Naona team Lisu umekuja kumtetea raisi wa mioyo yenu, ila mwambieni kuwa utabiri unaonesha kuwa mwaka 2025 jina lake halitokuwepo katika kinyang'anyiro cha kumtafuta mgombea wa chama 😂😂Pumba 🚮🚮
Utabiri unaonesha kuwa Sugu ana baraka zote za mwenyekiti wa chama, hivyo Lisu hatokuwa na cha kumfanya.Sugu akigombea Urais wa Chadema Mbowe na Lisu watakuwa Wapi?
Ameamua kumkimbia Rais wa Mabunge Duniani Dr.Tulia Jimbo la Mbeya Mjini au?
Ndo Hamas wa Bongo walivyo mkuuMaelezo mareeeefuuu hoja kisoda pumbavu kabisa kumbe unapiga Ramli?
Asipokuepo wewe unaumia nini , bakin mafisadi yenu ccm huko, nchi inawashinda mpo busy na ChademaNaona team Lisu umekuja kumtetea raisi wa mioyo yenu, ila mwambieni kuwa utabiri unaonesha kuwa mwaka 2025 jina lake halitokuwepo katika kinyang'anyiro cha kumtafuta mgombea wa chama 😂😂
Ndio nimesoma ila nahisi wewe haujaelewa nilichoandika mkuu.Je umesoma vizuri nlichoandika mkuu, au umekimbilia ku comment tu kabla ya kusoma?
Hata Mbeya kwenyewe huyu pimbi wa Kipangwa (japo mnamuita Mkinga) hatoboi.Habari zenu wanaJF wenzangu,
Kwanza naomba niwaandae kisaikolojia, wale wote ambao wanafikiri kuwa Chadema haitoshiriki katika uchaguzi mkuu wa uraisi, na ubunge.
Utabiri wangu unaonesha kuwa Chadema itashiriki katika chaguzi zote mbili. Yani uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika mwakani, na ule wa raisi na wabunge utakaofanyika mwaka 2025.
Sasa basi baada ya kukujulisha kuhusu ushiriki wa Chadema katika chaguzi zijazo, naomba nianze sasa kukufafanulia kuhusu utabiri unaoonesha kuwa ndugu Joseph Mbilinyi aka "Sugu" atapata kura nyingi kuliko wagombea wengine wa upinzani ambao waliwahi kugombea huko nyuma kabla yake.
Ni hivi utabiri unaonesha kwamba ndugu Sugu ana nyota kali ya kiuongozi na kukubalika, hivyo nyota hiyo inamsaidia kupata uungwaji mkono kutoka maeneo mbali mbali ya dunia (kama tulivyoona akitembelewa na mabalozi wa nchi zenye uchumi mkubwa duniani), na pia anaheshimiwa na kukubaliwa hata kwenye chama chake, including viongozi wakubwa wa chama (ukimtoa makamu mwenyekiti) ambae ana ubinafsi.
Hivyo utabiri unaonesha kuwa ndugu Sugu ndio atakaepitishwa na chama chake kikiongozwa na mwenyekiti wao kuwa mgombea uraisi wa chama hicho ambacho kilianguka vibaya katika uchaguzi mkuu uliyopita kutokana na sababu ambazo hapa sio mahala pake pa kuzitaja.
Nafikiri wengi mnataka kujua kwamba Sugu atagombeaje uraisi kupitia Chadema na wakati nafasi hiyo inaonekana kudhibitiwa na makamu mwenyekiti wa chama ndugu Lisu, na pia wengine wanajiuliza kwamba utabiri unasemaje Sugu atapeperusha bendera ya chama ambacho kimesema hakitasimamisha wagombea kutokana na hitilafu ya katiba na tume ya uchaguzi. Sasa utabiri unaonesha mazingira ya Sugu kugombea yatakuaje.
Utabiri unaonesha kuwa kutakuwa na msuguano mkali kati ya makamu huyo, na viongozi wenzake wa chama kuhusu chama hicho kushiriki katika uchaguzi mkuu. Mwisho utabiri unaonesha kuwa makamu atashindwa na hivyo chama kitadhamiria kusimamisha wagombea wote kuanzia serikali za mitaa na hapo baadae uraisi.
Utabiri unaonesha kuwa katika swala la uraisi makamu hatoshiriki tena kwa hoja ya kujifanya anasimamia kile anachokiamini na kwamba hayuko tayari kuyumbishwa juu ya misimamo yake. Hapo sasa litatokea kundi la wana Mbeya likiongozwa na vijana na wazee waseme kuwa sasa uraisi ni zamu ya nyanda za juu kusini, watamchukulia Sugu tiketi ya kugombea uraisi, Sugu atakubali na hivyo kujiweka katika nafasi nzuri ya kushinda katika kinyang'anyiro cha kupitishwa na chama.
