Utabiri: Huenda siku za Putin zinakaribia ukingoni

TumainiEl

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
6,782
Reaction score
12,716
Nilazima tumsimamishe Putin. Nilazima ajuwe hii vita hatoshinda. NATO members ukisikiliza maneno ya viongozi wa NATO utajuwa kile kipo mbele Dunia ya majasusi.

Wanajambo lao ambalo huwendavmm na wewe hatujuwi wao hawatishii tumia nuke ila vifaa kulinda anga ya Ukraine hawatishii matumizi ya Silaha. Ni wapole ila wanakula kwa moto

Update

View: https://m.youtube.com/watch?v=EJI1PfYAgbE
 
Nilazima tumsimamishe Putin. Nilazima ajuwe hii vita hatoshinda. NATO members
Ukisikiliza manano ya viongozi wa NATO utajuwa kile kipo mbele Dunia ya majasusi. Wanajambo lao ambalo huwendavmm na wewe hatujuwi wao hawatishii tumia nuke ila vifaa kulinda anga ya Ukraine hawatishii matumizi ya Silaha. Niwapole ila wanakula kwa moto
Amka ndotoni,utajikojolea muda si mrefu.
 
Nilazima tumsimamishe Putin. Nilazima ajuwe hii vita hatoshinda. NATO members
Ukisikiliza manano ya viongozi wa NATO utajuwa kile kipo mbele Dunia ya majasusi. Wanajambo lao ambalo huwendavmm na wewe hatujuwi wao hawatishii tumia nuke ila vifaa kulinda anga ya Ukraine hawatishii matumizi ya Silaha. Niwapole ila wanakula kwa moto
Putin

Russia sio Bongo, Russia ni War mafia mpaka sasa amewaondosha mawaziri wakuu watatu wa Uingereza Boris Johnson out, Truss out, Rish sunak out, huyu naye akishupaza shingo steirmer ataondoka, Na Bado Biden ataondoka Urusi sio zimbabwe
 
Urusi hakuitaka hii Vita,walioanzisha vita ndio watakaoimaliza.
Hao Nato acha waruke waruke tu,mwisho wao tunaujua.
Watakuja wenyewe mezani,mikono nyuma.

Ulaya yoote ukijumlisha hawaifikii Urusi kwa ukubwa, silaha za nyuklia zote Duniani ukizijumlisha huwafikii warusi, Urusi amezamisha mavifaa ya nyuklia kwenye Ncha za kaskazini na kusini mwa Dunia yako kwenye barafu siku wakilianzisha hakutakuwepo na ulaya na Marekani yote
 
Putin

Russia sio Bongo, Russia ni War mafia mpaka sasa amewaondosha mawaziri wakuu watatu wa Uingereza Boris Johnson out, Truss out, Rish sunak out, huyu naye akishupaza shingo steirmer ataondoka, Na Bado Biden ataondoka Urusi sio zimbabwe
Umenisemea mkuu. Uko njema sana. Nilitaka kusema uchaguzi wa marekani una mchango mkubwa kujua hatma ya Ukraine na Mambo mengine. Akishinda Democrat Kutatokea maafa ya Damu nyingi kama kawaida yao, akishinda Republican urusi inapata tena nguvu.
Huenda warukuzi wa Russia wako Stand By kwa huu uchaguzi.
 
Hivi kukubariwa kirahisi na mademu ni dalili ya nini? Yaan demu hakusumbui umegusa tu na yeye kanyooka mule mule alafu kageukia kibra hadi unajiuliza imekuaje hii? Yaan hata sijaimbisha mtoto tayari kajaa kwenye Mstari
Demi
Hizo ni dalili za madhara ya Silaha za nyuklia kabla haxijatumika....! Angalia ukiwa ukweni usinywe maji mengi inapoenda kulala😆😆!
 
Ulaya yoote ukijumlisha hawaifikii Urusi kwa ukubwa, silaha za nyuklia zote Duniani ukizijumlisha huwafikii warusi, Urusi amezamisha mavifaa ya nyuklia kwenye Ncha za kaskazini na kusini mwa Dunia yako kwenye barafu siku wakilianzisha hakutakuwepo na ulaya na Marekani yote
Mimi nawaangalia tu hawa wajinga.Mimi Baba yangu mzazi ameishi Urusi zaidi ya Miaka 10 kwa Mafunzo.
Mzee wangu ananiambia anaogopa jinsi Urusi wanavyokuwa Provoked.
Anasema siku Urusi wakiamua kweli kwenda Vitani,siku hiyo ndiyo itakuwa Kiama.
 
Endless kuota, usije ukajisaidia kitandani
 
Mimi nawaangalia tu hawa wajinga.Mimi Baba yangu mzazi ameishi Urusi zaidi ya Miaka 10 kwa Mafunzo.
Mzee wangu ananiambia anaogopa jinsi Urusi wanavyokuwa Provoked.
Anasema siku Urusi wakiamua kweli kwenda Vitani,siku hiyo ndiyo itakuwa Kiama.
Ulivyokua mpuuzi unaamini hizo stori uchwara za mzee wako?!
Kisa alikaa Urusi miaka 10😁😁
 
Back
Top Bottom