Usomaji wa Maandiko ya kidini (Biblia)

Usomaji wa Maandiko ya kidini (Biblia)

Kisheria huyo Mwanamke ilibidi apigwe Mawe mpaka afe Ila Yesu akasema hii sio dhambi ya kupigwa Mawe mpaka kufa maana wanaopiga Mawe nao wanatenda dhambi hio hio
Huo mfano uliotoa uko hivi
Waliompeleka yule mwanamke ni wataalamu wa sheria na wataalamu wa mafundisho ya dini. (waandishi na mafarisayo). Lengo lao likikuwa kumtega Yesu ili wapate kumshitaki maana alikuwa haenendi na kawaida zao.

“Nao wakasema neno hilo wakimjaribu, ili wapate sababu ya kumshitaki. Lakini Yesu akainama, akaandika kwa kidole chake katika nchi. ”
— Yohana 8:6 (Biblia Takatifu)

-Mtego wa kwanza ulikuwa kama Yesu akikubali wampige mawe yule mwanamke, wangemshtaki kwa kutojua sheria na kusababisha watu kumtilia shaka. (Angepoteza uhalali katika mafundisho yake) Maana sheria inataka wote wawili, mwanamke na mwanaume waliokamatwa kwenye uzinzi wapigwe mawe mpaka kufa, sio mwanamke pekee au mwanaume pekee.

Kumbukumbu la Torati 22 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
²² Akifumaniwa mtu mume amelala na mwanamke aliyeolewa na mume, na wafe wote wawili, mtu mume aliyelala na mwanamke, na yule mwanamke naye; ndivyo utakavyoondoa uovu katika Israeli.
²³ Pakiwa na kijana aliye mwanamwali ameposwa na mume, na mwanamume akimkuta mjini, akalala naye;
²⁴ watoeni nje katika lango la mji ule, mkawapige kwa mawe hata wafe; yule kijana, kwa kuwa hakupiga ukelele, naye yu ndani ya mji; na yule mume, kwa kuwa amemtweza mke wa mwenzake; ndivyo utakavyoondoa uovu katikati yako.

- Mtego wa pili ulikuwa kama Yesu angesema asipigwe na mawe, tayari angekuwa anapingana na sheria za Musa. Na kwa mujibu wa sheria zao yoyote anaepingana na sheria za Musa adhabu yake ni kupigwa mawe mpaka kufa. Wangempiga Yesu kwa mawe mpaka kufa.

Jiulize kama haukuwa mtego, mwanaume aliekutwa nae alipelekwa wapi?
Kwa nini wampeleke mwanamke pekee kwa Yesu?

Yesu akamwambia yule Mwanamke "..enenda zako Ila usitende dhambi tena"
Jibu la Yesu linamaanisha kuna kutenda dhambi tena kama usipofata mafundisho yake. Kwa hiyo unakosea kusema hakuna dhambi tena. Otherwise asingemwambi usitende dhambi tena.
 
Inabidi upate ufahamu sahihi wa nini maana ya mwanadamu kua ndani ya Kristo na Kristo kua ndani ya mwanadamu(Kuokoka),ufahamu wa dhambi kwake,ufahamu wa haki nk(yaani mafundisho ya Kristo na kumfanania yeye maana ametuita tufanane nae)
Sikiliza hizi audio chache,ya 3 ina jibu la huo mstari hapo uliouandika.
View attachment 3032707
View attachment 3032710
View attachment 3032712
Sina muda wa audio.
Kosoa kwa maandishi kwa uelewa wako sio kwa mawazo ya wengine.
Nionyesha mstari unaosema alitengua torati.
 
Soma kama unavyosoma masimulizi/hadith zingine, unataka kutafakari nini sasa na kitu umekisoma zaidi ya mara 10?
Sasa kama wewe unasoma bila kutafakari shida Iko wapi, si endelea tu mkuu? Mimi nilichangia tu iwapo kama huyo aliyeuliza atapenda ushauri wangu. Kwa sasa yeye ataweza kuchagua kati ya kusoma bila kutafakari ( kusoma bila kutumia akili) au kusoma kwa kutafakari (kwa kutumia akili/kujiuliza maswali).
 
