Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Uliweka kiasi gani mkuu?? Pole sana mwanalunyasiKama kuna mechi ya kuweka hela ndefu na kumpa Simba kushinda ni leo. Nilifanya hivyo dhidi ya Yanga na dhidi ya Wydad hapa nyumbani.
Wekeni mpunga mumpe Simba,mtakuja kunishukuru.
Nakwambia "ongela"!Au hautaki?
Umeitoa kinyonge sana lakini pole sana Simba ilikua haina uwezo wa kuifunga Azam [emoji16]Nakwambia "ongela"!Au hautaki?
Unaendeleaje hapo ICU?Hakuna cha kuongezewa muda wala penati, Azam anakufa ndani ya dk. 90. Simba haiwezi kukubali msimu uishe bila kumpiga Azam. Leo lambalamba anakufa.
Wacha wewe!! Kombe la nusu fainali siyo.Mkuu hapo hakuna droo, lazima mmoja afe. Simba wanalitaka hili kombe, tena wanaenda kumkanda Yanga pale Tanga.
Sawa mkuu.Ngoja niendelee kugida kitu flani hivi.Umeitoa kinyonge sana lakini pole sana Simba ilikua haina uwezo wa kuifunga Azam [emoji16]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Enheeeeein rudia tena ulicho andika........Hakuna cha kuongezewa muda wala penati, Azam anakufa ndani ya dk. 90. Simba haiwezi kukubali msimu uishe bila kumpiga Azam. Leo lambalamba anakufa.
Hama timu huko utapata presha njoo Yanga ufurahie kila siku.[emoji23]Sawa mkuu.Ngoja niendelee kugida kitu flani hivi.
Hawezi kuja hata kwa dawa huyo anaona aibu kwa uharo aliouhara.Enheeeeein rudia tena ulicho andika........
Sasa hapo ndiyo umeanza kuwa kichaa.Mimi nihame kabila?😂😂😂Hama timu huko utapata presha njoo Yanga ufurahie kila siku.[emoji23]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
[emoji23] inawapa presha mashabikisimba bhana.
Utaendelea kupata maumivu mpaka ufe aisee.Sasa hapo ndiyo umeanza kuwa kichaa.Mimi nihame kabila?[emoji23][emoji23][emoji23]
Haloo hebu niache!Ntaanza kulia bure!😜
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Kama kuna mechi ya kuweka hela ndefu na kumpa Simba kushinda ni leo. Nilifanya hivyo dhidi ya Yanga na dhidi ya Wydad hapa nyumbani.
Wekeni mpunga mumpe Simba,mtakuja kunishukuru.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji102]Baada ya mechi,uwe unarelpy,usikimbie uzi wako
[emoji23] kapigwa na kitu kizito kichwani huyo atakuja kukujibu kesho kutwa.[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Pasta mashimo kwanini hukomi kudanganya wateule?
Huyo kakimbia yeye [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji102]
Mwisho wa kulia kwako hamia yanga.Haloo hebu niache!Ntaanza kulia bure![emoji12]
Na walivo na hasira sasa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23] kapigwa na kitu kizito kichwani huyo atakuja kukujibu kesho kutwa.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app