Utabiri kwa yale yatatokea 2023 fungua macho naombea taifa

Hii mambo kwakweli itimie haraka sana tunaisubiri kwa mikono miwili, Na andiko lako likatimie. Amina.
 
Yajayo kiukweli yanafurahisha.Mimi niseme wala si swala la utabiri,the information is out there for everybody to see.It is already planned,and it will be implemented.Ni onye hata hivyo,kwamba tofauti na ulivyo outline in a sense indicating that the nation will be moral,the opposite will be true:the nation and the World in general will be extremely immoral and immorality will be institutionalized.

Kwa mfano,kama wewe sio part of the World immoral system,you will not be allowed to be part of the World Economy.What that means I hope is pretty clear,infact mengine umeshayasema.So let me say this, to everybody,2023 to 2030 and if we happen to survive beyond 2030 through the mercy of God,humanity will pass through very trying times indeed,matumbo yatauma.
 
[QUOTE="Ngungenge, post: 44703292, member
Ishu ya njaa Iko wazi sababu hivi tunavyo ongea mbolea ya ruzuku haijafika Kwa wakulima na huh nduo ukwel
[/QUOTE]
Nimeshangaa kuona ITV kuwa mbolea ya ruzuku ya kupanda imeingia Jana Mbeya, wakati kwa Kanda Ile mazao yameota muda mrefu, maana yake hakuna aliepandia mbolea. Sijui shida ilikuwa fedha au nini, maana bajeti imepitishwa muda mrefu.
 
Franklin D Roosevelt, ni raisi wa marekani aliyetawala miaka 12.(?)
Means that kuna 2023 Mama yenu is Either aded au aachie madaraka halafu aiingie mwingine kwa miaka hiyo 2 (Assumed/ing office) kisha ndio agombee 2025 kama FRD alivyofenya
Itawezekanaje hii?
 
Uwimara = uiamara, uwenda = huenda, vibaruwa.... inawezekana una point ila kwa uandishi huu naona nikupuuze tu.
 

Hakuna utabiri hapo. Umebahatisha.
 
Umeandika Kweli yote.

Nawaasa ndugu zangu kuwekeza ktk KILIMO.

Walio mijini tunzeni chakula, Dunia nzima itatikiswa.

Litatimia neno lisemalo " Mwenye HAKI wangu ataishi Kwa IMANI".

Habari ni mbaya Kwa Wezi, Malaya, wabadhilifu nk nk, msipotubu hakuna RANGI ambayo hamtaona.

Aaamen.
 
Wewe TumainiEl you are just a prophet of doom. Mnaiombea nchi hii ikwame ikiwa chini ya Rais Samia kwa kuwa mlikuwa mumepewa nafasi na marehemu Magufuli aliyekuwa Dikteta akiirarua nchi vipande vipande. Hayo uliyoandika ni njozi, ila endelea kulala ili uendelee kuota zaidi
 
Wewe u KIPOFU unayeamini unaona.

TumainiEl hahusiki na ubaya wowote ktk Nchi, Anasimamia palipo na HAKI na KWELI ya Mungu Kwa maslah mapana ya nchi.

Wananchi pale KIEV na Ukraine walikuwa wakiendelea na shughuli zao kama kawaida, wakalala usiku,

Walipoamka walikuta Kila kitu kimebadilika,

Barabarani Badala ya kutembea magari ya wafanyakazi kwenda kazini, VIFARU na Tanks vilitamalaki.

KAZI ya MWONAJI, MJUMBE, WATCHMAN aliye ktk malango ya nchi ni kuona yajayo na kupress BUTTON au kupuliza filimbi ya kuashiria hatari inayoenda tokea.

MJUMBE hauwawi, chukueni hatua Kuomba na kujiandaa na yajayo Ili vyuma na upanga usipenye ktk miili ya ndugu zetu.

Asomaye na Afahamu.

Aamen.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…