Usomi wa Dkt. Rugemeleza Nshala (PhD Harvard Mikataba ya Kimataifa ya Biashara)haumpi uzito mkubwa kwenye suala DP-WORLD

Usomi wa Dkt. Rugemeleza Nshala (PhD Harvard Mikataba ya Kimataifa ya Biashara)haumpi uzito mkubwa kwenye suala DP-WORLD

sijaona machapisho yoyote ya Dr. kwenye eneo lake la ubobezi yaani Mikataba ya Kimataifa ya Biashara badala yake ana machapisho matatu (3) mawali akiwa ameshirikiana na wenzake na moja peke yake. Machapisho yake yote yako nje ya eneo lake la ubobezi

Publications (3)

Local Communities and Wildlife Management Reform in Tanzania

Article (Jan 2008)Fred Nelson, Rugemeleza Nshala, Alan Rodgers

The Evolution and Reform of Tanzanian Wildlife Management

Article (Jan 2007) Fred Nelson, Rugemeleza Nshala , & W. A. Rodgers

Management of Natural Resources in Tanzania: Is the Public Trust Doctrine of Any Relevance?

Article Rugemeleza Nshala

Kwangu PHD ya Dkt. Rugemeleza Nshalla ni ya kutishai watu kwenye baa tu.

Mkuu, sijui umesukumiwa ngapi, ilaumesahahu kutujulishaumebobea wapi.
 
Mkuu, sijui umesukumiwa ngapi, ilaumesahahu kutujulishaumebobea wapi.
Nime bobea kwenye kutumia akili zangu kama binadamu basi bila kutisha mtu kwa vivumisho
 
Ametoa hoja huyo mwanasheria, wewe unatakiwa kujibu hoja zake, sio unakuja hapa kutuletea CV yake na kudai haimpi uzito wa kujadili ule mkataba wa hovyo wa kuwapa wajomba bandari zetu zote Tanganyika milele.

Hebu tuwekee hapa CV yako tuone kama inakupa uzito wa kuujadili ule mkataba wa hovyo wa bandari, ukishindwa kufanya hivyo, Shut Up.
Hoja potofu sana aliyotoa. Suala la bandari linawadhalilisha wasomi wetu tena wale wanaoaminiwa na jamii nzima.

Kushindwa kuelewesha watu vizuri wanapojaribu kujenga hoja kuwa IGA ndio mkataba wenye kwenda kutekelezwa katika uwekezaji mzima wa bandari.

Wanashindwa kuwaambia watu kuwa HGAs ndizo zinazokwenda kutekelezwa baada ya kuwa zimeshaandikwa na kupitishwa kwa ushirikiano wa Dubai na Wafanyabiashara wetu kwa kushirikiana na wanasheria.

Wanakuja na tafsiri potofu ambayo inawezekana ni kwa makusudi halafu wanaongea kwa ukali na kujiamini kama vile wanachosema ni halali kutoka katika midomo yao!.

Wamejidharaulisha sana wasomi wabobezi wa viwango vya uandamizi kina Shivji na huyu Nshala.
 
sijaona machapisho yoyote ya Dr. kwenye eneo lake la ubobezi yaani Mikataba ya Kimataifa ya Biashara badala yake ana machapisho matatu (3) mawali akiwa ameshirikiana na wenzake na moja peke yake. Machapisho yake yote yako nje ya eneo lake la ubobezi

Publications (3)

Local Communities and Wildlife Management Reform in Tanzania

Article (Jan 2008)Fred Nelson, Rugemeleza Nshala, Alan Rodgers

The Evolution and Reform of Tanzanian Wildlife Management

Article (Jan 2007) Fred Nelson, Rugemeleza Nshala , & W. A. Rodgers

Management of Natural Resources in Tanzania: Is the Public Trust Doctrine of Any Relevance?

Article Rugemeleza Nshala

Kwangu PHD ya Dkt. Rugemeleza Nshalla ni ya kutishai watu kwenye baa tu.
Tumekusikia Steve Nyerere mawazo Yako yaheshimiwe japo ni ya kipuuzi.
 
