NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Kocha na benchi la ufundi la Simba sc pamoja na mashabiki wa Simba bado hawajarudi mchezoni toka wafe kiume kule uarabuni.
Mbaya zaidi na namungo kapiga kwenye mshono /kadroo na Simba hicho ndicho kimewanyong'onyesha kabisa.
Utabiri wangu Azam atashinda huko mtwara au kudroo.
Njoo dakika tisini baada ya mpira kuisha.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app