Utabiri kwa yale yatatokea 2023 fungua macho naombea taifa

Njaa hapa Tanzania itoke wapi na mvua zinamiminika Sasa Mikoa ya uzalishaji wa Chakula kuliko hata mwaka unaoisha,Niko mojawapo ya hiyo Mikoa watu Wana uhakika na misosi this time around na Mazao mashambani yamechanua na yanapendeza..

Naomba hiyo njaa itokee huko kwenu ili tupige Pesa .
 
Acha kutoa sababu za kijinga eti exports imeshuka hii umeipata wapi?

Kilichoshusha forex sio kushika kwa exports Bali kuongezeka zaidi kwa imports kulikosababishwa na Bei za vitu kuwa Juu kwenye Masoko ya Dunia na gharama kubwa za usafirishaji, exports na Watalii imeongezeka zaidi kuliko mwaka Jana but sababu ya Uchumi wa Dunia kuwa mbaya ndio imeleta shida..


But utabiri wa Uchumi wa Dunia kutoka WB/IMF unaonyesha Nchi zetu' za Africa Uchumi utaimarika na Mimi pia naona hivyo.
 
Hivi kwanini mnaaminishaga watu kuwa Mungu ni Dunia yote mnamnasibisha na ukristo?
 
Uko sawa kabisa,

Mungu hatafanya jambo lolote ktk Nchi bila kuwaarifu watumishi wake.

Niliwahi andika ktk Uzi wa YOGA Kwa habari ya yatakayojiri 2023.

Timeframe ni 20 Oct 2022 Hadi 20 March 2023.

Ni dhahiri mabadiliko hayo yanaenda gusa nafasi ambazo hatujawahi fikiria zinaweza gusika.

Ktk mataifa mengi patakuwa na vita, machafuko nk.

Pamoja na kuarifiwa yajayo, Badala ya kubadilika watu watashupaza shingo na kusubiri yatokee Badala ya kuvaa MAGUNIA kuomba TOBA Ili kuiponya nafsi Yako, familia, Taifa na Ulimwengu.

Habari njema Kwa Tanzania ni kuwa itakuwa Nchi kimbilio Kwa mataifa mengi ULIMWENGUNI.

Aaamen
 
Franklin D Roosevelt, ni raisi wa marekani aliyetawala miaka 12.(?)
Means that kuna 2023 Mama yenu is Either aded au aachie madaraka halafu aiingie mwingine kwa miaka hiyo 2 (Assumed/ing office) kisha ndio agombee 2025 kama FRD alivyofenya
Mungu kamilisha ndoto hii iwe kweli najua mungu ujawai Wala kuchelewa katika kuiponya hii nchi [emoji120]
 
Watajuta kumuua jiwe..mizimu ya chato imecharuka.
Si mizimu pekee,

Damu ikimwagwa bila HATIA Huwa Ina TABIA ya kudai KISASI.

Kumbuka habari ya Kaini alipomwua Habili. Damu ilikuwa inamwomba Mungu alipize KISASI.

Mwaka ujao mengi yatakuwa wazi, ndipo nikajua kuwa AFAPO mtawala akiwa madarakani, huchukua muda sana Nchi kuja kutulia.
 
Terrifying news
 

Mkuu andiko lako inaonekana una hasira sana na watu walioajiriaa serikalini na nahisi sio utabiri ila ni hasira na chuki iliyojificha.... maneno yako yanaonyesha chuki iliyojificha kwenye kivuli cha utabiri..
 

Yaani nimebaki nime duwaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…