Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,618
- 4,605
😁😁😁Dogo utapasuka msamba huyo sio saizi yako....huoni wenzio walivyotulia....
Hii mifano ya bar mpelekee Waitara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😁😁😁Dogo utapasuka msamba huyo sio saizi yako....huoni wenzio walivyotulia....
Hii mifano ya bar mpelekee Waitara
Mkuu watu wetu wanatisha sana...Hivi hawa ndiyo waende kwenye negotiation table waweze kweli kuleta deal la maana nchini?Yale yale ya kina Steve Nyerere na Shehe Mwaipopo kudharau wasomi.
Sasa wewe ulitaka awe na publications ngapi!? Tatu kwa PhD is more than enough. More than that unless uwe academician au Researcher.
Nisingeweza kuweka vizuri kama ulivyofanya...Hawa ndugu zetu wanatisha kwakukosa maarifaDr Nshala ni Practising Advocate na siyo Full Time Academic, kiasi cha kusema akaguliwe machapisho.
Utafanya vyema kutuonesha Consultations za kibiashara, Arbitrations na Investment Contracts alizozifanya kama Practicising Advocate. Maana hivi ndivyo vigezo ambavyo vinatumika kwenye tasnia ya sheria. Hatuangalii uzoefu wa mtu kwa machapisho peke yake, bali pia kazi alizozifanya.
Ndiyo maana kuna wanasheria wakubwa hapa Tanzania wana shahada za kwanza (L.L.B) na pili (L.L.M), lakini ni BARRISTERS wenye uzoefu mkubwa kwenye INTERNATIONAL COMMERCIAL ARBITRATION kuliko hata wanazuoni wa pale UDSM. Ukiangalia kanzi-data ya wanasheria wa IMMMA, REX, BOWMANS nk huwezi kukuta PhD au machapisho peke yake, bali hata CONSULTATIONS, ARBITRATIONS, LITIGATION and DRAFTINGS ambazo zimefanywa na mwanasheria husika.
Sasa bwana comte utatenda haki kama utatuletea wasifu mzima wa Dr Nshala....
Ulaaniwe wewe na kizazi chako chote
sijaona machapisho yoyote ya Dr. kwenye eneo lake la ubobezi yaani Mikataba ya Kimataifa ya Biashara badala yake ana machapisho matatu (3) mawali akiwa ameshirikiana na wenzake na moja peke yake. Machapisho yake yote yako nje ya eneo lake la ubobezi
Publications (3)
Local Communities and Wildlife Management Reform in Tanzania
Article (Jan 2008)Fred Nelson, Rugemeleza Nshala, Alan Rodgers
The Evolution and Reform of Tanzanian Wildlife Management
Article (Jan 2007) Fred Nelson, Rugemeleza Nshala , & W. A. Rodgers
Management of Natural Resources in Tanzania: Is the Public Trust Doctrine of Any Relevance?
Article Rugemeleza Nshala
Kwangu PHD ya Dkt. Rugemeleza Nshalla ni ya kutishai watu kwenye baa tu.

ila kumdharau rais na kuidharau serikali sawa?Yale yale ya kina Steve Nyerere na Shehe Mwaipopo kudharau wasomi.
Sasa wewe ulitaka awe na publications ngapi!? Tatu kwa PhD is more than enough. More than that unless uwe academician au Researcher.
NOPE. Je wewe uliweka kivumishi hiki Dr Rugemeleza Nshala (PhD Harvard Mikataba ya Kimataifa ya Biashara)Huwezi kuondoa credibility yake kisa hana chapisho, otherwise walimpa phd wangeiondoa.
Sasa ww na elimu yako ambao haijulikani, unahoji as if ww ni superior? Au sababu amepinga mkataba?
Unaanza personal attacks?
