NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Hivi kuna siku utaitabiria Simba jema?Ndiyo maana unajiira "NALIAGA SANA"!😜Kocha na benchi la ufundi la Simba sc pamoja na mashabiki wa Simba bado hawajarudi mchezoni toka wafe kiume kule uarabuni.
Mbaya zaidi na namungo kapiga kwenye mshono /kadroo na Simba hicho ndicho kimewanyong'onyesha kabisa.
Utabiri wangu Azam atashinda huko mtwara au kudroo.
Njoo dakika tisini baada ya mpira kuisha.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kocha na benchi la ufundi la Simba sc pamoja na mashabiki wa Simba bado hawajarudi mchezoni toka wafe kiume kule uarabuni.
Mbaya zaidi na namungo kapiga kwenye mshono /kadroo na Simba hicho ndicho kimewanyong'onyesha kabisa.
Utabiri wangu Azam atashinda huko mtwara au kudroo.
Njoo dakika tisini baada ya mpira kuisha.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Una malaria aisee!Tuma namba yako ya "hebupesa" tukuchangie hela ya "medikamaa"!Wiki yote hii nmeota
Azam 3.........0 simba
Mimi wasiwasi wangu marefarii wasiomuogopa Mungu tu basi..Kocha na benchi la ufundi la Simba sc pamoja na mashabiki wa Simba bado hawajarudi mchezoni toka wafe kiume kule uarabuni.
Mbaya zaidi na namungo kapiga kwenye mshono /kadroo na Simba hicho ndicho kimewanyong'onyesha kabisa.
Utabiri wangu Azam atashinda huko mtwara au kudroo.
Njoo dakika tisini baada ya mpira kuisha.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nitarply mkuuBaada ya mechi,uwe unarelpy,usikimbie uzi wako
Kafa kifo Cha mende Kama nilivyotabiriMimi wasiwasi wangu marefarii wasiomuogopa Mungu tu basi..
Kila la heri kwa kile ulichokua unakiotaSimba anaenda fainali
Atavaa medali ya mshindi wa pili
Asante
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Amka hiyo ndoto uliyokua unaota usije ukajikojolea.Hakuna cha kuongezewa muda wala penati, Azam anakufa ndani ya dk. 90. Simba haiwezi kukubali msimu uishe bila kumpiga Azam. Leo lambalamba anakufa.
Pole sana kwa kitu kizito kilichokukuta.Kama kuna mechi ya kuweka hela ndefu na kumpa Simba kushinda ni leo. Nilifanya hivyo dhidi ya Yanga na dhidi ya Wydad hapa nyumbani.
Wekeni mpunga mumpe Simba,mtakuja kunishukuru.
Una chochote Cha kuniambia ??Hivi kuna siku utaitabiria Simba jema?Ndiyo maana unajiira "NALIAGA SANA"![emoji12]
Kila la heri Azam fc.Wakitoa draw ndani ya dakika 90,wataongezewa dakika 30,wakidraw tena wanapiga penalty