comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 9,019
- 6,825
- Thread starter
- #21
Mkuu mimi hoja yangu iko kwa huyo aliyetueleza kwa nia ya kututisha kuwa Mh. Wakili ana PHD ya Havard na eneo la ubobezi ni miktaba ya kimataifa ya biashara. Mie nikatafuta machapisho maana wabobezi hupewa heshimazaidi siyo kwa kuwa na PHD bali kwa michango yao kwenye eneo la ubobezi kupitia machapisho. Nilichokikuta ni hiki:Comte wakili ana hoja ni vzr hoja zake zijibiwe na sio kumjadili personally na achievement zake!! Haijalishi mafanikio yake yakoje kulingana na PhD yake. Kikubwa ana hoja na ajibiwe! NB: Jifunzeni au someni ili muweze kuwajibu wasomi msilete uccm kweny mamb ya msingi!!
Publications (3)
1. Local Communities and Wildlife Management Reform in Tanzania
Article (Jan 2008)Fred Nelson, Rugemeleza Nshala, Alan Rodgers
2. The Evolution and Reform of Tanzanian Wildlife Management
Article (Jan 2007) Fred Nelson, Rugemeleza Nshala , & W. A. Rodgers
3. Management of Natural Resources in Tanzania: Is the Public Trust Doctrine of Any Relevance?
Article Rugemeleza Nshala
Huyu ni mpiga kelele tu kama sisi wote