU ANA MAANISHA SIO ANAJISIFIA SASA ILE MJITA KUWA MKWELI NA MILLION 10 ANA KWA KUIPELEKA ANATAKA KUENJOY NDIO WATU WANASUSA HALAFU VILE VILE HATA WAKURYA PIA WAMBEYA WENGI TU ILA ASILIMIA KUBWA NI WAKOROFI (TOFAUTISHA UKOROFI NA UBABE) WAJITA ASILIMIA CHACHE WAKOROFI WENGI WAPOLE NA MOST OF THE TIME NI WAPOLE WACHACHE NI WAKOROFI UTAJUA KUTOFAUTISHA UKIISHI NA JAMII HIZO SEHEMU YOYOTE
 
NISHAWAHI KUKAA MAZINGIRA FULANI YA KICHUO MAKABILA MCHAMGANYIKO ILA NILICHOGUNDUA WAKURYA WENGI WANAWACHUKIA WAJITA SIJUI KWANINI?YAAN UNAKUTA JAMAA LINAKUANZA TU UGOMVI HALFU UNALIPOTEZEA HALAFU WAJITA NYIE SIJUII NINI BLAH BLAH KIBAO UNAONA AHA KUMBE NDIO MAANA MTU AKINIONA AKINIBIAGA IVI KWA MUONEKANO WE MTU WA MUSOMa NA MWAMBIA NDIO ILA MIMI SIO MKOROFI SIO MKURYA MIMI SASA UKOROFI UTAWAPELEKA WAPI WAZEE WA VITA NI VITA MURA TUGUSANE MAUNGONI BASI WITHOUT SILAHA KAMA WAMASAI
 
Kwa hyo unataka kutuambia sisi makabila mengine si wastaarabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…