Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
- Thread starter
-
- #41
Ahsante Manyanza Nitafanya hivyoBibilia au Quran sio magazeti huwezi hata siku moja kuinjoi wala kuelewa. Nakushauri uwe unaingia hasa Tiktok kuangalia Lecture za Mufti Menk. Roho yako itashiba tu.
Campaign Manager wangu Ivan Stepanov
Kule mpka uombe kuunganishwa na mods haliko public km majukwaa mengine ndo maana!Sasa mbona nimelitafuta ila sijaliona, nilitaka ni post huko!!
Ahsante, nafikiri hapa ndipo napahitaji. How do i come to this point!?Roho Mtakatifu ndie hukupa tofauti na msisimko kwenye maandiko. Ukiongozwa nae kila siku utaona unavutiwa kusoma kitu kile kike lakini kwa msisimko tofauti na mafunuo tofauti. Otherwise utaona biblia ni kama gazeti tu.
Tunaanza Leo TangaNakukumbusha tu yupo Tanga wiki hii
NI kwa jinsi gani mtu unatafakari?Uchawi wa mkristo ni kusoma neno na kulielewa Anza kusoma biblia kwa siku mara tatu na ukitafakari
Yoshua 1:8
Labda nikupe muongozo kidogo, Wakatoliki wote yani Roman, Anglican na Lutheran wana Liturujia, kwenye liturujia kuna injili ya mwaka mzima.Inawezekana hapa si mahala pake lakini ningependa kusaidiwa na wahusika ambao najua wapo hapa.
Ni vile nimelitafuta jukwaa la dini katika forums zilizopo na sijaliona.
HIvi, mantiki ya kusoma Biblia iko wapi? Kwakifupi tu ni kwamba sisi wengine (kama walivyo wengi) tumezaliwa katika dini. Kanisani nakwemda toka sijitambui mpaka najielewa hivi.
Nikiwa mtoto mdogo kabisa nimeshashika tayar amri zoote kulingana na utaratibu wa kanisa ambalo nimekua nikisali (ambalo nimekuta wazaz wanasali nami nikafuata humo, though baada ya kuoa nikaamua kubadili mwelekeo na ninasali kanisa lenye mlengo mwingine, japo ni ukristo tu kama ambavyo nilizaliwa).
Sasa miaka yoote hii, tika sijui kusoma, nimekua nikisia mahubiri, maandiko ya biblia, mpaka nafikia kujua kusoma ,ujana na sasa utu uzima, nimekua nikisikia na kusoma habar za Mungu na Yesu na mitume wake na historia yao nzima katika maandika na hii imenifanya kuwa kama naijua biblia.
Sio yote in such na sijawahi kuisoma yoote kimfululizo nikaimaliza but ile kugusa hapa na pale na kusikiliza na kusikiliza, tena na tena all my life mpaka sasa third floor ya umri. Na hii imenifanya kwamba, 90% ya chochote utakacho au yeyote yule atakayezungumza kuhusu maandika ya Biblia, NAVIJUA.
Hali hii kiukwel, inanitaabisha sana.
Maana hata leo asubuh nilipochukua biblia nisome (maana niko kwenye maombi yangu tu binafsi) honestly,nimejikuta kuboreka kias flan na ndio likanijua swali hili nikajiuliza, NASOMA MAANDIKO HAYA ILI IWEJE?? ILI NIPATE NINI??MBONA SIONI KIPYA, I KNOW THESE STUFFS, AU KUNA NAMNA LABDA NAPASWA KUISOMA KIUTOFAUTI BUT HOW?
ndio namuomba Mungu kabla ya kusoma but MBONA NILICHOKIONA JANA NA JUZI NDIO HIKI HIKI AMBACHO TAYARI NAKIJUA???...
kuna ulazima gani wa kuendelea kusoma mambo ambayo tayar nimekua nikiyasikia na kusoma miaka mingi mpaka leo??...
Kuna kitu watu huwa nasikia wakisema na pia naamini inawezekana, kknaitwa REVELATION /UFUNUO(MAFUNUO). how do i come to this point.
Yan kwamfano leo nimeanza kusoma Mathew Chapter 2, ile kuanza tu habari kuzaliwa kwa Kristo, akilini tayari ufahamu wangu ukajawa na ile flow nzima ya matukio mpaka mpaka kufa kwake, sasa najiuliza, NIENDELEE KUSOMA ILI IWAJE??????..
Wakuu wenye dini na imani, naomba mawazo na kusaidiwa katika hili.
Natangukiza shukrani.
Rabbon Tayana-wog Carleen matunduizi na wengine wote
View attachment 3032379
Kwakwel nimejiuliza sana kuhusu hili suala leoBiblia huna haja ya kuisoma mara nyingi ikiwa tayari unaijua.
Hii naungana na wewe kwa 100%.Vinginevyo utaona uko bored ukifika Kanisani kwa sababu mambo mengi 99% ni marudio na unayajua
Kule tunaenda kukumbushwa jinsi ya kuyaishi hayo maandiko.unaporudia kusoma neno now and then unakifanya kichwa kukumbuka kiurahisi.Neno la Mungu ni lile linalokuwa moyoni mwako.
Biblia huna haja ya kuisoma mara nyingi ikiwa tayari unaijua.
Soma vitabu vingine hasa vile walivyovitoa, soma Quran, ongeza ujuzi na maarifa
Hata Kanisani sio pakwenda kama tayari umefika level fulani ya ufahamu.
Labda upeleke watoto nao wakajifunze.
