Usiyoyajua kuhusu Makabila ya Wajita na Wakurya

Kwa wakurya hakuna msamiati naomba na samahani/nisamehe ila kuna yaishe/tuyaache na nipe au nataka kwaiyo usishangea anapokukosea akashindwa kusema samahan ila akawambia yaiche ama tuyaachae. Hii ni kwa sababu na kwenye lugha ya kikurya hakuna msamiati wenye maana hizo kwa kiswahili
 
Wajita kina Nyamtondo, Nyamajura, manyama, Nyanyama, Kunigwa, Mato wazaramo wa kanda ya ziwa.

Wenyewe siyo wafugaji ila ni wavuvi na wakulima, wanapenda kula fulu, mtoto wa kikurya kuolewa na wajita ni nadra sana kwa sababu hawana ng'ombe za kulipia mahari na kwa mkurya ng'ombe ndiyo kila kitu. Dada aolewe ili kaka akaoe kwa kutumia ng'ombe alizolipiwa dada mahari au baba aongeze bi mdogo.

Dada akizingua kwenye ndoa yake ujue hata kaka naye anakosa mke, wanachofanya waliomuoa dada wanakwenda kuchukua ng'ombe zao kule alikooa kaka hivyo automatic mke wa kaka anarudi kwao na dada anarudi.

Hapo ndiyo Utajua kwa nini ukuryani mawifi wana sauti kwenye ndoa za kaka zao.

Na dada akiolewa lazima avumilie kwenye ndoa yake kwa mustakabali mzima wa ndoa ya kaka yake maana akivurunda na ndoa ya kaka nayo inakuwa chali, hivyo ukoo wa alikozaliwa hauwezi kustawi.
 
Changamoto ya wanawake wa Mkoa mara ni kukosa uaminifu na ukorofi.

Wengi wanaachika na kuanzisha miji na kuzaa watoto. Na wengine wanaoa wanawake wenzao kwa ajili ya kupata watoto wa kuwafanyia kazi katika mji wake.
 
Mwanamke wa kijita kuolewa ata mara 4 anaachika anaacha watoto anahamia kwingine anazaa anatoka anaenda kwingine anazaa hainaga shida kwao, mjita anaongea sana kuliko vitendo wana umbea mbea flani si mwanaume si mwanamke, silaha kubwa kwao uchawi, si wachapakazi kama mkurya, mkurya anapatikana vijiji vya serengeti, tarime, sirari kwenda hadi huko kehancha upande wa Kenya karue wakurya hawaishi rorya huko wapo wajaluo
 
Mkuu, pia wengi huwa wanadhani Mara ni mkoa wenye makabila machache kumbe yapo mengi, huwa wanadhani mara ni mkoa wa watu wasio na elimu kumbe wapo wengi, pia wanadhani wakurya wapo wengi kumbe kiuhalisia ni kabila ambalo ni la watu ambao idadi yao haifikii hata wajita
 
pia kenya wapo kuria east na kuria west

 
Sio kweli Mara Kuna makabila matatu tu.WAKURYA,WAJITA na WALUO.
wazanaki,waikizu,waikoma,wanata hizo Ni Koo ndogo za kikurya zilizomezwa na Ila majina yao ni mamoja.lakini kwa Kenya Kuna wakisii Hawa Ni wakurya waliomezwa.
Wewe ni mwenyeji huko Mara?
 
Sema wajita kwa umbea ni noma sio ke wa me.Ila komesha ni Wakwaya hawa hawapendi maendeleo ya watu ni waongo, wanafki na wachawi.Yani ukiwa na tabia mojawapo kati ya hizo utasikia wanakwambia unatabia za kikwaya.

Alafu wajita hawapakani na wakurya kwanza wako wilaya tofauti.Wakurya wanapakana na wajaluo ukitoka rorya unaenda tarime.Sema nini wakurya ni watu poa sana hawanaga uongo uongo kama wajita,wakwaya na wajaluo wao kila ni mtu na mishe zake.

Ukipata demu wa kikrya utafaid kupendwa sana sema uki mcheat ndo utajua hujui kwao bora mkose wote ila ubaya hawako romantic kama wadada wa kijita na kijaluo.
 
Aiseeeee!!
Hebu tuambie wewe ni Mwanaume au Mwanamke?
 
Kuna habari moja nilisikia mkurya akitengana kwa muda na mke wake alafu huyo mke akakutana na mwanaume mwingine na wakazaa watoto ikitokea tena mkurya akarudiana na huyo mke wake basi anadai na hao watoto aliozaa huyo mwanamke na yule mwanaume wapili,je habari hii ni kweli?
 
Inatokea, wakurya hawabagui watoto.

Ndivyo walivyo.
 
Mkuu niandikie na wajaluo
Wajaluo sio kabila la kuandikwa hovyoπŸ˜‚πŸ˜‚

Ila ni wasomi wabobezi hasa kwenye sheria. Wanapiga ngeli hao. Wanaingiliana sana na wakenya.

Wajaluo wamebarikiwa kwenye Art ya kutengeneza vitu vinavyohusiana na vyuma. Ni wafua vyuma wazuri sana. Wanajua kula na vipofu hao. Akiwa hana kazi anajua unaweza kumpa kazi au kumpa connection, anakuwa very calm, anaweza hata kuosha vyombo na kufua nguo nguo zakoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Ukimpa hiyo kazi anaweza kuitumia kukudondosha wewe.

Tatizo sasa
Hawajali kuhusu watu wengine hasa wasiokuwa wajaluo. Ni wachoyo balaa na wakabila sana. Ukikutana na mwenye roho nyeusi ni wana roho mbaya hasa. Ukikaa nao wana matendo ya kustaajibisha balaa, tena wakati mwingine ni matendo ya kuudhi. Ukifanya kazi na mjaluo muda wote wa maisha yenu ujue atakuwa anawaza cheo chako. Wanapenda vyeo haoo, na wakipata vyeo huwa hawako fair.
MJALUO KUKUFUKUZISHA KAZI NI KITENDO CHA KUFUMBA MACHO NA KUFUMBUA.

Asili yao hawatupendi wabantu, na kuna jina ambalo huwa wanatuita wabantu.

Mambo ya kushangaza au kuchekesha Ujaluoni😁😁😁😁

Wasichana waliovunja ungo huwa wanajengewa nyumba zao za nje. Ili iwe rahisi kujifanyia mambo yao. Hasa yale ya😍😍

Zamani kumkuta mjaluo na govi ni jambo la kawaida. Walikuwa wanatahiriwa neno.

Wako very fanπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Wana life style zao za kipekee.

USHIRIKINA.
Kwa kweli hawa miamba Teknolojia yao ya ushirikina ni tofauti sana. πŸ˜…πŸ˜…

Kuna mambo ukiambiwa huwezi kuamini, unaweza kujua ni chai ila ni kweli kabisa.

Kwa mfano,

Unaweza kutegwa sumu kwenye sahani mnayokula watu wengi, ila sumu ukaila peke yako.

Kutegwa sumu kwa njia ya macho ni kawaida sana. Yaani mtu anaweza kukuloga kwa kukuangalia tu.

Maiti kulia akatoa machozi Ujaluoni ni jambo la kawaida.

KWA KWELI MAMBO HASI KWA WAJALUO NI MENGI KULIKO CHANYA.
 
Umenikumbusha yule jaluo alikuwa DG nasaco
Elimu ipo,pesa ipo,lugha ipo
Hapo sasa hizo swaga zake

Ova
 
Wakurya na jamii nyingi za kifugaji na wakulima hawabagui watoto.

Kazi za kilimo na ufugaji zinahitaji human resource.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…