USM Alger Bingwa Kombe la Shirikisho

USM Alger Bingwa Kombe la Shirikisho

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
2,971
Reaction score
9,437
Tunawapongeza Yanga kwa hatua hii mliofikia hakika ni kubwa sana kwenu na kwa nchi kwa ujumla.

Kwa mazingira ya mechi yalivyo USM ni bingwa. Najua mtapinga ila huo ndio ukweli hata nyie mnajua, na ndio maana mmeshaanza kuhangaika kwa waganga ili wawasaidie mmeshachelewa.


D9520ED1-6C74-4F37-93A8-9EB176772721.jpeg
 
First Leg.
YANGA 4-1 USM ALGERS

Second leg.

USM ALGERS 2-1 YANGA

MAGOLI YA YANGA.
MAYELE [emoji460]️[emoji460]️
AZIZI KI [emoji460]️
MORRISON [emoji460]️
MUSONDA [emoji460]️

YANGA anabeba huu UBINGWA.

Kama huu UBINGWA hautokuja TZ najiondoa NAWEKA PICHA ZANGU HALISI HUMU NDANI.
 
First Leg.
YANGA 4-1 USM ALGERS

Second leg.

USM ALGERS 2-1 YANGA

MAGOLI YA YANGA.
MAYELE [emoji460]️[emoji460]️
AZIZI KI [emoji460]️
MORRISON [emoji460]️
MUSONDA [emoji460]️

YANGA anabeba huu UBINGWA.

Kama huu UBINGWA hautokuja TZ najiondoa NAWEKA PICHA ZANGU HALISI HUMU NDANI.
😂😂 hamna timu ya kwenda kubeba kombe pale Algeria.
 
tunawapongeza yanga kwa hatua hii mliofikia hakika ni kubwa sana kwenu na kwa nchi kwa ujumla.

Kwa mazingira ya mechi yalivyo USM bingwa. Najua mtapinga ila huo ndio ukweli hata nyie mnajua, na ndio maana mmeshaanza kuhangaika kwa waganga ili wawasaidie mmshachelewa.


View attachment 2628102
Kombe ni moja, lazima lichukuliwe na timu moja, kama si Yanga ni USM Algiers. So usihangaike. Na timu zote zimepewa fursa ya kucheza nyumbani na ugenini.

Sisi kama waTz tunaiombea Yanga itumie fursa vizuri. Kama walivyokwisha kufanya huko nyuma hadi kufika final. Mengine yako ni UCHAWI TU.
 
Back
Top Bottom