  • Thanks
Reactions: 511
Mimi nilichangia tu iwapo kama huyo aliyeuliza atapenda ushauri wangu. Kwa sasa yeye ataweza kuchagua kati ya kusoma bila kutafakari ( kusoma bila kutumia akili) au kusoma kwa kutafakari (kwa kutumia akili/kujiuliza maswali).
Kwahiyo unamaanisha mtoa mada hana akili?
Au unamaanisha mtoa hawezi kutumia akili zake kusoma, yaani unamaanisha mtoa mada ana akili za kuvukia barabara tu sio kusoma?
Daaah, una dharau sana mtumishi!​
 
Hapa tunajibizana mimi na wewe. Post yangu ya kwanza ilihusu ushauri wangu kwa mtoa mada. Wewe ukajitokeza wala sijui ulitokea wapi. Ukaanza kusema niache "porojo". Kwani na wewe ulimaanisha mtoa mada "anapiga porojo"? Acha dharau na wewe mtumishi, si vizuri mtumishi mzima kuwaambia wengine wanapiga porojo.
 
Huo mfano uliotoa uko hivi
Waliompeleka yule mwanamke ni wataalamu wa sheria na wataalamu wa mafundisho ya dini. (waandishi na mafarisayo). Lengo lao likikuwa kumtega Yesu ili wapate kumshitaki maana alikuwa haenendi na kawaida zao.

“Nao wakasema neno hilo wakimjaribu, ili wapate sababu ya kumshitaki. Lakini Yesu akainama, akaandika kwa kidole chake katika nchi. ”
— Yohana 8:6 (Biblia Takatifu)

-Mtego wa kwanza ulikuwa kama Yesu akikubali wampige mawe yule mwanamke, wangemshtaki kwa kutojua sheria na kusababisha watu kumtilia shaka. (Angepoteza uhalali katika mafundisho yake) Maana sheria inataka wote wawili, mwanamke na mwanaume waliokamatwa kwenye uzinzi wapigwe mawe mpaka kufa, sio mwanamke pekee au mwanaume pekee.

Kumbukumbu la Torati 22 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
²² Akifumaniwa mtu mume amelala na mwanamke aliyeolewa na mume, na wafe wote wawili, mtu mume aliyelala na mwanamke, na yule mwanamke naye; ndivyo utakavyoondoa uovu katika Israeli.
²³ Pakiwa na kijana aliye mwanamwali ameposwa na mume, na mwanamume akimkuta mjini, akalala naye;
²⁴ watoeni nje katika lango la mji ule, mkawapige kwa mawe hata wafe; yule kijana, kwa kuwa hakupiga ukelele, naye yu ndani ya mji; na yule mume, kwa kuwa amemtweza mke wa mwenzake; ndivyo utakavyoondoa uovu katikati yako.

- Mtego wa pili ulikuwa kama Yesu angesema asipigwe na mawe, tayari angekuwa anapingana na sheria za Musa. Na kwa mujibu wa sheria zao yoyote anaepingana na sheria za Musa adhabu yake ni kupigwa mawe mpaka kufa. Wangempiga Yesu kwa mawe mpaka kufa.

Jiulize kama haukuwa mtego, mwanaume aliekutwa nae alipelekwa wapi?
Kwa nini wampeleke mwanamke pekee kwa Yesu?

Jibu la Yesu linamaanisha kuna kutenda dhambi tena kama usipofata mafundisho yake. Kwa hiyo unakosea kusema hakuna dhambi tena. Otherwise asingemwambi usitende dhambi tena.
Kwa Yesu hakuna dhambi wala mwenye dhambi au mwenye kutenda dhambi
 
😄Wapo mkuu watakuja ,sio Kila Muda watu Wana bundle.
Halafu hili jukwaa sio la dini
Lipo jukwaa lake huko ni hatari sn
Mimi hao watu wa madhehebu ya dini na mungu feki mwenye nafsi tatu na yesu aliye sulibiwa kwa sababu ya dhambi ya asili awawezi kusimama mbele yangu na huo uongo wao ...kuna jamaa alianzisha uzi wa dini kwa mbwebwe sana hapa JF akiongelea 666 nilipo kuja mimi watu wote walio kuwa kwenye ule uzi wakashangaa jamaa kashindwa kuendelea na fafanuzi za 666 maana jamaa alipo hona fafanuzi yangu akakosa hoja aka gundua kuwa ataumbuka ....basi watu walikuwa wanamuita kwenye uzi jamaa kimya ...
INJILI YA KWELI NI TOFAUTI KABISA NA HII YA WAHUNI WA MADHEHEBU
 
