Usiyoyajua kuhusu Makabila ya Wajita na Wakurya

Kuna uwezekano kuwa mkoa wa Mara kuwa ndio Mkoa wenye makabila mengi ya asili ya Mara Tanzania nzima.

Kuna makabila mengi yenye Asili ya mara hapo hapo.

Mfano wilaya ya Serengeti tu ina makabila kama matano hivi.
 
Hujasema wa napenda sana muziki. Hasa hasa yao ya kijaluo na ni maarufu kwa usanii wa muziki. Eg Jerry Nashon
 
Wajita wa kiume ni wabishi sana halafu wana tabia za kuwateta watu wengine nafanya nao kazi kituo kimoja, tabia zao siyo nzuri lakin wamama wa Kijita ni wapole na wastaarabu sana.
Navyowafahamu wajita hawana kuteta. Labda hao si wajita original. Wajita wanakupa ukweli. Hawapendi kupindisha. Si wajita tu makabila mengi ya Mara. Ila wanao penda kuteta ni Waruli na wakwaya. Hawa wanakitabia hicho.
Na Waruli wananguvu za kichawi. Wajita na wakurya wako strong. Wajita wamegawanyika asili yao ikiwa ni kutoka Ethiopia. Walipo fika Musoma wakachanganyikana na makabila ya hapo, kama wakwaya hivyo wakiongea unatakiwa kuwa makini sana unaweza dhani ni kitu kimoja.
 
Katika makabila hayana uchawi ni hili..huo uchawi unaufanya wapi wakati jamaa ugomvi nje nje, uwalogee ndugu yao waje wakuchomee ndani ya nyumba, na mifugo yako waikate kate.
 
Wakurya wana ukatili uliopitiliza hasa kwa wanawake. Nimeliona hili kwa miaka mingi.

Utakuwa hauna akili timamu wewe
Sio bure
tabia ya mtu mmoja unai generalize kabila zima?
Mbuzi kweli wewe!
Kwa hiyo tabia za wamachame ni tabia za wachaga wote?
Tabia za wasabato ni tabia za wakristo wote?
Tabia za washiha ni tabia za waislamu wote?
Kenge wewe!
 

Hata ubishe vipi, wakurya ni katili. Nani kawapeleka jeshini, Kanda maalum kule rorya nani kapeleka na kwanini
 
Wajita wa kiume ni wabishi sana halafu wana tabia za kuwateta watu wengine nafanya nao kazi kituo kimoja, tabia zao siyo nzuri lakin wamama wa Kijita ni wapole na wastaarabu sana.
Umeongea sahihi sana , wajita wanaume wengi wao sio kabisa , si tunaye hapa ofisini daah Noma kabisa
 
Hayo mambo ya mzee odemba bwana
 
Mojawapo ya sifa kuu ya mjita, hapungukiwi kuwa na karamu kama 8 hivi zenye rangi tofauti tofauti kwa mfuko wa suti hata kama hajui kusoma na kuandika.
2.Wanapenda sana kuongoza na si kuongozwa ,kwa eneo analoishi iwe mtaa ama kijiji atataka awe balozi ama mwenyekiti ndo roho yake itulie.
 
Ukioa katika hayo makabila usiwe lege lege

Hawaendi bila msimamo na mikwara
Kwa uungwana na ustaarabu ni lzm wakutie vidole wanakuona SAwa na mwanamke mwenzao,wanakwenda kwa ngumu,teke,meno,ubabe ukiwa padri utowaweza.Labda tu uwe ndugu yake Yesu yaani mtu wa kusamehee na kupotezea.
Ila awakimbii nyumba utakimbia wewe yaani anaeshindwa kuvumilia ndoa ndie aondoke lkn wao piga utakavyo awaondoki mapenzi ndio uzidi.
Karibu Mara kwa ndoa za kijeshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…