Utabiri kwa yale yatatokea 2023 fungua macho naombea taifa

Hizi ulizoandika ni pumba tupu, peleka kawape nguruwe ndiyo chakula chao
 
Joseph alipooteshwa ndoto juu ya njaa itakayochukua miaka 7, palikuwa na mvua tele na mambo yalikuwa MAZURI.

Unapokuwa huna uwezo wa kuyaona yajayo, usijitutumue kubisha usoyajua.

MPUMBAVU akinyamaza huonekana kama ana busara- The Bible says.

Sometimes nyamaza kuficha ujinga wako.
 
Nina Miaka 37 sijawahi ona mvua imegoma Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini,huko kwenu ndio mtapata njaa na tutawapiga Pesa kweli kweli.
 
Wanamsubiri Kila kitu kitokee ndo waseme tulisema.

Nchi ihakikishe inanunua na kutunza chakula na Akiba itoshe Kwa miaka hata 3 tunapuuzwa.

BASHE unataka kitokee nini Ili ustuke?
 
What is this Mungu anasema na watu endeleeni kupinga
Hapo kwenye serikali kuondoa watumishi wabadhirifu sio kwa serikali ya mama..kwanza hata hii amsha amsha ya kassim mama haipendi, ye anataka wafanyakazi wawe na nidhamu ya moyoni.
Hujuwi Kuna sheria zimepita
 
"Utabiri kwa watumishi wa serikali naomba usome na upate kuelewa ktk mwaka 2023 serikali itakuwa Haina msalia mtume na watumishi wasio kuwa waaminifu tayari sheria zimewekwa na sasa ni utekelezaji wale mmekuwa mkifanya tukio hapa nakuhamia kwingine mkae mkao wa kula hakuna tena hiyo mambo na mbaya kuliko yote kupoteza kazi itakuwa rahisi kuliko kupata kazi.

adhani mnanielewa kupoteza kazi 2023 ndani ya serikali itakuwa rahisi sana kuliko kuipata kazi... Mbaya zaid kufilisiwa Mali zako kwa ufisadi ni rahisi zaidi kuliko kuitafuta hiyo Mali. Mwenye akili amenielewa. Wale mnadhani mkipata kaz serikalini basi mnaanza wizi kazi mnayo 2023"
Mkuu TumainiEl now tunaelekea July 2023 ktk haya uliyosema hakuna watumishi wa umma waliowajishwa nimeona mkuu wa mkoa wa Dar Es salaam akihamishiwa mkoa mwingine na makosa mbalimbali yakifanywa na baadhi ya watendaji lkn hamna kuwajishwa.
 
.
 
Wanamsubiri Kila kitu kitokee ndo waseme tulisema.

Nchi ihakikishe inanunua na kutunza chakula na Akiba itoshe Kwa miaka hata 3 tunapuuzwa.

BASHE unataka kitokee nini Ili ustuke?
Tanalelewa na mabeberu. Kwasasa tumerudi kule kwenye kuamini kuwa sisi hatuwezi kitu. Hata kukiwa na njaa tutalia njaa mabwana wakubwa watakuja kutusaidia. Tutawagawia rasilimali zetu.
 
Mtikisiko Kutoka vilindi vya Bahari Hadi Nchi kavu tayari umetangazwa,

Wakazi wa Bandari salama, wanaaswa kuhama haraka kabla ya April.

Wazee wenye mvi chama kikubwa kunusuru Nchi na mtanziko naamini huu ni muda muafaka!!
 
Nimeona lile la uhaba wa Fedha za kigeni japo halijafikia viwango ulivyoeleza.

Pia Kuna mtifuano na mtikisiko wa Kisiasa kwenye chama,pia Kuna sheria zitabadilishwa kuelekea uchaguzi Mkuu.

Mwisho Nasubiria nione mwisho wa DP World kama itaondokaena vigogo.
 
Wapo Mkuu
 
Na kama ni mkazi wa Bandari salama uhame kabla ya April Ili mtikisiko Kutoka vilindi vya Bahari usikukumbe.

Njaa pia is loading ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…