Usomi wa Dkt. Rugemeleza Nshala (PhD Harvard Mikataba ya Kimataifa ya Biashara)haumpi uzito mkubwa kwenye suala DP-WORLD

Yale yale ya kina Steve Nyerere na Shehe Mwaipopo kudharau wasomi.

Sasa wewe ulitaka awe na publications ngapi!? Tatu kwa PhD is more than enough. More than that unless uwe academician au Researcher.
Mkuu watu wetu wanatisha sana...Hivi hawa ndiyo waende kwenye negotiation table waweze kweli kuleta deal la maana nchini?

Kuna saa ukiangalia watendaji wetu huku nchini mwili unasisimuka kwa mediocrity walizonazo.
 
Nisingeweza kuweka vizuri kama ulivyofanya...Hawa ndugu zetu wanatisha kwakukosa maarifa
 
Ulaaniwe wewe na kizazi chako chote
 
Wapo wengi wenye changamoto za aina hiyo, kuna wengine hata kutoa chapisho moja kwa mwaka la kuitetea PhD yake ni tatizo; inawezekana labda mazingira sio wezeshi.​
 
Wewe una machapisho mangapi.!?

Au

Umeshiriki katika machapisho mangapi!?
 

Huwezi kuondoa credibility yake kisa hana chapisho, otherwise walimpa phd wangeiondoa.
Sasa ww na elimu yako ambao haijulikani, unahoji as if ww ni superior? Au sababu amepinga mkataba?
Unaanza personal attacks?
 
Yale yale ya kina Steve Nyerere na Shehe Mwaipopo kudharau wasomi.

Sasa wewe ulitaka awe na publications ngapi!? Tatu kwa PhD is more than enough. More than that unless uwe academician au Researcher.
ila kumdharau rais na kuidharau serikali sawa?
 
Huwezi kuondoa credibility yake kisa hana chapisho, otherwise walimpa phd wangeiondoa.
Sasa ww na elimu yako ambao haijulikani, unahoji as if ww ni superior? Au sababu amepinga mkataba?
Unaanza personal attacks?
NOPE. Je wewe uliweka kivumishi hiki Dr Rugemeleza Nshala (PhD Harvard Mikataba ya Kimataifa ya Biashara)
ili kututisha au kutukoga?
 
Sababu mtu sio kuku wala hawezi kutaga haimaanishi hawezi kuona yai Viza
 
Nisingeweza kuweka vizuri kama ulivyofanya...Hawa ndugu zetu wanatisha kwakukosa maarifa
Mkuu, CCM Apparatchik is facing a crisis of relative decline. Wao wanaendelea kutumia mifumo ambayo iliundwa na Mzee Nyerere kuwathibiti raia wa Tanzania wa karne ya 20. Bahati mbaya sana CCM Apparatchik haijaweza kukua na kutengeneza mifumo ya kuwathibiti Millenials (Cohorts of Gen Y and Z) kizazi ambacho kina ulimwengi kiganjani.

Millenials wamekuwa na ufahamu na maarifa makubwa kuliko CCM Apparatchik ambayo inadhani bado Tanzania ina raia wenye akili za kipindi cha Nyerere, Mwinyi na Mkapa wenye kupelekeshwa kama mifugo ya chama. Hili haliwezekani kabisa dunia hii ya leo, ambayo mtu anaweza kwenye mtandaoni na kuona nini kinafanyika huko duniani kote kuhusu hii mikataba ya uwekezaji.

Sasa bwana Comte ni moja ya watu wanaodhani kwamba watanzania wote ni wale vijana wa UVCCM ambao wao hufanya mambo kwa mbeleko (Average Joes). Kaja na propaganda za kitoto kutaka kuchafua watu, lakini nimeshukuru hata wewe umeweza kumpa maswali mazito kuhusu tasnia ya sheria hadi ameshindwa kujibu analazimisha kwamba Nshala ana machapisho machache.

Kuna wanasheria Tanzania nawafahamu wana Masters Degree (LLM), lakini ni Barristers na wamefanya Consultations, International Commercial Arbitrations, Drafting Legal Documents na Investment Litigations kuliko hata wasomi wetu wa Mlimani pale ambao siyo Full-Time-Practitioners.

This is the beginning of the end for CCM, kifaransa tunasema Fin de siècle..
 
Sababu mtu sio kuku wala hawezi kutaga haimaanishi hawezi kuona yai Viza
Sahihi kabisa mkuu na wala huitaji kuwa na PHD wala kutishia watu kuwa una PHD
 
Uko sahihi, je ilikuwa ni lazima maoni ya huyo mtu yavumishwe na kivumishi cha Dr Rugemeleza Nshala (PhD Harvard Mikataba ya Kimataifa ya Biashara)? Huu ni ushamba tu
 
ila kumdharau rais na kuidharau serikali sawa?
Wapi na lini Dr. Nshala kamdharau Rais au Serikali!!?

Anyway, Kama wanatuuza kwa nini tusiwadharau. Huoni wao wenyewe wamekaa kimya wamewaachia kazi ya kujibu akina Steve Nyerere na Shehe Mwaipopo.

Wewe hujiulizi kwa nini Umoja wa Vijana na kina Kibajaji wako kimya. Au unafikiri ni ustaarabu... Amka.
 
Tuwekee PhD yako inayotisha watu kwenye Mgahawa.
 
Tatizo ni chapisho?

Cha muhimu ujumbe umepenya na mpaka sasa hao mbuzi walioenda kuuza nchi Uarabuni wanatakiwa watapike hela za watu tuvunje huu ΓΉhuni na uhaini waliotufanyia kisha waburuzwe kortini.
Maoni tumeyasikia hayana hadhi ya PHD ya Havard katiba mikataba ya biashara ya kimataifa
 
Mimi sifati mkumbo- najitegemea. Sikiliza hiyo clip yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…