Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Yote yamesimamaMakolo yanaruka na kukanyagana,Yanaruka kinyama×2
😃😃😃 mwarabu kwake penalt? Mechi ingelikuwa inamalizikia hapa dar sawa kule 🥊🥊Tunachukua kwa penati sisi kama yanga kumbuka hii comment
Tigo au voda?Namba zinaonesha ni dhahili YANGA anachukua
kombeTigo au voda?
Izo namba ni za miaka karibu mitano 5 nyuma
Na hata mpaka mwisho Usm anabeba ✅Izo namba ni za miaka karibu mitano 5 nyuma
NakubaliNa hata mpaka mwisho Usm anabeba ✅
😂😂 hamna timu ya kwenda kubeba kombe pale Algeria.First Leg.
YANGA 4-1 USM ALGERS
Second leg.
USM ALGERS 2-1 YANGA
MAGOLI YA YANGA.
MAYELE [emoji460]️[emoji460]️
AZIZI KI [emoji460]️
MORRISON [emoji460]️
MUSONDA [emoji460]️
YANGA anabeba huu UBINGWA.
Kama huu UBINGWA hautokuja TZ najiondoa NAWEKA PICHA ZANGU HALISI HUMU NDANI.
Kombe ni moja, lazima lichukuliwe na timu moja, kama si Yanga ni USM Algiers. So usihangaike. Na timu zote zimepewa fursa ya kucheza nyumbani na ugenini.tunawapongeza yanga kwa hatua hii mliofikia hakika ni kubwa sana kwenu na kwa nchi kwa ujumla.
Kwa mazingira ya mechi yalivyo USM bingwa. Najua mtapinga ila huo ndio ukweli hata nyie mnajua, na ndio maana mmeshaanza kuhangaika kwa waganga ili wawasaidie mmshachelewa.
View attachment 2628102