Soma : Wagalia 3 YOTE ili uelewe ninachokuambia kwamba Wewe huna dhambi Ila kukwambia Wewe una dhambi sijui Ukoo kufanya nini unatishwatishwa tu Ni ili wao wafanye biashara zao za Dini Ila Wewe mbele ya Yesu huna dhambi dhambi zako zote yeye alishazifia pale Msalabana na akatubu kwa ajili yako na dhambi zako pale Msalabana, km unafuata Yesu (Mkristu) Wewe huna dhambi Ila km unafuata Sheria na Torati ya Musa Wewe unachofanya hata kutembea bila viatu, kusuka, kuvaa nguo za kike, kutokuoga mara 3 kwa siku, kutokupiga mswaki, zote hizo ni dhambi

Wagalatia 3:1-29

1 Enyi Wagalatia, mmekuwa wajinga kweli! Ni nani aliyewaloga? Habari juu ya kusulubiwa kwake Yesu Kristo ilielezwa waziwazi mbele ya macho yenu.

2 Napenda kujua tu kitu kimoja kutoka kwenu: Je, mlipokea Roho wa Mungu kwa sababu ya kutimiza matakwa ya Sheria ama kwa sababu ya kuisikia na kuiamini Habari Njema?

3 Je, mu wajinga kiasi hicho? Ninyi mlianza yote kwa msaada wa Roho je, mnataka sasa kumaliza kwa nguvu zenu wenyewe?

4 Je, mambo yale yote yaliyowapata ninyi yamekuwa bure tu? Haiwezekani!

5 Je, Mungu huwajalia Roho na kutenda miujiza kati yenu ati kwa sababu mnatimiza yanayotakiwa na sheria, ama kwa sababu mnasikia Habari Njema na kuiamini?

6 Chukueni kwa mfano habari za Abrahamu: yeye alimwamini Mungu, naye Mungu akamkubali kuwa mwadilifu.

7 Sasa basi jueni kwamba watu wenye kumwamini ndio walio watoto halisi wa Abrahamu.

8 Maandiko Matakatifu yalionyesha kabla kwamba Mungu atawakubali watu wa mataifa kuwa waadilifu kwa njia ya imani. Hivyo Maandiko Matakatifu yalitangulia kumtangazia Abrahamu Habari Njema: "Katika wewe mataifa yote yatabarikiwa."

9 Basi, wale walio na imani wanabarikiwa pamoja na Abrahamu aliyeamini.

10 Lakini wote wanaotegemea tu kutimiza yanayotakiwa na Sheria, wako chini ya laana. Maana, Maandiko Matakatifu yasema: "Yeyote asiyeshika na kutimiza yote yaliyoandikwa katika kitabu cha Sheria, yuko chini ya laana."

11 Ni dhahiri kwamba Sheria haiwezi kumfanya mtu akubaliwe kuwa mwadilifu; maana Maandiko Matakatifu yasema: "Mwadilifu kwa imani ataishi."

12 Lakini Sheria haitegemei imani, ila Maandiko yasema: "Mwenye kutimiza yanayotakiwa na Sheria ataishi."

13 Kristo alitukomboa kutoka katika laana ya Sheria kwa kujitwalia laana hiyo kwa ajili yetu; maana Maandiko yanasema: "Yeyote aliyetundikwa msalabani amelaaniwa."

14 Jambo hili lilifanyika kusudi ile baraka aliyopewa Abrahamu iwashukie watu wa mataifa mengine kwa njia ya Kristo, na ili kwa imani, tumpokee yule Roho ambaye Mungu alituahidia.

