Utabiri : Azam FC atashinda au atadroo dhidi ya Simba Sc kwenye huu mchuano wa Kombe la Shirikisho

Tatizo liko kwa Mo, Mo hajawalipa mishahara yao wachezaji na benchi la ufundi ya miezi 4 sasa. Na ile bonus 300m ya timu kuifunga yanga hajawapa hadi leo. Ndio maana wachezaji wakasema kama mbwai na iwe mbwai tu.
MO hana udhibiti wa 100% ya Simba.
Kuna watu hawana mchango ila wao ndo wana hisa nyingi, je hao kazi yao iko wapi?
 
Kazi yetu sisi tusio na mchango ila tuna hisa 51 ni fitna na majungu tu mpaka Mo atuachie timu yetu
 
Lipeni hela alizotumia kusaidia timu kwa miaka yote maana zile pesa simba inakopeshwa
 
Hatujamuomba wala hakulazimishwa. Akileta za kuleta tunamfanyia jambo kama Manji
 
Mikataba inawabana, unadhani anatoa pesa hivi hivi?
Bodi nzima inaweka saini zao, bodi imeteuliwa na wanachama
 
Back
Top Bottom