Utabiri : Azam FC atashinda au atadroo dhidi ya Simba Sc kwenye huu mchuano wa Kombe la Shirikisho

Tatizo liko kwa Mo, Mo hajawalipa mishahara yao wachezaji na benchi la ufundi ya miezi 4 sasa. Na ile bonus 300m ya timu kuifunga yanga hajawapa hadi leo. Ndio maana wachezaji wakasema kama mbwai na iwe mbwai tu.
 
Ndiyo kisingizio chenu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo liko kwa Mo, Mo hajawalipa mishahara yao wachezaji na benchi la ufundi ya miezi 4 sasa. Na ile bonus 300m ya timu kuifunga yanga hajawapa hadi leo. Ndio maana wachezaji wakasema kama mbwai na iwe mbwai tu.
Uongo wako huo!
 
Ashura Cheupe aka Miss Kombe la Losers. Yule msemaji chochote wenu mliyempiga kibuti akaenda upande wa pili na huko FAT au saa tiefuefu wakampa kifungo cha 2 yrs na $ 20k fine
Astaghifilullah!Msalie Mtume(SAW) ndugu!
 
Ashura Cheupe aka Miss Kombe la Losers. Yule msemaji chochote wenu mliyempiga kibuti akaenda upande wa pili na huko FAT au saa tiefuefu wakampa kifungo cha 2 yrs na $ 20k fine
Pole sana maana umezungumza kwa hasira [emoji16]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…