Shida sio umaarufu, hii inatokana na namna ilivyo kuwa ikifanyika. Kumbuka wakati wa binti kwenda kukeketwa huwa inapigwa bonge la shereheKabila maaruf ndo tatizo wengne wanaongea kwa kuskiliza2 maneno ya kweny vijiwe vya kahawa
Ndiyo, Wajaluo wana uwezo mkubwa sana kwenye hayo niliyoyataja (hususani uchawi).Wajaluo wana uwezo mkubwa sana, wewe utakuwa na wivu tu na wajaluo, hawapendi ujinga tu, hasa wa wizi wa ng'ombe.
Wana uchawi wao wa kuhesabiana ukiwa unakulaNdiyo, Wajaluo wana uwezo mkubwa sana kwenye hayo niliyoyataja (hususani uchawi).
Tupo pamoja mkuu, Wajaluo wanauwezo mkubwa kwenye mambo yenye kuleta taflani ktk taasisi au jamii.
Waluguru nadhani ndio wanaongoza kwa majungu wakifuatiwa kwa karibu sana na wanyakyusaKuna kabila moja hapo linaongoza kwa majungu TZ nzima
Unaijua wilaya ya Serengeti?!Nawasalimu kwa Jina Baba Mwenyezi aliye Mbinguni
Wakurya na Wajita ni makabila yanayopatikana mkoa wa Mara, Wajita wakipatikazana zaidi Bunda na Majita
Wakati wakurya wanapatikana kwa wingi Rorya na Tarime
Makabila haya ni ya watu wanaojiheshimu na wastaarabu Sana Tena Sana tatizo la haya makabila hawataki kuonewa, kunyanyaswa au kudhulumiwa kitu chake hapo mtamalizana papo kwa papo kwa mbinu yeyote anaeijua yeye.
Ukioa mwanamke wa kijita au kikurya umepata mwanamke wa familia ni wavumilivu mno, Tena mno.
Makabila haya watu wake hawajui kuongea kwa kubembelezana wao kuongea kwao ni Kama amri ya Jeshi
Ukiwa mgeni katika mkoa wa Mara utajua namaanisha Nini.
Wanapenba kula ugali wa mtama uliochanganywa kwa unga wa muhogo (udaga) pamoja na samaki na nyama
Haya ndiyo niliyaona miaka 5 niliyoishi mkoa wa Mara
Isee wewe jamaa unasema hawana hofu ya Mungu na hapohapo unaonyesha wewe usivyo na hiyo hofu ya Mungu kwa kudai wakurya wanapenda kulogana?!Ukitaka kuishi kwa raha kwenye ndoa yako kaa mbali na hili kabila LA wakurya waache waoane wenyewe kwa wenyewe watawezana. Hili kabila LA wakurya wanapenda sana na kuabudu matambiko na ushirikina. Mambo ya ukatili na kulogana kwao ni kawaida hawana hofu ya Mungu ukitamka habari za wokovu kwao ni kama unatangaza vita. Ni wapenda Shari hawajui neno samahani kila kitu kwao ni amri tu. Mila zao ni kama zakuita mashetani .mfano MTU wao akifa Leo wakishazika kesho asubuhi sana wanadamkia makaburini kwenda kupiga ukunga kumuamsha marehemu. Hivi nani kawadanganya kwamba marehemu anaamshwa? Huko sindio kuamsha roho za mauti watu waendelee kufa? Na ndio maana unakuta ukoo mmoja kila siku misiba haiishi kwasababu ya kutembea na roho za mauti .maandiko yanasema msitake kujua habari za waliolala. Hili kabila linahitaji wokovu kwa hali na Mali.
Mkuu kina lyimo nao ni wajita, Sirro ni mjita au?Mimi ni mjita pure kabisa Toka Kisolya BUNDA.
Hapo Na.2 umekosea.Mimi ni mjita pure kabisa Toka Kisolya BUNDA.
Nyongeza.
1-Hakuna uhusiano wa kitabia Kati yetu na wakurya.
2-Katika Kabila letu hakuna msamiati wa R
Maneno yote hakuna R. Yaani Penye R sisi huweka L mfano wa maneno au Majina.
Lyagenda, lyasubha, Malima, Mbwila, Kalibhata, tegelesha, n.k hatuna R. Hata aliyesema Musiba anatoka Iramba Yuko Sawa Ila kakosea matamshi hicho kijiji kinaitwa Kwilamba na wengine huita Bhulamba. Siyo Iramba hiyo ni kwa Mwigulu Chemba huko.
3.Kabila letu ndo Kiboko ya Mawifi, yaani ukioa Mjita lazima Dada zako washike Adabu hakuna kuja home na kuleta tabia za kijinga jinga na kujipangia tu mambo wanavyotaka wao eti kisa wako kwa Kaka Yao NO.. wanapaswa Kutulia tuli.
4.Moja ya Mambo ambayo ni kipaumbele kwetu ni SEX.. Siyo ME Wala KE Tunapenda Sex kuliko kitu chochote.. asilimia Kubwa zaidi ya 85% Ya wanaume wa Kijita Wana uwezo wa Kumlidhisha mwanamke wa Aina yoyote akaEnjoy Sex to the maximum level, na wanawake wa Kijita zaidi ya 90% wana uwezo wa Kumlidhisha mwanamme, siyo Magogo Kitandani huenda ziwani kwenye mchanga Wakiwa wadogo na kufundishwa kukata viuno Tena BINTI huwekewa Sindano chini usawa wa kiuno.. akishuka tu anachomwa Hivyo kwa bed wako Vizuri..
