Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Na ukifuatilia ubakaji wa majumbani ni wajomba kubaka watoto wa dada zaoMtoto wa sister wako ambaye kwa lugha nyingine tunaweza kusema ni mwanao,
Anapata ujasiri gani wakukwambia wewe Mama yake habari za mademu aliowala?
Kulikua na umuhimu gani kwa yeye kukwambia tafsiri ya ile kauli ya wale wadada watatu? kwani angejifanya hata yeye haelewi angepungukiwa nini?
Hapa napata picha aina ya malezi ya vijana wengi wanayoyapitia kati yao na wazazi wao.