Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Hii naomba muichukue kama ilivyo kwani ni swala la muda tu.
Itakuwa ni kama vile Lissu alipoenda kusalimiwa palle Nairobi baada ya kumiminiwa risasi na jeshi la Farao wa wakati ule.
Muda utaongea.
Nani anafuatilia kujua nini kinaendelea ICCHii naomba muichukue kama ilivyo kwani ni swala la muda tu.
Itakuwa ni kama vile Lissu alipoenda kusalimiwa pale Nairobi baada ya kumiminiwa risasi na jeshi la Farao wa wakati ule.
Muda utaongea.
Hawa wauaji wana njama sana, kuna probability kubwa sana wanatafuta njia huyu Mkombozi aishie huko huko wanakokujua, hata kumlisha Polonium. Fikiria huyu jamaa akitoka salama ataamsha mangapi? Nchi itarindima.Hii naomba muichukue kama ilivyo kwani ni swala la muda tu.
Itakuwa ni kama vile Lissu alipoenda kusalimiwa pale Nairobi baada ya kumiminiwa risasi na jeshi la Farao wa wakati ule.
Muda utaongea.
hapo si watakua wameharibu kabsaa ndugu yangu jamaa hana kesi ila wanaaibika tu kumuachia huru na hili joto walilonalo kwani akitoka tu na sheria zake ndo atakazanisha icc kufanya jambo tumuombe tu awe salama ipo cku ataapishwa hata kwa notes za bible studies maana wanajifanya kupinga makanisaHawa wauaji wana njama sana, kuna probability kubwa sana wanatafuta njia huyu Mkombozi aishie huko huko wanakokujua, hata kumlisha Polonium. Fikiria huyu jamaa akitoka salama ataamsha mangapi? Nchi itarindima.
Fikiria anapata Nobel halafu Ushungi aishie ICC. Kitawaka.
CCM hawatabiriki, CCM ilikua na Nyerere hadi kufikia Mkapa, baada ya hapo wakakabidhiwa mbwa. Wenye akili wote wako nje na nchi imeshatekwa.hapo si watakua wameharibu kabsaa ndugu yangu jamaa hana kesi ila wanaaibika tu kumuachia huru na hili joto walilonalo kwani akitoka tu na sheria zake ndo atakazanisha icc kufanya jambo tumuombe tu awe salama ipo cku ataapishwa hata kwa notes za bible studies maana wanajifanya kupinga makanisa