A
Mkuu umenena vyema- sasa huyu PHD ya Mikataba ya Kimataifa ya Biashara mbona hatuoni wapi ameutumia huo utalaam badala yake
Publications (3)

1. Local Communities and Wildlife Management Reform in Tanzania

Article (Jan 2008)Fred Nelson, Rugemeleza Nshala, Alan Rodgers

2. The Evolution and Reform of Tanzanian Wildlife Management

Article (Jan 2007) Fred Nelson, Rugemeleza Nshala , & W. A. Rodgers

3. Management of Natural Resources in Tanzania: Is the Public Trust Doctrine of Any Relevance?

Article Rugemeleza Nshala
Au tuelezwe huyu Dk. Nshala ameishahusika na kesi za mikataba ya kibiashara ya kimataifa mingapi na akashinda Ili tujilidhishe na weledi wake katika suala la DP World!
 
Kuna nguvu ya pesa nyuma ya namna Prof Shivji na huyu Nshala walivyojitokeza kupinga hii biashara ya DPW.

Wamekuja na hoja nyepesi zenye kuzidi kupotosha jamii badala ya kusaidia kukuza uelewa.

Wamekuja na tafsiri potofu ya kile kilichopelekwa bungeni na kujadiliwa. Kwa ngazi yao sio wa kushindwa kuelewa tofauti ya makubaliano yanayokwenda bungeni na mikataba ya kibiashara.

Makubaliano yanayopita bungeni ili yapate ridhaa ndio yanayokwenda kuzaa mikataba kadhaa ya kibiashara.

Wakongwe hawa wamepotosha watu kwa kuwaaminisha kilichopelekwa bungeni ndio hicho kinachokwenda kufanyiwa kazi bandarini.

Wakisahau suala zima la mawanda ya mahusiano yanayozaliwa kutokana na IGA kupitishwa bungeni.

Kuna masuala ya TEHAMA, kuna masuala ya kukuza uwezo wa vyuo vyetu vya bandari. Kuna masuala ya uongezaji mzima wa ufanisi wa bandari yetu.

Haya yote yanatokana na mikataba mingine inayotegemea uwepo wa IGA kuwa imeshapitishwa bungeni.
 
Phd havard ni sawa na form foo ya kitenge kwa Tanzania.
 
Nime bobea kwenye kutumia akili zangu kama binadamu basi bila kutisha mtu kwa vivumisho
Mkuu umetuambia ndugu Nsahala ametoa maandishi matatu. Umesahahu kutueleza amekuwa pia kiongozi wa TLS.
Hukutupa maandishi yako wala kutueleza unapata wapi mkate wako wa kila siku.
 
Mkuu umetuambia ndugu Nsahala ametoa maandishi matatu. Umesahahu kutueleza amekuwa pia kiongozi wa TLS.
Hukutupa maandishi yako wala kutueleza unapata wapi mkate wako wa kila siku.

Summary

Bio
  • Age: 53
  • Education: Rugemeleza Nshala went to University of Dar es Salaam where he acquired a Bachelor of Laws degree (LLB) in 1993 and before going to Harvard Law School where he graduated with a Masters of Laws (LLM) in 1997 and later to the Yale School of Forestry and Environment where he obtained a Masters of Environmental Management (MEM) in 2007.
    He also obtained a Doctorate of Juridical Sciences (SJD) from Yale University.
  • Work: In 1994, he co-founded Lawyers' Environmental Action Team (LEAT), one of the first public interest environmental law organisations in eastern and central Africa. Its formation spurred the formation of similar organisations in other African countries.
    Dr Nshala has carried out field research in Ghana, Tanzania, Zambia and Botswana.
    He has also undertaken extensive research of FDI and negative repercussions of investment incentives on mineral-rich countries.
    In 2019 he was elected president of Tanzania mainland bar association, Tanganyika Law Society (TLS).

DOES IT MAKE ANY DIFFERENCE? NOPE. NI MWANAHARAKATI NA MPINGA MAENDELEO KWA KUUBWA NA KUZALIWA
 
Hivi ndiye aliyetafsiri Katiba kuwa Rais akifariki basi Baraza lake lote la Mawaziri nalo linakufa, ila aliyekuwa Makamu wa Rais huyo aliyefariki anachukua kiti cha urais na kuunda baraza jipya?
 
Back
Top Bottom