Cicadulina
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 977
- 2,370
Kwani ndiyo mpira umekwisha? Maana kuna kutangulia kwa baiskeli ya miti.[emoji23][emoji23][emoji23]pole
Taifa stars madhaifu mengi kuanzia kukaba, kutoa passHii game ikiisha hivihivi ni kushukuru aisee..
Benin are everywhere kudadeki
Hali ni mbayaTaifa stars madhaifu mengi kuanzia kukaba, kutoa pass
Umeshaumbuka.....hiyo sifuri ya stars ibadilishe.Wakuu leo tena timu yetu ya taifa inashuka dimbani navyoona mie matokeo yatakuwa hivi
Benin 2 stars 0
Kutoboa huko ni ngumu..π€£Hali ni mbaya
Tunakoswa koswa hadi sio poa aisee
Wapumbavu Sana Taifa stars nimesema sijui kwa nini vina defence na kupoteza mpira hovyoHii game ikiisha hivihivi ni kushukuru aisee..
Benin are everywhere kudadeki
Wameweka mpunga (pesa) mkuu...kama DStv wakiweka mpunga huenda wakapewa haki ya kurusha.Tv ya kiboya hii, TFF wawe wanabalance hata DSTV ili kuweka ushindani sio katv kamoko kama foleni ya mahindi ya msaada kwenye maduka ya ushirika
Hali ni mbaya sanaaa [emoji23]Ja
Kutoboa huko ni ngumu..[emoji1787]
Huyu ni Tanzania one kweli kweli... hongera nyingi kwake...πππManula ni man of the match hadi sasa aisee
Umeona hii ya sahivi? Yupo vizuriHuyu ni Tanzania one kweli kweli... hongera nyingi kwake...[emoji122][emoji122][emoji122]
Nyingi wamemlenga. Wakipiga vichwa vya pembeni sijui kama atatubeba ManulaHuyu ni Tanzania one kweli kweli... hongera nyingi kwake...[emoji122][emoji122][emoji122]
Tuwe na shukrani..angeachia tungesema nako.Nyingi wamemlenga. Wakipiga vichwa vya pembeni sijui kama atatubeba Manula
Hili wala halina ubishi. Tena mimi ni Yanga damu.Manula ni man of the match hadi sasa aisee