Vinginevyo utaona uko bored ukifika Kanisani kwa sababu mambo mengi 99% ni marudio na unayajua
Jibu zuri kaka..
Na mimi nimesema hapo nikatoa mfano, leo i was about to read certain chapter in nee testament, lakin nikaboreka maana nikafikiri, mbona hiz bmhabar zote nishazisoma na kuzisikia, sasa nisome tena ili iweje????
Ndio maana naukiza, au kuna namna mpya ya kusoma napaswa kuifahamu?
Kwanza naomba ujue hii hali Haikukuti pekee yako.. Ni rahisi mtu kuomba Lakini sio rahisi kusoma neno.. ni struggle.. inawezakana tunaongea kwa wepesi ila ni kitia nia kwamba nataka kusoma na kuelewa neno.. unapolisoma unakuwa na uhitaji wa kupata kitu kutoka kile unachokisoma.. pia neno hilo hilo unaweza ukalisoma Kwa sauti kama upo mwenyewe.. rudia rudia ule mstari utajikuta tu unapata insight katika kile unachoma..Huwa inasema hii kila siku, na kwa namna flan naweza amini BUT,
ndio maana nikajiuliza leo ,inabid iweje ili mtu uwe unasoma katika namna isiyoitwa scanning?? Yan nisome vipi, kwamfano wewe how do you do it??
How this??? Maana binafs mpaka leo kufikia hatua hii ni kwamba am fed up!! Naona kabisa kuna kitu am missing katika usomaji probably maana mbona habar hiz ni zile zile, zinawezaje zikafanyika upya kunipatia ufaham mpya everytime??
How do you do it??
Uko sahihi Ms R lakini hata mimi nilikua na mtazamo huu na pia sio kwamba yeye si mwalim mzuri hata sasa no, but nilipoanza kuwafuatilia watu wengine haswa wa nje mfano Dr. Myles Monroe, nikaja kuanza kuona kumbe hata hawa akina mwakasege pia wanajifunza vitu vingi toka hukoo so nimepunguza kidogo kumfuatilia maana vingi ambavyo nimekua nikimsikia, nikagundua bimeshaongelewa na watu miaka mingii sanaa, yan ni sio vipya japo kwa huku kibongo bongo vinaonekana vipyaMwakasege ni mwalimu mzuri sana,na anaweza kua na majib ya maswali yako yote, mimi hupenda kumfatilia.
Ukisoma ukimaliza hakuna jipya.. Narudia neno la Mungu ni jipya kila siku.. unaweza ukatumia warumi 8:11 leo mfano Kwa case ya uponyaji afu ukalitumia kesho wala lisikupe matunda unayo tarajia ukaona Mungu sio mtendaji.. Na ndio maana ni vyema ukajifunza kusoma neno kila sikuBiblia ni kitabu kinachokufundisha historia ya dini yako. Baada ya kuisoma yote na KUIELEWA hakuna kipya utakachojifunza, kilichobakia ni kutekeleza/kufanya kwa vitendo vile ulivyojifunza katika biblia. Funga, fanya maombi, toa sadaka.
Unataka kusoma zaidi? Soma vitabu vya imani za dini nyingine, unaweza kusoma Quran. Itakuongezea kitu, unaweza kufanya kama unajiuliza swali hivi, vipi kama ningezaliwa katika familia ya Kiislamu? Ngoja nisome Quran nione ningekuwa mtu wa namna gani kiimani, pia nijifunze elimu gani ningeipata katika Quran.
Ni ushauri kutoka kwangu Mkristo mwenzio!
Mkuu naweza kubaliana na wewe na hapa pia nafikiri kuna tatizo kubwa sana, about the altar. Kuna mahala mimi nikitoa sadaka mambo yanakwenda vyema, na kuna mahala inakua kama mikosi.Utapata majibu sawa na Altar ( Lango ) unayojiunganisha.
Wajuzi watamalizia.
Nimekusoma chief, ila kwa hapa mimi nafikiri hii kitu nahitaji kujua zaidi.. level niliopo nimekaa na kugundua kwamba, i know the stories na histories but WHAT IS THE ESSENCE of all this stuffs???
Yah niko kwenye situation hiyo pia na hata kanisan kwasasa niwe mkwel naemda kwa manat sana ili tu watoto wasipate confusionNilishawahi kupata hii experience pia ila mimi nilienda mbali zaidi kuna kipindi hadi kanisani nilikua sioni jipya.
Ahsante sanaSaivi niko kwenye mzunguko wa pili (mwanzo mpaka mwisho, word by word), Ila mafunuo ni tofauti kabisa ni kama sikuwahi kusoma. Mwanzo nilipata tabu sana (nahisi ndipo ulipo wewe) ila nikaanza chagua vitabu vyepesi kama zaburi, mithali mpaka unamaliza yote. Na pia niligua it always speaks to your current situation.
Sizani kama kuna namna maalumu ya kusoma, wewe endelea tu kusoma hivyo hvyo utakuja kupata mafunuo.
Fanya hivyo tajiri anguMe sina hata majibu ya kukupa ila mwamba mmoja hivi huwa mafundisho yake ni ya kitofauti kabisa ngoja nikikumbuka jina lake ntalikupa upate mwanga
Matendo ya Mitume 2 (Biblia Takatifu)Ahsante, nafikiri hapa ndipo napahitaji. How do i come to this point!?
Kule tunaenda kukumbushwa jinsi ya kuyaishi hayo maandiko.unaporudia kusoma neno now and then unakifanya kichwa kukumbuka kiurahisi.