of course kuna research imeshafanyika, Tanzania wanawake wanaoingiliwa kinyume na maombile ni wengi sana, asilimia kubwa sana tena hao hao unaowaona wa heshima, wafanyakazi maofisini, watu wenye staha.
lakini ukweli upo pale pale, tumrudie Mungu, hiyo ni dhambi, na dunia hii ipo ukingoni, siku ya hukumu ipo karibu sana, mrudieni Mungu ili kuiepuka hukumu ya milele jehunum. Yesu alikufa kwa ajili yetu hatutakuwa na sababu yeyote ya kujitetea, alikuja kwetu na sisi tulio wake tunamkataa, lakini wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio Jina lake. Aminini Jina la Yesu, huyo ndiye Mwokozi, ndiye jiwe walilolikataa waashi/wajenzi bila kujua kuwa hilo ndio jiwe kuu la pembeni/msingi. hakuna wokovu kwa mwingine yeyote, mwendee yeye atakusamehe na kukusafisha dhambi zako zote, magonja yako atayaondoa, atakupa furaha uliyoipoteza na mwisho uzima wa milele.