Utabiri kwa yale yatatokea 2023 fungua macho naombea taifa

Utabiri umetimia kwa 85% hongera mleta mada.
 
Utabiri unaonyesha kutakuwepo na mabadiliko makubwa ktk Baraza la Mawaziri jambo hili kilikuwa litokee kabla ya mwaka kuisha ila upo uwezekano jambo hili likafanyika 2023.
 
Utabiri unaonyesha kutakuwepo na mabadiliko makubwa ktk Baraza la Mawaziri jambo hili kilikuwa litokee kabla ya mwaka kuisha ila upo uwezekano jambo hili likafanyika 2023.
 
Hali ya mzunguko wa pesa uwenda isiwe nzuri sana ila itategemea na upepo wa Dunia kuadimika kwa pesa za kigeni kutasumbuwa masoko ya fedha zakigeni na hata manunuzi ya nje jambo litasababisha maisha kupanda Waka mfukoni hakuna kitu inashauriwa kuishi kwa akili na kuwa na matumizi yasio zidi kipato.
Dec2022 todate
 
Tukiona ila hatukujuwa Muda. Mungu liponye Taifa. Tumechoka kulia...
 

View: https://youtu.be/foxbPifoQmE?si=HJlrc3y9uLlZJlYxPita humu kidogo!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 

View: https://youtu.be/foxbPifoQmE?si=HJlrc3y9uLlZJlYx
Pita humu kidogo!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Huu utabiri wako umeshatimia kwa asilimia mia Mkuu, maana hadi leo, bank nyingi za hapa kwetu, kupata USD zaidi ya 100 siku hizi ni changamoto sana. Kama kuna mtu anabisha, kesho aende bank yoyote ajifanye anataka kununua dola za Marekani 200!
Kama atazipata, basi aje hapa atusunte kwa kusambaza umbeya!
 
Umepatia mengi sana ila sio utabiri Bali ni Hali halisi ambayo hupangwa na kuwa forecasted Kwa sababu viashiria Huwa vipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…