Usiyoyajua kuhusu Makabila ya Wajita na Wakurya

Wajita ni kabila sijapata kuona wao kila kitu wanajua unaweza dhani ni kabila kubwa sana lakini sivyo.Wabishi mno mno ninachowapendea akiamua kukusema anasema kwa nguvu hadi unasikia.
Kuna mjita nilisoma naye zamani sana yeye ukianza tu kuongea kitu kabla hujafika mwisho ameshaanza kusema hamna hamna
Ukitaka kujua tabia za hawa watu Muangalie yule mwanaharakati ambaye siku hizi hasikiki tena na kigazeti chake anaitwa sijui nani vile jina linafanana na kifo kifo halafu nenda kamuangalie yule aliyekuwa anavaa magwandwa alikuwa waziri wa mambo ya ndani akatumbuliwa.
Kwenye kuoga ziwani siku moja nilishangaa sana.Nilikwenda ziwani nilikwenda kumtafuta kijana wangu niliambiwa anaoga huko niliogopa nikaamua kwenda maana wenzetu hata mamba wanawajua hawawakamati.Kufika nikakuta wanawake wanaoga na wanaume ila wametenganishwa na uzio mdogo sana nikasogea karibu sikujua ni kwa wanawake nikamkuta mama mmoja mtu wa makamu akaniambia wewe rikijana umefuata nini huku yaania amesimama anajisugua na jiwe namuona kila kitu kwa mbele nikaona hadi ile antenna ya chini akaniambia we rikijana kama unataka hii si useme tu unafikir sisi tunaogopa njoo huku nilikimbia siku hiyo
 

Huyu MASAU BWIRE nafikiri sio mjita halisi bali ni mkwaya.
 
πŸ˜³πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…Wewe mkuu nimecheka sana, naona ulitaka kutuburudisha, ninavyokufahamu usingemwacha huyo mamaπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
yaani analea bao la mwanaume mwengine?
 
Mkurya hata akioa mwanamke mwenye mtoto/watoto hao ni wake wote hawabagui.
 
Wanawake wa kijita ni malaya, hata nikipewa bure wapo addicted sana na ngono ukiwa na hela tu unamchukua, miaka 10 nimeishi nao kibara, nyamitweibili, neruma, kenkombyo and other more!
 
wajita ni wazee wa kutupia pamba, wazee wa kunukia labda awe mlala hoi
 
We huwajui wajita mkuu.

Huwezi kufananisha wajita na wakurya kitabia.
Wakurya ni watu hawanaga mambo za kiboya. Wajita 99% mambo ya kikekike sana.
Ukiangalia comenti za wadau humu utagundua kuwa wajita tabiabza hovyo tupu.
Duuuh! Sikuwa na nia ya chuki za kikabila kutoa matusi. Nimeeleza wasifu wao. Sio kwamba sijui madhaifu ya makabila mengine. Najua sana ila haina aja. Na wala sijawahi ona makabila ya Mara yakitukanana au kudharauliana. Japo ndo mkoa unao ongoza kwa makabila mengi. Ndo makabila yanaongoza kwa kuitana port. Ikimaanisha wa nyumbani. Kuwa mstaarabu heshimu jamii. Matusi uwa ni upuuzi tu.
 
Wanawake wa kijita ni malaya, hata nikipewa bure wapo addicted sana na ngono ukiwa na hela tu unamchukua, miaka 10 nimeishi nao kibara, nyamitweibili, neruma, kenkombyo and other more!
Kasahunga na Nambaza kwa wachawi,Nyamitweibili kwao Kangi Lugola,nenda Bunere hadi Kisorya, halafu kuna Mchigondo,Sikiro,n.k πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ‘Š

Pale Kibara Mission Hospital sitapasahau maana walimuua mtoto wa mfanyakazi mwenzangu kizembe sana.Mke wa staff mate huyo alikuwa amejifungua mtoto njiti,so walikuwa wamekaweka katoto hako kwenye incubator hadi katimize miezi 9.Wazazi walikuwa na kawaida ya kukatembelea na kukapelekea mavazi ya kubadilisha.

Sasa kalikufaje?Kuna siku nurse aliyeingia zamu ya usiku alisahau kufunga incubator baada ya kuwa amekafanyia usafi na kukabadilishia nguo.Asubuhi yake manesi wanakabidhiana zamu wakagundua mtoto kashafariki kwa kupigwa baridi. Aiseee tuliwawashia moto na ilikuwa tuwaburuze kwenye sheria ila mwenye mtoto akasikiliza ushauri wa watu wa kusamehe,na akasamehe kweli.Baada ya miaka 2 baadaye tukahamia mkoa mwingine kikazi.
 
Omla unu uli ebhei sana awe.
 
Ni mjita halisi kabisa
Basically Wakwaya na Waruri na Wakara na Wajita wa Ukerewe wote ni wajita tu ndio maana tunaongea lugha moja na hata mila na tamaduni ni zile zile japo lafudhi (accent) zao kidogo ni tofauti kwa sababu ya muingiliano na makabila mengine. Infact ukifuatilia historia wakwaya ndio wanaongea kijita original. Kama Wachaga wamachame, warombo, wakibosho n.k wote wanaitwa Wachaga tena wao hata lugha hawasikilizani sana kwa nini wakwaya, waruri na wakara plus wajita wa ukerewe wasitwe wajita? Waruri, Wakwaya, wakara na wajita wa ukerewe hawa wote ni sub-tribes za kabila la wajita. NJE YA MKOA WA MARA HUWEZI KUWASIKIA WAKIJATAMBULISHA KWAMBA WAO NI WARURI AU WAKWAYA AFADHALI WAKARA KIDOGO LAKINI NAO WAO WENGI HUWA WANAJITAMBULISHA KAMA WAJITA AU WAKEREWE.
 
πŸ˜³πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…Wewe mkuu nimecheka sana, naona ulitaka kutuburudisha, ninavyokufahamu usingemwacha huyo mamaπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Ona sasa na wewe umeamua nicheke sana πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ si wongo nilisimamisha siku hiyo ingekuwa giza ningemsogelea yule mama tuyamalize kikubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…