15 Ndugu, nitawapeni mfano kutoka maisha yetu ya kila siku. Fikirini juu ya mkataba kati ya watu wawili. Mkataba ukisha fanyika na kutiwa sahihi hapana mtu anayeuweka kando au kuuongezea kitu.

16 Basi, Abrahamu alipewa ahadi, yeye pamoja na mzawa wake. Maandiko hayasemi: "Na wazawa wake," yaani wengi, bali yasema, "Na mzawa wake," yaani mmoja, naye ndiye Kristo.

17 Ninachotaka kusema ni hiki: Mungu alifanya agano lake akalithibitisha; Sheria ambayo ilitokea miaka mia nne na thelathini baadaye, haiwezi kulitangua hilo agano wala kuibatilisha hiyo ahadi.

18 Maana, kama urithi ya Mungu inategemea Sheria, basi, haiwezi kutegemea tena ahadi ya Mungu. Kumbe, lakini Mungu alimkirimia Abrahamu kwa sababu aliahidi.

19 Ya nini basi, Sheria? Iliongezwa hapo ili kuonyesha uhalifu ni kitu gani, mpaka atakapokuja yule mzawa wa Abrahamu aliyepewa ile ahadi. Sheria ililetwa na malaika kwa mkono wa mpatanishi.

20 Ama hakika, mpatanishi hahitajiwi ikiwa jambo lenyewe lamhusu mtu mmoja; na Mungu ni mmoja.

21 Je, Sheria inapingana na ahadi za Mungu? Hata kidogo! Maana, kama kungalitolewa sheria ambayo ingeweza kuwapa watu uzima, basi, tungeweza kukubaliwa kuwa waadilifu kwa njia ya Sheria.

22 Lakini sivyo; Maandiko Matakatifu yamekwisha sema kwamba ulimwengu wote upo chini ya utawala wa dhambi; na hivyo, kwa kumwamini Yesu Kristo, wenye kuamini watimiziwe ile ahadi.

23 Kabla ya kujaliwa imani, Sheria ilitufanya wafungwa mpaka imani hiyo iliyokuwa inakuja ifunuliwe.

24 Basi, hiyo Sheria ilikuwa kama mlezi wetu mpaka alipokuja Kristo, ili kwa njia ya imani, tukubaliwe kuwa waadilifu.

25 Tangu kufika kwa hiyo imani, Sheria si mlezi wetu tena.

26 Kwa njia ya imani, ninyi nyote mmekuwa watoto wa Mungu katika kuungana na Kristo.

27 Ninyi nyote mliobatizwa mkaungana na Kristo ni kama vile mmemvaa Kristo.

28 Hivyo, hakuna tena tofauti kati ya Myahudi na Mgiriki, mtumwa na mtu huru, mwanamume na mwanamke. Nyote ni kitu kimoja katika kuungana na Kristo Yesu.

29 Ikiwa ninyi ni wa Kristo, basi ni wazawa wa Abrahamu, na mtapokea yale aliyoahidi Mungu.
nilikuwaga nakuona mpuuzi katika replies zako ila nimekubali wwe ni jembe una hoja nzuri sana, ila naomba unisaidie kidogo vipi karika ujio wa kristo wa mala ya pili, watakobukumiwa ni watu wasikokuwa na iman ya kumwamini yesu ? , maana amesema lazam aje ahukumu , wa kwenda mbinguni haya na motoni haya.
 
Mimi hso watu wa madhehebu ya dini na mungu feki mwenye nafsi tatu na yesu aliye sulibiwa kwa sababu ya dhambi ya asili awawezi kusimama mbele yangu na huo uongo wao ...kuna jamaa alianzisha uzi wa dini kwa mbwebwe sana hapa JF akiongelea 666 nilipo kuja mimi watu wote walio kuwa kwenye ule uzi wakashangaa jamaa kashindwa kuendelea na fafanuzi za 666 maana jamaa alipo hona fafanuzi yangu akakosa hoja aka gundua kuwa ataumbuka ....basi watu walikuwa wanamuita kwenye uzi jamaa kimya ...
INJILI YA KWELI NI TOFAUTI KABISA NA HII YA WAHUNI WA MADHEHEBU
mkuu , kidogo unaweza nifafanulia 666 na zile events zitakazotokea mpka kunatokea kuuza na kutokuuza bila ya chapa ya mpinga kristo 666 na ujio wa yesu? mana huwa nachanganyikiwa sana.
 
