Hawauchafui Uislamu bro.
Ni kipi wameongea cha uongo?.
Ukweli uongelewe. Ndio uhalisia.
Imeandikwa kuwa wanawake wa peponi watapata ujira sawa na wanaume.
Sasa kama wanaume watapata bikra 72. Watu wakisema wadada wa Kiislam watapata Mijegeje 72 wanakuwa wamekosea wapi?.
Wameandika pia kama umeolewa duniani basi utakutana na mume wako mbinguni na mnaendelea kuzagamuana.
Ila kama haujaolewa basi allah atakuozesha muislam mwingine ambaye ameingia peponi. Yaan allah atahakikisha hakuna mwanamke anakosa ubo..o au mwanaume atakayekosa jagina.
Ni mwendo wa kulombana tu.
Sasa kuna uwongo gan kwenye hili? Wakat ni quran imeongea.