Utabiri unaonesha kuwa, japo kuna wagombea wengine kadhaa watajitokeza kupambana nae katika kinyang'anyiro hicho, lkn Sugu atapita kwa ushindi mnono na hivyo kuwa mgombea uraisi kwa mara ya kwanza kupitia chama chake Chadema.
Katika uchaguzi huo, Sugu atakuwa mgombea wa kwanza uraisi kutoka upinzani kupata kura nyingi zaidi ya wagombea wengine wote waliowahi kugombea tangu mfumo wa vyama vingi uanzishwe. Na hii ni kwa sababu ya nyota yake ambayo inamfanya akubalike kwa vijana, wazee, kina mama, kina baba, kina mjomba, kina shangazi, kina babu, kina bibi nk.
Pia atakuwa mgombea wa kwanza kukipa chama chake wabunge wengi zaidi katika uchaguzi huo. Ukiona wazungu wanaingia na kutoka katika ofisi ya mtu, basi ujue kuna kitu fulani wanakiona kinakuja, kama sio sasa hivi basi baadae.
Kwa wale wanaompenda Sugu na kuhitaji awe raisi wao wa Jamhuri (sio Mbeya pekee) basi waongeze maombi ili aje kushinda katika uchaguzi mkuu ujao, maana utabiri haujaonesha kama atamshinda wa chama tawala, bali umeonesha namna atashinda kinyang'anyiro cha kupeperusha bendera ya chama chake na pia kupata kura nyingi zaidi ya wagombea wa upinzani waliopita.
Team Lissu wajiandae kisaikolojia, kwani mgombea wa Chadema ashajulikana kupitia utabiri huu.l
Mmmhh... haya nimekusoma mkuu..Ndio nimesoma ila nahisi wewe haujaelewa nilichoandika mkuu.
Kamanda Sugu ashindwe au ashinde uchaguzi hilo sio tatizo. Kikubwa utabiri unaonesha kuwa, lazima atapitishwa na chama chake ili agombee uraisi na utabiri utimie.Hata Mbeya kwenyewe huyu pimbi wa Kipangwa (japo mnamuita Mkinga) hatoboi.
Msimpotezee direction akaenda kukopa fedha benki kwa dhamana ya Desideria hotel kwa ajili ya mambo ya ndotoni.
Tanzania hii Spika na Waziri mkuu atapita ubunge kwa lazima sio ombi .Mkuu, Spika Tulia kakutuma utesti mitambo, mwambie Sugu atakuwa jimboni yeye ajiandae tu.
Sugu NI form four, sheria za tume mgombea Urais anatakiwa mwenye degree, hii sheria alitungiwa Mrema lakini akatobowa alipata shahada online.Sugu ni kama ashavuka swala la ubunge, Sasa anaandaliwa kuwa zaidi ya mbunge.
We subiri utaona kitachotokea.
Akiwekewa pingamizi maana yake Chadema haitokuwa na mgombea Urais.Kamanda Sugu ashindwe au ashinde uchaguzi hilo sio tatizo. Kikubwa utabiri unaonesha kuwa, lazima atapitishwa na chama chake ili agombee uraisi na utabiri utimie.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Habari zenu wanaJF wenzangu,
Kwanza naomba niwaandae kisaikolojia, wale wote ambao wanafikiri kuwa Chadema haitoshiriki katika uchaguzi mkuu wa uraisi, na ubunge.
Utabiri wangu unaonesha kuwa Chadema itashiriki katika chaguzi zote mbili. Yani uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika mwakani, na ule wa raisi na wabunge utakaofanyika mwaka 2025.
Sasa basi baada ya kukujulisha kuhusu ushiriki wa Chadema katika chaguzi zijazo, naomba nianze sasa kukufafanulia kuhusu utabiri unaoonesha kuwa ndugu Joseph Mbilinyi aka "Sugu" atapata kura nyingi kuliko wagombea wengine wa upinzani ambao waliwahi kugombea huko nyuma kabla yake.
Ni hivi utabiri unaonesha kwamba ndugu Sugu ana nyota kali ya kiuongozi na kukubalika, hivyo nyota hiyo inamsaidia kupata uungwaji mkono kutoka maeneo mbali mbali ya dunia (kama tulivyoona akitembelewa na mabalozi wa nchi zenye uchumi mkubwa duniani), na pia anaheshimiwa na kukubaliwa hata kwenye chama chake, including viongozi wakubwa wa chama (ukimtoa makamu mwenyekiti) ambae ana ubinafsi.
