NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
- #81
Kwa hiyo bodi ya usajiri ndiyo inaiangusha Simba.Mikataba inawabana, unadhani anatoa pesa hivi hivi?
Bodi nzima inaweka saini zao, bodi imeteuliwa na wanachama
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app