Nisingeweza kuweka vizuri kama ulivyofanya...Hawa ndugu zetu wanatisha kwakukosa maarifa
Uko sahihi, je ilikuwa ni lazima maoni ya huyo mtu yavumishwe na kivumishi cha Dr Rugemeleza Nshala (PhD Harvard Mikataba ya Kimataifa ya Biashara)? Huu ni ushamba tuMkuu, CCM Apparatchik is facing a crisis of relative decline. Wao wanaendelea kutumia mifumo ambayo iliundwa na Mzee Nyerere kuwathibiti raia wa Tanzania wa karne ya 20. Bahati mbaya sana CCM Apparatchik haijaweza kukua na kutengeneza mifumo ya kuwathibiti Millenials (Cohorts of Gen Y and Z) kizazi ambacho kina ulimwengi kiganjani.
Millenials wamekuwa na ufahamu na maarifa makubwa kuliko CCM Apparatchik ambayo inadhani bado Tanzania ina raia wenye akili za kipindi cha Nyerere, Mwinyi na Mkapa wenye kupelekeshwa kama mifugo ya chama. Hili haliwezekani kabisa dunia hii ya leo, ambayo mtu anaweza kwenye mtandaoni na kuona nini kinafanyika huko duniani kote kuhusu hii mikataba ya uwekezaji.
Sasa bwana Comte ni moja ya watu wanaodhani kwamba watanzania wote ni wale vijana wa UVCCM ambao wao hufanya mambo kwa mbeleko (Average Joes). Kaja na propaganda za kitoto kutaka kuchafua watu, lakini nimeshukuru hata wewe umeweza kumpa maswali mazito kuhusu tasnia ya sheria hadi ameshindwa kujibu analazimisha kwamba Nshala ana machapisho machache.
Kuna wanasheria Tanzania nawafahamu wana Masters Degree (LLM), lakini ni Barristers na wamefanya Consultations, International Commercial Arbitrations, Drafting Legal Documents na Investment Litigations kuliko hata wasomi wetu wa Mlimani pale ambao siyo Full-Time-Practitioners.
This is the beginning of the end for CCM, kifaransa tunasema Fin de siècle..
Wapi na lini Dr. Nshala kamdharau Rais au Serikali!!?ila kumdharau rais na kuidharau serikali sawa?
Tuwekee PhD yako inayotisha watu kwenye Mgahawa.
sijaona machapisho yoyote ya Dr. kwenye eneo lake la ubobezi yaani Mikataba ya Kimataifa ya Biashara badala yake ana machapisho matatu (3) mawali akiwa ameshirikiana na wenzake na moja peke yake. Machapisho yake yote yako nje ya eneo lake la ubobezi
Publications (3)
Local Communities and Wildlife Management Reform in Tanzania
Article (Jan 2008)Fred Nelson, Rugemeleza Nshala, Alan Rodgers
The Evolution and Reform of Tanzanian Wildlife Management
Article (Jan 2007) Fred Nelson, Rugemeleza Nshala , & W. A. Rodgers
Management of Natural Resources in Tanzania: Is the Public Trust Doctrine of Any Relevance?
Article Rugemeleza Nshala
Kwangu PHD ya Dkt. Rugemeleza Nshalla ni ya kutishai watu kwenye baa tu.
Maoni tumeyasikia hayana hadhi ya PHD ya Havard katiba mikataba ya biashara ya kimataifaTatizo ni chapisho?
Cha muhimu ujumbe umepenya na mpaka sasa hao mbuzi walioenda kuuza nchi Uarabuni wanatakiwa watapike hela za watu tuvunje huu ùhuni na uhaini waliotufanyia kisha waburuzwe kortini.
Mimi sifati mkumbo- najitegemea. Sikiliza hiyo clip yoteWapi na lini Dr. Nshala kamdharau Rais au Serikali!!?
Anyway, Kama wanatuuza kwa nini tusiwadharau. Huoni wao wenyewe wamekaa kimya wamewaachia kazi ya kujibu akina Steve Nyerere na Shehe Mwaipopo.
Wewe hujiulizi kwa nini Umoja wa Vijana na kina Kibajaji wako kimya. Au unafikiri ni ustaarabu... Amka.
NOPE. Je wewe uliweka kivumishi hiki Dr Rugemeleza Nshala (PhD Harvard Mikataba ya Kimataifa ya Biashara)
ili kututisha au kutukoga?