5.Wanaume ni Watafutaji maana wanapenda Kula vizuri, wanawake ni Wavumilivu, Lakini wanawake huanza kwanza kumtingisha kidogo mwanamme na kuona msimamo wako, Ukilegea tu Anakukalia, Anakutawala Ila Ukionesha msimamo wa Kiume, ni wanyenyekevu na Wajenga miji.
6_Ubishi tunaongoza japo Tofauti yetu na waha sisi tuna uwezo mkubwa Wa kujenga hoja, Tunabisha kwa Logic.. Useng'enyaji na Majungu hatujambo..
Niliwahi kukutana na mmissionari mmoja 'anachonga' kuwa wabongo hatuna neno wala tabia ya ku-beg tunasema tu 'give me....' blah blah blah. Nilichogundua ni kuwa hakuwa anakijua kiswahili kwa kiasi alichodhani kuwa anakijua! Nilipomuuliza kama anajua maana na tofauti ya maneno 'nipe' na 'naomba'....alibaki kung'aa macho na pua yake ndefu!Kwa wakurya hakuna msamiati naomba na samahani/nisamehe ila kuna yaishe/tuyaache na nipe au nataka kwaiyo usishangea anapokukosea akashindwa kusema samahan ila akawambia yaiche ama tuyaachae. Hii ni kwa sababu na kwenye lugha ya kikurya hakuna msamiati wenye maana hizo kwa kiswahili
Yaani huyo jamaa amenishangaza sana kwa uongo wake uliopindukia mipaka!!!Katika makabila hayana uchawi ni hili..huo uchawi unaufanya wapi wakati jamaa ugomvi nje nje, uwalogee ndugu yao waje wakuchomee ndani ya nyumba, na mifugo yako waikate kate.
Ukitaka kuishi kwa raha kwenye ndoa yako kaa mbali na hili kabila LA wakurya waache waoane wenyewe kwa wenyewe watawezana. Hili kabila LA wakurya wanapenda sana na kuabudu matambiko na ushirikina. Mambo ya ukatili na kulogana kwao ni kawaida hawana hofu ya Mungu ukitamka habari za wokovu kwao ni kama unatangaza vita. Ni wapenda Shari hawajui neno samahani kila kitu kwao ni amri tu. Mila zao ni kama zakuita mashetani .mfano MTU wao akifa Leo wakishazika kesho asubuhi sana wanadamkia makaburini kwenda kupiga ukunga kumuamsha marehemu. Hivi nani kawadanganya kwamba marehemu anaamshwa? Huko sindio kuamsha roho za mauti watu waendelee kufa? Na ndio maana unakuta ukoo mmoja kila siku misiba haiishi kwasababu ya kutembea na roho za mauti .maandiko yanasema msitake kujua habari za waliolala. Hili kabila linahitaji wokovu kwa hali na Mali.
Isee wewe ni wa wapi?! Kwa hiyo dunia nzima nchi zisizo na wakurya hazina majeshi au?! Kuwa jeshini ni ukatili au ujasiri?!Hata ubishe vipi, wakurya ni katili. Nani kawapeleka jeshini, Kanda maalum kule rorya nani kapeleka na kwanini
Isee wewe ni wa wapi?! Kwa hiyo dunia nzima nchi zisizo na wakurya hazina majeshi au?! Kuwa jeshini ni ukatili au ujasiri?!
Hivi kuuwa vitoto kichawi ni ukatili au upole?! Kumroga binadamu mwenzako ni ukatili au kinyume chake?! Nchi ya bongo makabila karibu yote ni 'matakatifu' lakini ukatili na roho mbaya vimetamalaki kila kona.....na hiyo ni kwa sababu ya wakurya[emoji1787][emoji1787][emoji1787] .....uongo?!
Mkuu jifunze kusoma na kuelewa....hakuna sehemu nimeandika kuwa 'wakurya ni wajasiri'Mkuu jibu na hoja ya kanda maalum ya Rorya imefuta nini? BTW Mtu jasiri ndio anaweza kufanya ukatili Note hilo. Halafu unasema wakurya ni Jasiri, ni wajasiri kwa lipi???
Mimi sijakaa huko Rorya nimekaa Dar es salaam Sehemu moja inaitwa Kitunda. Huko kuna wakurya nadhani ni Nusu ya walioko huko Dar nawajua Vyema. Mkurya hana Dogo ni katili balaa na kulipiz Visasi ndio usiseme. Ww ishi jirani na Mkurya ndio utajua shida yake mara 100 kelele za mhaya
Kwa hiyo tabia za wakurya za ukatili wa kutoana ngeu, kuuana bila sababu za maana, wizi wa mifugo na kutahili wanawake ndio nzuri? Kwanza wakurya ndio wamefanya mkoa wote wa Mara kuwa na sifa mbaya kwa sababu ya mambo ya ki-primitive wanayoyafanya.We huwajui wajita mkuu.
Huwezi kufananisha wajita na wakurya kitabia.
Wakurya ni watu hawanaga mambo za kiboya. Wajita 99% mambo ya kikekike sana.
Ukiangalia comenti za wadau humu utagundua kuwa wajita tabiabza hovyo tupu.
Wajita wapo strong ila siyo wakatili kama wakurya. Kama unamaniisha kuwa mkatili ndio kuwa strong ni kweli wajita siyo strong kwa maana hiyo. Au nenda kamwambie mlinzi (ADC) wa rais Samia Hassan (Nyamburi Mashauri) kwamba wewe siyo strong kwa sababu ni mjita.Wajita hawako strong.
Wakurya dada zao antena zote zimeng'olewa hivyo signal zinapatikana kwa tabu kwelikweli mpaka uzingushe sana kisimbusi ndio wanapata signal kwa mbaaaaali sana.Dada zao wanamikia kwa mbele, wanavuta wakiwa wadogo wa kati