Usomi wa Dkt. Rugemeleza Nshala (PhD Harvard Mikataba ya Kimataifa ya Biashara)haumpi uzito mkubwa kwenye suala DP-WORLD

comte

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
9,019
Reaction score
6,825

sijaona machapisho yoyote ya Dr. kwenye eneo lake la ubobezi yaani Mikataba ya Kimataifa ya Biashara badala yake ana machapisho matatu (3) mawali akiwa ameshirikiana na wenzake na moja peke yake. Machapisho yake yote yako nje ya eneo lake la ubobezi

Publications (3)

Local Communities and Wildlife Management Reform in Tanzania

Article (Jan 2008)Fred Nelson, Rugemeleza Nshala, Alan Rodgers

The Evolution and Reform of Tanzanian Wildlife Management

Article (Jan 2007) Fred Nelson, Rugemeleza Nshala , & W. A. Rodgers

Management of Natural Resources in Tanzania: Is the Public Trust Doctrine of Any Relevance?

Article Rugemeleza Nshala

Kwangu PHD ya Dkt. Rugemeleza Nshalla ni ya kutishai watu kwenye baa tu.
 
Dogo utapasuka msamba huyo sio saizi yako....huoni wenzio walivyotulia....
Hii mifano ya bar mpelekee Waitara
 
sijaona machapisho yoyote ya Dr. kwenye eneo lake la ubobezi yaani Mikataba ya Kimataifa ya Biashara badala yake ana machapisho matatu (3) mawali akiwa ameshirikiana na wenzake na moja peke yake. Machapisho yake yote yako nje ya eneo lake la ubobezi

Kwangu PHD ya Dkt. Rugemeleza Nshalla ni ya kutishai watu kwenye baa tu.

Pale uvccm wanapojiona wana uelewa kuliko wataalam kisa tu wataalam wanataka kuwaondolea posho zao 🤣🤣🤣🤣!! Hivi ni kwann uvccm hujiona wanajua kila kitu? Haswa masuala ya kitaalam ambayo hawana utaalam wowote? Au kikubwa ni upinge ili uonekana na uendelee kuwepo kweny payroll?
 
sijaona machapisho yoyote ya Dr. kwenye eneo lake la ubobezi yaani Mikataba ya Kimataifa ya Biashara badala yake ana machapisho matatu (3) mawali akiwa ameshirikiana na wenzake na moja peke yake. Machapisho yake yote yako nje ya eneo lake la ubobezi

Publications (3)

Local Communities and Wildlife Management Reform in Tanzania

Article (Jan 2008)Fred Nelson, Rugemeleza Nshala, Alan Rodgers

The Evolution and Reform of Tanzanian Wildlife Management

Article (Jan 2007) Fred Nelson, Rugemeleza Nshala , & W. A. Rodgers

Management of Natural Resources in Tanzania: Is the Public Trust Doctrine of Any Relevance?

Article Rugemeleza Nshala

Kwangu PHD ya Dkt. Rugemeleza Nshalla ni ya kutishai watu kwenye baa tu.
Hahaaa...mlianza na Professor Sasa hivi bado mpo na PhD. Kesho mtashuka na wenye shahada ya uzamili...kesho kutwa wenye degree, stashahada vyeti sekondari na hata wasio kuwa na elimu ya madarasa. Kisha mtamalizia na Utanganyika. Kisa tu wanapinga udhalimu wa mkataba uuzwaji wa bandari zetu.
 
Pale uvccm wanapojiona wana uelewa kuliko wataalam kisa tu wataalam wanataka kuwaondolea posho zao 🤣🤣🤣🤣!! Hivi ni kwann uvccm hujiona wanajua kila kitu? Haswa masuala ya kitaalam ambayo hawana utaalam wowote? Au kikubwa ni upinge ili uonekana na uendelee kuwepo kweny payroll?
Mkuu umenena vyema- sasa huyu PHD ya Mikataba ya Kimataifa ya Biashara mbona hatuoni wapi ameutumia huo utalaam badala yake
Publications (3)

1. Local Communities and Wildlife Management Reform in Tanzania

Article (Jan 2008)Fred Nelson, Rugemeleza Nshala, Alan Rodgers

2. The Evolution and Reform of Tanzanian Wildlife Management

Article (Jan 2007) Fred Nelson, Rugemeleza Nshala , & W. A. Rodgers

3. Management of Natural Resources in Tanzania: Is the Public Trust Doctrine of Any Relevance?

Article Rugemeleza Nshala
 
Ametoa hoja huyo mwanasheria, wewe unatakiwa kujibu hoja zake, sio unakuja hapa kutuletea CV yake na kudai haimpi uzito wa kujadili ule mkataba wa hovyo wa kuwapa wajomba bandari zetu zote Tanganyika milele.

Hebu tuwekee hapa CV yako tuone kama inakupa uzito wa kuujadili ule mkataba wa hovyo wa bandari, ukishindwa kufanya hivyo, Shut Up.
 
sijaona machapisho yoyote ya Dr. kwenye eneo lake la ubobezi yaani Mikataba ya Kimataifa ya Biashara badala yake ana machapisho matatu (3) mawali akiwa ameshirikiana na wenzake na moja peke yake. Machapisho yake yote yako nje ya eneo lake la ubobezi

Publications (3)

Local Communities and Wildlife Management Reform in Tanzania

Article (Jan 2008)Fred Nelson, Rugemeleza Nshala, Alan Rodgers

The Evolution and Reform of Tanzanian Wildlife Management

Article (Jan 2007) Fred Nelson, Rugemeleza Nshala , & W. A. Rodgers

Management of Natural Resources in Tanzania: Is the Public Trust Doctrine of Any Relevance?

