Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
Wewe kiparangoto punguza kuangalia movies.zinakufanywa uwe boya..Ulaya yoote ukijumlisha hawaifikii Urusi kwa ukubwa, silaha za nyuklia zote Duniani ukizijumlisha huwafikii warusi, Urusi amezamisha mavifaa ya nyuklia kwenye Ncha za kaskazini na kusini mwa Dunia yako kwenye barafu siku wakilianzisha hakutakuwepo na ulaya na Marekani yote
Punguza kuangalia movie kama chura kiziwi.Wewe mtoa mada huwajui Warusi,Mafia ya Siciliana haifikii karakta ya Warusi.
Mrusi kushindwa ni MWIKO.
Alichokoza kwa mengi kama kuua watu walokua na asili ya kirusi kule Don BassUrusi hakutaka vita kivipi wakati yeye ndio aliivamia ukraine embu tuambie ukraine aliichokoza urusi kivipi?
Sawa Mkuu,šš¾.Punguza kuangalia movie kama chura kiziwi
Umeipata kijiwe gani mkuuPutin
Russia sio Bongo, Russia ni War mafia mpaka sasa amewaondosha mawaziri wakuu watatu wa Uingereza Boris Johnson out, Truss out, Rish sunak out, huyu naye akishupaza shingo steirmer ataondoka, Na Bado Biden ataondoka Urusi sio zimbabwe
NonesenseMimi nawaangalia tu hawa wajinga.Mimi Baba yangu mzazi ameishi Urusi zaidi ya Miaka 10 kwa Mafunzo.
Mzee wangu ananiambia anaogopa jinsi Urusi wanavyokuwa Provoked.
Anasema siku Urusi wakiamua kweli kwenda Vitani,siku hiyo ndiyo itakuwa Kiama.
Bro una ubongo wa hand to mouth kiufupi huna akili ya kufikiri nje ya box.. huwezi elewa mifumo inavyoenda kama utaishi miaka 20 ijayo utapata shida kuendana na hii dunia.Sasa kama nato ndio wanapigana mbona mbona hatuoni ndege za nato hapo ukraine?
Ita roboti hamnazošLile robot la USA linalosalimiana na upepo ndo linaweza kukata moto kwanza
Sawa.Nonesense
Angekuwa anatawala Urusi mtu Harsh kama Dimitri Medvedev,hawa Nato wangeipata joto ya jiwe.Akili zako ndogo vita siyo vya putin na NATO ni urussi na NATO tena putin wanamchokoza kwa sababu ni mstaharabu siku urusi ikiangukia mikononi mwa kichaa ndiyo utajua kuwa USA NA NATO NI SISIMIZI TU na ninacho kuambia hata NATO wanakijua ....Putin hapendi kutisha siku akija rais wa urussi mwenye kutisha ni lazima NATO walie na kusagameno.
Duuuh sio kwamba nimefika level ya kuitwa Bwana Utam ? Maana nimezidisha SukariUna nyota ya UKIMWI...
Za kuambiwa changanya na za kwako.Yes,why not?
Nisipomuamini mtu aliyenikojoa nitamuamini nani hapa Duniani?
Asee mwaka wa ngapi mnarudia hili,,,,,,,,,,,,Putin sio Gadafi huyo,,,, anawamega huko ukraine na atawamega popote pale mtakapopeleka viherehere vyenu.....Nilazima tumsimamishe Putin. Nilazima ajuwe hii vita hatoshinda. NATO members ukisikiliza maneno ya viongozi wa NATO utajuwa kile kipo mbele Dunia ya majasusi.
Wanajambo lao ambalo huwendavmm na wewe hatujuwi wao hawatishii tumia nuke ila vifaa kulinda anga ya Ukraine hawatishii matumizi ya Silaha. Ni wapole ila wanakula kwa moto