Hapa tunajibizana mimi na wewe. Post yangu ya kwanza ilihusu ushauri wangu kwa mtoa mada. Wewe ukajitokeza wala sijui ulitokea wapi. Ukaanza kusema niache "porojo". Kwani na wewe ulimaanisha mtoa mada "anapiga porojo"? Acha dharau na wewe mtumishi, si vizuri mtumishi mzima kuwaambia wengine wanapiga porojo.
Toka hapa na ushauri wako wa ovyo!
 
Inawezekana hapa si mahala pake lakini ningependa kusaidiwa na wahusika ambao najua wapo hapa.
Ni vile nimelitafuta jukwaa la dini katika forums zilizopo na sijaliona.

HIvi, mantiki ya kusoma Biblia iko wapi? Kwakifupi tu ni kwamba sisi wengine (kama walivyo wengi) tumezaliwa katika dini. Kanisani nakwemda toka sijitambui mpaka najielewa hivi.
Nikiwa mtoto mdogo kabisa nimeshashika tayar amri zoote kulingana na utaratibu wa kanisa ambalo nimekua nikisali (ambalo nimekuta wazaz wanasali nami nikafuata humo, though baada ya kuoa nikaamua kubadili mwelekeo na ninasali kanisa lenye mlengo mwingine, japo ni ukristo tu kama ambavyo nilizaliwa).

Sasa miaka yoote hii, tika sijui kusoma, nimekua nikisia mahubiri, maandiko ya biblia, mpaka nafikia kujua kusoma ,ujana na sasa utu uzima, nimekua nikisikia na kusoma habar za Mungu na Yesu na mitume wake na historia yao nzima katika maandika na hii imenifanya kuwa kama naijua biblia.

Sio yote in such na sijawahi kuisoma yoote kimfululizo nikaimaliza but ile kugusa hapa na pale na kusikiliza na kusikiliza, tena na tena all my life mpaka sasa third floor ya umri. Na hii imenifanya kwamba, 90% ya chochote utakacho au yeyote yule atakayezungumza kuhusu maandika ya Biblia, NAVIJUA.

Hali hii kiukwel, inanitaabisha sana.
Maana hata leo asubuh nilipochukua biblia nisome (maana niko kwenye maombi yangu tu binafsi) honestly,nimejikuta kuboreka kias flan na ndio likanijua swali hili nikajiuliza, NASOMA MAANDIKO HAYA ILI IWEJE?? ILI NIPATE NINI??MBONA SIONI KIPYA, I KNOW THESE STUFFS, AU KUNA NAMNA LABDA NAPASWA KUISOMA KIUTOFAUTI BUT HOW?
ndio namuomba Mungu kabla ya kusoma but MBONA NILICHOKIONA JANA NA JUZI NDIO HIKI HIKI AMBACHO TAYARI NAKIJUA???...

kuna ulazima gani wa kuendelea kusoma mambo ambayo tayar nimekua nikiyasikia na kusoma miaka mingi mpaka leo??...

Kuna kitu watu huwa nasikia wakisema na pia naamini inawezekana, kknaitwa REVELATION /UFUNUO(MAFUNUO). how do i come to this point.

Yan kwamfano leo nimeanza kusoma Mathew Chapter 2, ile kuanza tu habari kuzaliwa kwa Kristo, akilini tayari ufahamu wangu ukajawa na ile flow nzima ya matukio mpaka mpaka kufa kwake, sasa najiuliza, NIENDELEE KUSOMA ILI IWAJE??????..

Wakuu wenye dini na imani, naomba mawazo na kusaidiwa katika hili.

Natangukiza shukrani.
Rabbon Tayana-wog Carleen matunduizi na wengine wote

View attachment 3032379
Bibilia ni mkusanyiko wa novel za kale zilizo kusanywa na wazungu wakati wanapigana kutawala urimwengu. Hizo novel leo wanazitumia kupumbaza watu ili watawaliwe kiuchumi kiurahisi zaidi.
 
Back
Top Bottom