USM Alger Bingwa Kombe la Shirikisho

Sema wewe peke yako usiwasemee watz wote.
 
Nikiwaza matokeo ya Simba vs Wydad basi naona kati ya yanga na usm yeyote anabeba ndoo
 
Basi sawa ndio mpira
 
Unajipa kazi bure ya kuwatisha UTO.
Kwa uwezo, ari , umoja walionao na sapoti kutoka gavmenti, Yanga imeshahama huko kwenye kuwaogopa Waarabu.
 
Yanga wanastahili kwa asilimia 96 msimu huu kulibeba hilo kombe la Africa.
USM Alger nilivyo waangalia kwa umakini hawana stamina ya kuifunga Yanga.
Alger ni Marumo iliyochangamka kidogo.
 
Sisi tuko bize na maandalizi ya fainali wewe uko unapiga ramli tu; tutakujibu tukimaliza fainali.
 
🚮
 
Kama USM Alger akibeba kombe mbele ya Yanga nipigwe ban ya miezi mitatu siku 90
 
Kidogo nisituke.Nikajua utaweka picha zako za Utupu humu jukwaani
 
Mimi mtanzania lakini siiombei yanga ichukue kombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…