Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
- Thread starter
- #21
AhahahaKisa akatae Tigo ndiyo achekwe barabarani? Hapana, hiyo huwa sidhani kama ipo hivyo. Huenda ndugu yako anajitetea kuficha ukweli.
Hebu ngoja kwanza, umesema huyo ndugu yako ni bouncer??? Isije ikawa alitaka kupigwa ulimi kwenye nnya, yaani ile gari inayotaka isukumwe kwanza, istuliwe ndipo iwake?? Hebu mchunguzi vyema.
Ngoja nilifanyie kazi