The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,265
- 20,526
HakikaLisu anaweza kugoma kutoka jela Hadi aambiwe Yeye ni mhaini kiaje!
akigoma anaachwa humohumo hadi akome nani anambembeleza kwanza kesi bado mbichi kabisa hii hatoki leo wala keshoLisu anaweza kugoma kutoka jela Hadi aambiwe Yeye ni mhaini kiaje!
Kile kichwa acha tu,
Tupeleke watoto Shule jamani🤔
Upelelezi wa kesi hizi kwa mtu asiye Ujedani huchukua muda mrefu sanaNot easy
Tuwapelek Galanoisi then waende Manchester UniversityLisu anaweza kugoma kutoka jela Hadi aambiwe Yeye ni mhaini kiaje!
Kile kichwa acha tu,
Tupeleke watoto Shule jamani🤔
Tutakula mboga kwa maharageBunge la ulaya naona wameamua kumwaga ugali
Utashindia mboga na kulalia mboga?
Naweka wazi na huu uzi utabaki kuwa ushahidi.
Rais mtarajiwa wa jamhuri ya Tanganyika ndugu Antiphas Mwighai Tundu Lissu ataachiwa huru kabla ya may 19 siku ya kusikilizwa kesi yake.
DPP atatoka hadharani na kudai hana haja ya kuendelea na kesi hiyo bila kutoa sababu maalum.
Huu siyo utabiri bali ni hali ya mambo yanavyoendeshwa nchini kimzaha mzaha Tu.
Nyau de adriz
Unadhani yule ni kajamba nani kama wewe, Mtu qnajadiliwa na bunge la ulaya yani wabunge wa ulaya wanakula posho na kutenga bajeti ya kikao cha bunge we unadhani ni kunuka mkojo kama wewe gurugujaakigoma anaachwa humohumo hadi akome nani anambembeleza kwanza kesi bado mbichi kabisa hii hatoki leo wala kesho
Una roho mbaya we jamaa?Kwani fedha za CCM za damu zitakusaidia nini mbeleni zaidi ya laana Kwa watoto wako?akigoma anaachwa humohumo hadi akome nani anambembeleza kwanza kesi bado mbichi kabisa hii hatoki leo wala kesho
Hapana,Tuwapelek Galanoisi then waende Manchester University
Ipo wazi hawatataka kumpa attentiin tarehe 19/05 na pia wanataka outshine bunge la ulayaNaweka wazi na huu uzi utabaki kuwa ushahidi.
Rais mtarajiwa wa jamhuri ya Tanganyika ndugu Antiphas Mwighai Tundu Lissu ataachiwa huru kabla ya may 19 siku ya kusikilizwa kesi yake.
DPP atatoka hadharani na kudai hana haja ya kuendelea na kesi hiyo bila kutoa sababu maalum.
Huu siyo utabiri bali ni hali ya mambo yanavyoendeshwa nchini kimzaha mzaha Tu.
Nyau de adriz
Ndio ukweli, mimi pia naliona hili.Naweka wazi na huu uzi utabaki kuwa ushahidi.
Rais mtarajiwa wa jamhuri ya Tanganyika ndugu Antiphas Mwighai Tundu Lissu ataachiwa huru kabla ya may 19 siku ya kusikilizwa kesi yake.
DPP atatoka hadharani na kudai hana haja ya kuendelea na kesi hiyo bila kutoa sababu maalum.
Huu siyo utabiri bali ni hali ya mambo yanavyoendeshwa nchini kimzaha mzaha Tu.
Nyau de adriz
Unadhani yule ni kajamba nani kama wewe, Mtu qnajadiliwa na bunge la ulaya yani wabunge wa ulaya wanakula posho na kutenga bajeti ya kikao cha bunge we unadhani ni kunuka mkojo kama wewe guruguja