"Utabiri kwa watumishi wa serikali naomba usome na upate kuelewa ktk mwaka 2023 serikali itakuwa Haina msalia mtume na watumishi wasio kuwa waaminifu tayari sheria zimewekwa na sasa ni utekelezaji wale mmekuwa mkifanya tukio hapa nakuhamia kwingine mkae mkao wa kula hakuna tena hiyo mambo na mbaya kuliko yote kupoteza kazi itakuwa rahisi kuliko kupata kazi.
adhani mnanielewa kupoteza kazi 2023 ndani ya serikali itakuwa rahisi sana kuliko kuipata kazi... Mbaya zaid kufilisiwa Mali zako kwa ufisadi ni rahisi zaidi kuliko kuitafuta hiyo Mali. Mwenye akili amenielewa. Wale mnadhani mkipata kaz serikalini basi mnaanza wizi kazi mnayo 2023"
Mkuu
TumainiEl now tunaelekea July 2023 ktk haya uliyosema hakuna watumishi wa umma waliowajishwa nimeona mkuu wa mkoa wa Dar Es salaam akihamishiwa mkoa mwingine na makosa mbalimbali yakifanywa na baadhi ya watendaji lkn hamna kuwajishwa.