PreGE2025 Utabiri kuelekea Uchaguzi Mkuu: Ukimya wa Mungu haumanishi mmekubalika, jambo kubwa litatokea

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwanza niseme Amen. Nakumbuka kuna tabiri zako zimewahi kutokea.
 
Wengi tunakubaliana nchi imemshinda mama yetu nahisi kama kuna jambo zito litatokea , ukimya wa watanzania nahisi utakuja na majibu mazito sana .
 
Watu huwa mnaendaga wapi kutafuta hizi tabiri,maana dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…