Utabiri: Huenda siku za Putin zinakaribia ukingoni

TRUMP Anashinda huu Uchaguzi.Mark my Words.
 
Nikwamba mkuu unaijua urudi kuliko hata putin😂😂
 
Hizo ni dalili za madhara ya Silaha za nyuklia kabla haxijatumika....! Angalia ukiwa ukweni usinywe maji mengi inapoenda kulala😆😆!
Ebanae kwa hio ndio kusemaje?
 
Akili zako ndogo vita siyo vya putin na NATO ni urussi na NATO tena putin wanamchokoza kwa sababu ni mstaharabu siku urusi ikiangukia mikononi mwa kichaa ndiyo utajua kuwa USA NA NATO NI SISIMIZI TU na ninacho kuambia hata NATO wanakijua ....Putin hapendi kutisha siku akija rais wa urussi mwenye kutisha ni lazima NATO walie na kusagameno.
 
Kusumbuana for what. You get what you wanted.
Kwani Putin mwenyewe anasemaje?
Aisee niliwahi ku-date binti mmoja wa kilokole sasa zikapita siku ikafika siku Mchungaji akawaambia Mwanaume wa hivi na hivi muache achana nae acha kua na Mwanaume wa hivi na hivi siku hio hio binti kamwaga manyanga nikaapa kwa Mungu mbinguni huko Juu km yupo kweli kwamba sitokuja kamwe kupita na Wanawake wa kilokole wale mikesha makongamano sijui semina zimefanyaje ebwana ni kisanga wale wote unaowaona mikeshamikesha sijui kufanya nini makolokolo kibao Mume wao wa kwanza ni Mchungaji yaan wewe Mwanaume umewekwa sub Mchungaji ndio anaesikilizwa zaidi km alama ya Mume sahihi na sio Wewe inafika hatua Mwanamke wa kilokole anaona Bora mara 800 angeolewa na Mchungaji tu na sio Wewe na unakua Mume wa Pili yaani anaanza Mume Mkubwa ambae ni Mchungaji alafu unafuata Wewe Mume wa Pili this is very stupidity

Wanawake wa kilokole wote unawaona km wameolewa Ila Mume wao wa kwanza ni Mchungaji
 
Urusi hakuitaka hii Vita,walioanzisha vita ndio watakaoimaliza.
Hao Nato acha waruke waruke tu,mwisho wao tunaujua.
Watakuja wenyewe mezani,mikono nyuma.
Urusi hakutaka vita kivipi wakati yeye ndio aliivamia ukraine embu tuambie ukraine aliichokoza urusi kivipi?
 
Hayo ni machuma chakavu bro 🙄😜
 
Mimi nawaangalia tu hawa wajinga.Mimi Baba yangu mzazi ameishi Urusi zaidi ya Miaka 10 kwa Mafunzo.
Mzee wangu ananiambia anaogopa jinsi Urusi wanavyokuwa Provoked.
Anasema siku Urusi wakiamua kweli kwenda Vitani,siku hiyo ndiyo itakuwa Kiama.
Huyo Baba yako alikuwa mnywa vodka huko urusi
 
Putin

Russia sio Bongo, Russia ni War mafia mpaka sasa amewaondosha mawaziri wakuu watatu wa Uingereza Boris Johnson out, Truss out, Rish sunak out, huyu naye akishupaza shingo steirmer ataondoka, Na Bado Biden ataondoka Urusi sio zimbabwe
Utaratibu wa mawaziri wakuu wa uingereza kujiuzulu ni utamaduni wao. Anza na magreth Thatcher Hadi sasa bwana steirmer. Siasa za UK ziko hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…