Article Rugemeleza Nshala

Kwangu PHD ya Dkt. Rugemeleza Nshalla ni ya kutishai watu kwenye baa tu.

Umefanya research ya maandiko yake au unabwabwaja kama maagoti wa Sinza!
 
Tatizo ni chapisho?

Cha muhimu ujumbe umepenya na mpaka sasa hao mbuzi walioenda kuuza nchi Uarabuni wanatakiwa watapike hela za watu tuvunje huu ùhuni na uhaini waliotufanyia kisha waburuzwe kortini.
 
Hoja yangu ni kuwa kwenye mikataba ya kimataifa ya biashara huyo uliye na mahaba naye ni mweupe hana authority kwa maana hana machapisho. Ukitaka umsikilize msikilize ila siyo kama mtu mwenye authoruty
 
Mkuu umenena vyema- sasa huyu PHD ya Mikataba ya Kimataifa ya Biashara mbona hatuoni wapi ameutumia huo utalaam badala yake
Publications (3)

1. Local Communities and Wildlife Management Reform in Tanzania

Article (Jan 2008)Fred Nelson, Rugemeleza Nshala, Alan Rodgers

2. The Evolution and Reform of Tanzanian Wildlife Management

Article (Jan 2007) Fred Nelson, Rugemeleza Nshala , & W. A. Rodgers

3. Management of Natural Resources in Tanzania: Is the Public Trust Doctrine of Any Relevance?

Article Rugemeleza Nshala
Comte wakili ana hoja ni vzr hoja zake zijibiwe na sio kumjadili personally na achievement zake!! Haijalishi mafanikio yake yakoje kulingana na PhD yake. Kikubwa ana hoja na ajibiwe! NB: Jifunzeni au someni ili muweze kuwajibu wasomi msilete uccm kweny mamb ya msingi!!
 
sijaona machapisho yoyote ya Dr. kwenye eneo lake la ubobezi yaani Mikataba ya Kimataifa ya Biashara badala yake ana machapisho matatu (3) mawali akiwa ameshirikiana na wenzake na moja peke yake. Machapisho yake yote yako nje ya eneo lake la ubobezi

Publications (3)

Local Communities and Wildlife Management Reform in Tanzania

Article (Jan 2008)Fred Nelson, Rugemeleza Nshala, Alan Rodgers

The Evolution and Reform of Tanzanian Wildlife Management

Article (Jan 2007) Fred Nelson, Rugemeleza Nshala , & W. A. Rodgers

Management of Natural Resources in Tanzania: Is the Public Trust Doctrine of Any Relevance?

Article Rugemeleza Nshala

Kwangu PHD ya Dkt. Rugemeleza Nshalla ni ya kutishai watu kwenye baa tu.

Hii imekuwa ni kawaida sasa, mkichemsha, wanaowakosoa mnaanza kuwasema. Mmefanya hivyo kwa wengi tu..!! Kama hujui, mkataba ule au makubaliano yale hayahitaji kuwa na machapisho kujua kuwa tumepigwa..!! Wengine nyie ni kama kenge, hamsikii mpaka masikio yatoe damu..!!
 
Umefanya research ya maandiko yake au unabwabwaja kama maagoti wa Sinza!
Mkuu sina mashaka na PHD yake, nimekuwekea machapisho yake. Machapisho yake yako nje ya eneo lake la ubobezi. Kwa misingi hiyo hawezi kupata wala kupewa sifa ya AUTHORITY kwenye mikataba ya kimataifa ya biashara.
 
Tatizo ni chapisho?

Cha muhimu ujumbe umepenya na mpaka sasa hao mbuzi walioenda kuuza nchi Uarabuni wanatakiwa watapike hela za watu tuvunje huu ùhuni na uhaini waliotufanyia kisha waburuzwe kortini.
Hamna uwezo wa kuzuia.
 
Mwenyekiti wako wa chama anayo machapisho mangapi?
Hajawai kudai kuwa na PHD na wala hajawahi kukuzwa kwamba ana PHD ya mikataba ya kimataifa ya bandari wakati uwezo wa kutumia utaalam huo kupitia machapisho hana badala yake anahama eneo lake la ubobezi.
 
Sakata kuhusu mkataba wa DP World limevuta hisia na mijadala ya watu wengi sana makini. Huwezi ku "question" umahiri wa mtu katika taaluma yake, bali jikite katika vile vifungu ambavyo amevitilia mashaka.

sijaona machapisho yoyote ya Dr. kwenye eneo lake la ubobezi yaani Mikataba ya Kimataifa ya Biashara badala yake ana machapisho matatu (3) mawali akiwa ameshirikiana na wenzake na moja peke yake. Machapisho yake yote yako nje ya eneo lake la ubobezi

Publications (3)

Local Communities and Wildlife Management Reform in Tanzania

Article (Jan 2008)Fred Nelson, Rugemeleza Nshala, Alan Rodgers

The Evolution and Reform of Tanzanian Wildlife Management

Article (Jan 2007) Fred Nelson, Rugemeleza Nshala , & W. A. Rodgers

Management of Natural Resources in Tanzania: Is the Public Trust Doctrine of Any Relevance?

Article Rugemeleza Nshala

Kwangu PHD ya Dkt. Rugemeleza Nshalla ni ya kutishai watu kwenye baa tu.
Mbona kuna watu wengi ikiwamo wanasheria wamejitokeza katika kujadili na kukosoa baadhi ya vipengele vilivyomo katika mkataba!? Watu hao ni wenye viwango na sifa tofauti za kielimu, kitaaluma, utaalamu, uzoefu na hata weledi pia. Wamo watu maarufu na wa kawaida pia.

Yaani hao wote wala huangaiki nao isipokuwa PhD na maandiko yake. Acha uvivu wa kufikiri wewe.
 
Back
Top Bottom