Hivyo utabiri unaonesha kuwa ndugu Sugu ndio atakaepitishwa na chama chake kikiongozwa na mwenyekiti wao kuwa mgombea uraisi wa chama hicho ambacho kilianguka vibaya katika uchaguzi mkuu uliyopita kutokana na sababu ambazo hapa sio mahala pake pa kuzitaja.
Nafikiri wengi mnataka kujua kwamba Sugu atagombeaje uraisi kupitia Chadema na wakati nafasi hiyo inaonekana kudhibitiwa na makamu mwenyekiti wa chama ndugu Lisu, na pia wengine wanajiuliza kwamba utabiri unasemaje Sugu atapeperusha bendera ya chama ambacho kimesema hakitasimamisha wagombea kutokana na hitilafu ya katiba na tume ya uchaguzi. Sasa utabiri unaonesha mazingira ya Sugu kugombea yatakuaje.
Utabiri unaonesha kuwa kutakuwa na msuguano mkali kati ya makamu huyo, na viongozi wenzake wa chama kuhusu chama hicho kushiriki katika uchaguzi mkuu. Mwisho utabiri unaonesha kuwa makamu atashindwa na hivyo chama kitadhamiria kusimamisha wagombea wote kuanzia serikali za mitaa na hapo baadae uraisi.
Utabiri unaonesha kuwa katika swala la uraisi makamu hatoshiriki tena kwa hoja ya kujifanya anasimamia kile anachokiamini na kwamba hayuko tayari kuyumbishwa juu ya misimamo yake. Hapo sasa litatokea kundi la wana Mbeya likiongozwa na vijana na wazee waseme kuwa sasa uraisi ni zamu ya nyanda za juu kusini, watamchukulia Sugu tiketi ya kugombea uraisi, Sugu atakubali na hivyo kujiweka katika nafasi nzuri ya kushinda katika kinyang'anyiro cha kupitishwa na chama.
Utabiri unaonesha kuwa, japo kuna wagombea wengine kadhaa watajitokeza kupambana nae katika kinyang'anyiro hicho, lkn Sugu atapita kwa ushindi mnono na hivyo kuwa mgombea uraisi kwa mara ya kwanza kupitia chama chake Chadema.
Katika uchaguzi huo, Sugu atakuwa mgombea wa kwanza uraisi kutoka upinzani kupata kura nyingi zaidi ya wagombea wengine wote waliowahi kugombea tangu mfumo wa vyama vingi uanzishwe. Na hii ni kwa sababu ya nyota yake ambayo inamfanya akubalike kwa vijana, wazee, kina mama, kina baba, kina mjomba, kina shangazi, kina babu, kina bibi nk.
Pia atakuwa mgombea wa kwanza kukipa chama chake wabunge wengi zaidi katika uchaguzi huo. Ukiona wazungu wanaingia na kutoka katika ofisi ya mtu, basi ujue kuna kitu fulani wanakiona kinakuja, kama sio sasa hivi basi baadae.
Kwa wale wanaompenda Sugu na kuhitaji awe raisi wao wa Jamhuri (sio Mbeya pekee) basi waongeze maombi ili aje kushinda katika uchaguzi mkuu ujao, maana utabiri haujaonesha kama atamshinda wa chama tawala, bali umeonesha namna atashinda kinyang'anyiro cha kupeperusha bendera ya chama chake na pia kupata kura nyingi zaidi ya wagombea wa upinzani waliopita.
Team Lissu wajiandae kisaikolojia, kwani mgombea wa Chadema ashajulikana kupitia utabiri huu.
Bora ulivyomuelewesha huyo kijana.Tanzania hii Spika na Waziri mkuu atapita ubunge kwa lazima sio ombi .
Inasemekana alivyoingia USA aliongeza alimu yake kimya kimya, hivyo kama ni kweli basi sifa anazo labda awekewe pingamizi lingine lkn sio elimu.Sugu NI form four, sheria za tume mgombea Urais anatakiwa mwenye degree, hii sheria alitungiwa Mrema lakini akatobowa alipata shahada online.
Kwahiyo mshaurini ajiendeleze na Aache utoto wa kujisifu anavaa Vitu vya gharama na designer fulani, huyu siyo Presidential material.
Wahuni wote waishie kwenye ubunge Tu.