Wakati mwingine huwa najiuliza kama kweli kuna moderators? Au ndio uhuru wa kutoa maoni?Mungu huweka serikali na viongozi kwa wakati na muda anautaka yeye. Warumi 13.
Najuwa kuna watu hamuwezi kupenda ila leo natamani mjiulize ktk serikali ya hayati Magufuli idadi ya viongozi ndani ya serikali yake walitutoka wakati tukiwa tunategemea uwepo wao. Nani angeamini tungempoteza Magufuli japo Mungu alituonyesha watu wake na tukasema.
Mungu anataka kizazi kipya cha uongozi ktk Taifa sio wale walianza na Magufuli. Hakuna anaweza kuamini hili lakini huwo ndio ukweli mchungu kwa wale wanatamani kuona wanaendelea kuwa viongozi. Nguvu kubwa yaweza tumika na kila mnacho ila Mungu hayupo ktk hizo nguvu anataka mabadiliko na mabadiliko hayo sio madogo mabadiliko makubwa kuliponya Taifa.
Mungu anasema ikiwa mtatumia akili na utashi wenu ataingilia ktk namna hakuna mtu anaweza kuamini. Hivyo hatuna budi kuepuka ghadhabu kwa kukaa pembeni. Nakupisha uongozi mpya
Awamu ya Tano ilikithiri kwenye kuumiza watu kiuchumi na namna zingine ndiomaana haikudumu,Mungu huweka serikali na viongozi kwa wakati na muda anautaka yeye. Warumi 13.
Najuwa kuna watu hamuwezi kupenda ila leo natamani mjiulize ktk serikali ya hayati Magufuli idadi ya viongozi ndani ya serikali yake walitutoka wakati tukiwa tunategemea uwepo wao. Nani angeamini tungempoteza Magufuli japo Mungu alituonyesha watu wake na tukasema.
Mungu anataka kizazi kipya cha uongozi ktk Taifa sio wale walianza na Magufuli. Hakuna anaweza kuamini hili lakini huwo ndio ukweli mchungu kwa wale wanatamani kuona wanaendelea kuwa viongozi. Nguvu kubwa yaweza tumika na kila mnacho ila Mungu hayupo ktk hizo nguvu anataka mabadiliko na mabadiliko hayo sio madogo mabadiliko makubwa kuliponya Taifa.
Mungu anasema ikiwa mtatumia akili na utashi wenu ataingilia ktk namna hakuna mtu anaweza kuamini. Hivyo hatuna budi kuepuka ghadhabu kwa kukaa pembeni. Nakupisha uongozi mpya
Nimekusubiria hatimaye sasa umenena, basi na ikawe heri katika kutimia kwake.Mungu huweka serikali na viongozi kwa wakati na muda anautaka yeye. Warumi 13.
Najuwa kuna watu hamuwezi kupenda ila leo natamani mjiulize ktk serikali ya hayati Magufuli idadi ya viongozi ndani ya serikali yake walitutoka wakati tukiwa tunategemea uwepo wao. Nani angeamini tungempoteza Magufuli japo Mungu alituonyesha watu wake na tukasema.
Mungu anataka kizazi kipya cha uongozi ktk Taifa sio wale walianza na Magufuli. Hakuna anaweza kuamini hili lakini huwo ndio ukweli mchungu kwa wale wanatamani kuona wanaendelea kuwa viongozi. Nguvu kubwa yaweza tumika na kila mnacho ila Mungu hayupo ktk hizo nguvu anataka mabadiliko na mabadiliko hayo sio madogo mabadiliko makubwa kuliponya Taifa.
Mungu anasema ikiwa mtatumia akili na utashi wenu ataingilia ktk namna hakuna mtu anaweza kuamini. Hivyo hatuna budi kuepuka ghadhabu kwa kukaa pembeni. Nakupisha uongozi mpya
Mungu atende na afanye MABADILIKO MAKUBWA ZAIDI. Hili naliombea sana.Mungu huweka serikali na viongozi kwa wakati na muda anautaka yeye. Warumi 13.
Najuwa kuna watu hamuwezi kupenda ila leo natamani mjiulize ktk serikali ya hayati Magufuli idadi ya viongozi ndani ya serikali yake walitutoka wakati tukiwa tunategemea uwepo wao. Nani angeamini tungempoteza Magufuli japo Mungu alituonyesha watu wake na tukasema.
Mungu anataka kizazi kipya cha uongozi ktk Taifa sio wale walianza na Magufuli. Hakuna anaweza kuamini hili lakini huwo ndio ukweli mchungu kwa wale wanatamani kuona wanaendelea kuwa viongozi. Nguvu kubwa yaweza tumika na kila mnacho ila Mungu hayupo ktk hizo nguvu anataka mabadiliko na mabadiliko hayo sio madogo mabadiliko makubwa kuliponya Taifa.
Mungu anasema ikiwa mtatumia akili na utashi wenu ataingilia ktk namna hakuna mtu anaweza kuamini. Hivyo hatuna budi kuepuka ghadhabu kwa kukaa pembeni. Nakupisha uongozi mpya
Acha uongo Wizi wa Kura na kupora masanduku huku mkiteka wagombea na kuua mawakala ni Mungu gani wa hovyo namna hiyo.Mungu huweka serikali na viongozi kwa wakati na muda anautaka yeye. Warumi 13.
Kwann apigwe ban.Acha uongo Wizi wa Kura na kupora masanduku huku mkiteka wagombea na kuua mawakala ni Mungu gani wa hovyo namna hiyo.
We jamaa Upigwe bani kila siku unakuja na nyuzi za kuitisha mamlala iliyoko madarakani.
Inawezekanaje Mahali penye dhuluma ,UOVU watabiriwe neema na mafanikio?We kwanini huwa unatabiri mabaya tu
Mbona hamtabiri kuhusu mafanikio na neema ?Inawezekanaje Mahali penye dhuluma ,UOVU watabiriwe neema na mafanikio?
Sema Abdul akichukua Nchi tutakula bata balaaaAwamu ya Tano ilikithiri kwenye kuumiza watu kiuchumi na namna zingine ndiomaana haikudumu,
Awamu ya sita ni chaguo la Mungu, akitoka mama tunampa Nchi Abdul,kwaiyo muandae vidonge vya kutosha vya shinikizo la damu.
Kuliponya Taifa kwani Taifa linaumwa?Nguvu kubwa yaweza tumika na kila mnacho ila Mungu hayupo ktk hizo nguvu anataka mabadiliko na mabadiliko hayo sio madogo mabadiliko makubwa kuliponya Taifa.