Nakubaliana na wewe kwa mantiki ila na mimi ni CCM ujue kama ninaufahamu huu basi jua hata huku CCM wenye ufahamu na exposure wapo wengi. Tatizo kubwa ni ile generation generation X and baby boomers kushindwa kutambua alama za nyakati huku wakikumbatia watoto na wajukuu wao ambao ni lazy in thinking...wamezoezwa kubebwa na kufanyiwa kila jambo.Mkuu, CCM Apparatchik is facing a crisis of relative decline. Wao wanaendelea kutumia mifumo ambayo iliundwa na Mzee Nyerere kuwathibiti raia wa Tanzania wa karne ya 20. Bahati mbaya sana CCM Apparatchik haijaweza kukua na kutengeneza mifumo ya kuwathibiti Millenials (Cohorts of Gen Y and Z) kizazi ambacho kina ulimwengi kiganjani.
Millenials wamekuwa na ufahamu na maarifa makubwa kuliko CCM Apparatchik ambayo inadhani bado Tanzania ina raia wenye akili za kipindi cha Nyerere, Mwinyi na Mkapa wenye kupelekeshwa kama mifugo ya chama. Hili haliwezekani kabisa dunia hii ya leo, ambayo mtu anaweza kwenye mtandaoni na kuona nini kinafanyika huko duniani kote kuhusu hii mikataba ya uwekezaji.
Sasa bwana Comte ni moja ya watu wanaodhani kwamba watanzania wote ni wale vijana wa UVCCM ambao wao hufanya mambo kwa mbeleko (Average Joes). Kaja na propaganda za kitoto kutaka kuchafua watu, lakini nimeshukuru hata wewe umeweza kumpa maswali mazito kuhusu tasnia ya sheria hadi ameshindwa kujibu analazimisha kwamba Nshala ana machapisho machache.
Kuna wanasheria Tanzania nawafahamu wana Masters Degree (LLM), lakini ni Barristers na wamefanya Consultations, International Commercial Arbitrations, Drafting Legal Documents na Investment Litigations kuliko hata wasomi wetu wa Mlimani pale ambao siyo Full-Time-Practitioners.
This is the beginning of the end for CCM, kifaransa tunasema Fin de siècle..
Nokuhakikishie sisi tupo imara na bila CCM hakuna nchi imara. Nikubali tu kwamba we need to reform and remove this old school wabakie kuwa washauri tu ila wastaafu na kuachia watu wenye substance waendeshe nchi