Usiyoyajua kuhusu Makabila ya Wajita na Wakurya

Usiyoyajua kuhusu Makabila ya Wajita na Wakurya

Yeah uko sahihi kaka, ni kama ilivyo Kwa wasimbiti, Wairegi, wangoreme, wakenye, warenchoka, watimbaru, wanyabasi ni miongoni mwa Koo/vikabila vidogovidogo vinavyounda kabila moja kubwa la kikurua.
 
wajita na wakurya wanatoka seheme moja lakini kuna utifauti mkubwa ya kitabia kati ya hao wawili

wakulia ni watu wa mabavu wana loss temper kirahisi, hasira zao ni mapigano, lakini wajita sio watu wa mabavu ingawa nao wana loss temper kirahisi lakini atumii nguvu labda atakuwekea kisasi

wajita ni wavivu wanafanya kazi mpaka awe na mood mjita analima kasehem kadogo alafu anajisifia mbaya 'asee leo nimelima bwana'.. lakin wakurya wanapiga kazi wanajituma sana na wanataka kuona matoke ya kazi

wajita wana nature ya upole upole, sio wakorofi mpaka uwatibue na ukiwatibua ata deal na kiakili so kinguvu ingawa anaweza akatua nguvu pia, wakurya kwenye upole hawapo kabisaaa.. wakitaka kitu lazima nguvu itumie yani 'nguvu fuso akili kisoda'

wajita wanapenda kuvaa asee, yani mjita anaweza kwenda kulima anapaka mafuta mkanda nje na pen kwenye mfuko wa shati, wakurya hawana hizo tabiaa za kuvaa na awawezi kupanga mavazi

hii najua jf naweza msihamini
wajita kwenye upande wa mapenzi wapo romantic sana wanajua kuplease na wana penda sex, wapo emotional sana awajamaa.. tofauti na wakurya mapenzi wanayachanganya na vita... yani vita ni vita muraaah

kwenye chakula wote wanakula chakula cha kufanana

mwisho kabisa, hayo makabila mawili watu wanayafananisha sana kwasaababu wote wanatoka sehemu moja lakini deep inside.. hawafanani hata kidogoo hususani kwenye tabia
Wewe ndio umejua kudadavua vizuri mjita kwa uvivu nakubali,mkurya Yaani hata kama chakula umenunua wewe utasikia mura lete huku tule hicho chakula,Yaani wakurya hawajui kubebembeleza mtu
 
Sema mjita mjivuni

Mhaya anasubiri

Ova
 
Ukioa mwanamke wa kijita au kikurya umepata mwanamke wa familia ni wavumilivu mno, Tena mno.
Sijawahi kuwa na ushahidi concrete sana katika hili ila uvumi kutoka kwa watu wengine umeshanisababisha nikawa na imani kubwa sana katika hili.

Ukiondoa makabila haya mawili, ongezea pia na Waha kutoka kule mwisho wa Reli; they are among the best women in Tanzania
 
Tabia ya kuuwana kwa vitu vya kijinga ndio sifa kubwa hujaitaja
Suala la "vitu vya kijinga" ni very SUBJECTIVE. Yaani wewe uonacho ni cha maana, kwangu ni cha kipuuzi tu. Kwa mfano ukimwaga pombe ya mlevi mtapambana sana ingawa kwangu au kwa yule aliyeimwaga ni kitu cha kawaida sana au ni kimiminika cha kipuuzi tu! Kuna mifano mingi sana. Hivyo ni vizuri ukaeleza hivyo "vitu vya kijinga" NI NINI AU VIPI?
 
Acha kuchafua makabila ya watu we mpuuzi, Kwa taarifa yako wakurya naweza kusema ndio yanaongoza kwa kuwa na idadi kubwa mno ya wasabato, kufiupo wana mara wengi ni wasabato.

Wakurya wanaamini katika vitendo na sio haya mambo ya ushirikina, Mkurya kukuroga labda iwe bahati kwako, wale jamaa mnamalizana kwa vitendo chap chap, na ndio maana wamerundikana sana jeshini, polisi, n.k. japo siku hizi kumkuta daktari, muhasibu, mkuu wa mkoa, mwanasheria, n.k wa kikuria sio ajabu.

Matambiko yanawezekana yawepo maana hata kwa wachaga yapo na wala hakuna tatizo, Ila ushirikina haujapewa kipaumbele, hapa umewasagia kunguni tu (umewasingizia). Ushirikina kwa kiwango kikubwa upo wilaya ya musoma mjini na vijijini ambako nahisi kuna wazanaki na wajaluo, Wakurya wapo wilaya tofauti kabisa, wapo tarime na rorya na kwa upande wa kenya wana wilaya zinaitwa kuria west na kuria east.
WEWE NDIO MPUMBAVU WAKURYA UGOMVI WENU MKUBWA SILAHA KUPIGANA HAMUWEZI
 
Umeelezea vizuri. Maelezo yako yanadhihirisha kuwa unayajua vizuri haya makabila.

Nyongeza
Wajita walitangulia shule kabla ya kabila lolote mkoa wa Mara. Zamani ilikuwa Ukifika hospitali zote ma Nurse walikuwa ni wajita, bila kusahau walimu. Ilikuwa ukitaka kwenda kusoma nursing au ualimu utasikia unataniwa KWANI WEWE NI MJITA.

Wajita ni wakarimu sana na Si wachoyo hasa kwenye chakula. Changamoto yao kubwa ni WANASENGENYAJI sana na wana kisasi sana.

Asilimia kubwa ni wasabato.
WE UMEONGEA UKWELI KABISA WAJITA SIO WAKOROFI UKIONA HADI MJIYA AMEKASARIKA SANA UJUE KWELI KAKWAZIKA NA VILE VILE WAJITA SIO WATU WA SIFA ILA WAJITA NI WANAONGEA UKWELI AKIKWAMBIA MI NA MILLION 10 BENKI HAINA KAZI NATAKA NI ENJOY TU ANA MAANISHA SIO ANAJISIFIA SASA ILE MJITA KUWA MKWELI NA MILLION 10 ANA KWA KUIPELEKA ANATAKA KUENJOY NDIO WATU WANASUSA HALAFU VILE VILE HATA WAKURYA PIA WAMBEYA WENGI TU ILA ASILIMIA KUBWA NI WAKOROFI (TOFAUTISHA UKOROFI NA UBABE) WAJITA ASILIMIA CHACHE WAKOROFI WENGI WAPOLE NA MOST OF THE TIME NI WAPOLE WACHACHE NI WAKOROFI UTAJUA KUTOFAUTISHA UKIISHI NA JAMII HIZO SEHEMU YOYOTE
 
NISHAWAHI KUKAA MAZINGIRA FULANI YA KICHUO MAKABILA MCHAMGANYIKO ILA NILICHOGUNDUA WAKURYA WENGI WANAWACHUKIA WAJITA SIJUI KWANINI?YAAN UNAKUTA JAMAA LINAKUANZA TU UGOMVI HALFU UNALIPOTEZEA HALAFU WAJITA NYIE SIJUII NINI BLAH BLAH KIBAO UNAONA AHA KUMBE NDIO MAANA MTU AKINIONA AKINIBIAGA IVI KWA MUONEKANO WE MTU WA MUSOMa NA MWAMBIA NDIO ILA MIMI SIO MKOROFI SIO MKURYA MIMI SASA UKOROFI UTAWAPELEKA WAPI WAZEE WA VITA NI VITA MURA TUGUSANE MAUNGONI BASI WITHOUT SILAHA KAMA WAMASAI
 
Back
Top Bottom